Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu, mwenye GN. No.12 of 2004 anisaidie tafadhali. Naambiwa ndio yenye kuRegulate building permit Arusha City Council.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajukuu wanagombania aridhi,watoto wote ni wakiume yaani babu yao ni mmoja kasoro baba zao tofauti,kuna shamba lilikua lina milikiwa na babau yao alipofariki baba zao wakawa wanalimiliki hatimaye...
Mimi ni mkulima kila mwaka majirani zangu wamekuwa wakilima mashamba yao kwa kutumia ng'ombe.tatizo wanavukisha na kukanyaga shamba langu hata kama tiyari nimepanda mazao
Nahitaji kujua sheria...
Tafadhali mwenye kujua kifungu kinachokataza kulima au kupanda mti kwenye kiwanja chako anisaidie. Ninachomaanisha ni kuwa kama nina kiwanja kiko mjini naweza kupanda vitu kama miti ya miembe...
Hivi ni hatua zipi za kufuata pale ambapo mtu ameshindwa kesi katika baraza la kata na anapuuzia hukumu ya baraza hilo licha ya kushindwa kesi.Naombeni maelekezo katiko hilo
Hivi mtu akisitishiwa mkataba na alikuwa kabakiza kama miezi sita ni lazima alipwe pesa ya mkataba wake au asilipwe maana naona makampuni mengi yakiwasitishia watu mikataba huwa yanawalipa mwezi...
Mjadala kuhusu rangi za bendera ya Taifa la Tanzania ni mzito kuliko nilivyodhani. Nimepekua baadhi ya nyaraka za kimataifa na zenyewe zinakinzana. Bendera ya Tanzania ilizinduliwa rasmi Tarehe...
SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA (LL.B) PEKEE HAIMFANYI MTU KUWA NA SIFA ZA KUWA WAKILI.
Kuna wanasheria na wanasiasa hata raia wa kawaida wanaamini au kuaminishwa kuwa kupata shahada ya kwanza ya...
Mawakili wapya kupokelewa na jaji mkuu 14-12-2018 pale Law school of Tanzania.
Mawakili hawa wapo 909 na wengi ni Majaji wastaafu,Mahakimu na ma afisa wengi wa serikali.
Balozi Valentino mlowola...
Pole na majukumu wataalamu.!
naomba kujuzwa juu ya sheria zilizowekwa na serikali katika viwanda vidogo vya uzalishaji,
yaani matakwa mbalimbali yanayotakiwa yafatwe ili hicho kiwanda kitambulike...
Wakuu wanajamvi, nawaombeni kwa dhati ya moyo wangu niwekeeni hapa softcopy ya sheria namba 17 ya mwaka 2007 ya barabara - The Tanzania Road act #17 of 2007. Nimeitafuta maeneo mengi na sijaipata...
Ndugu wanajukwaa habari,naomba kufahamu kidogo kuhusu hukumu kama hii:mtuhumiwa anapohukumiwa mfano miaka mitatu jela au kulipa faini mfano milioni mbili kwa kosa lolote ikatokea akawa hana iyo...
Habari jaman wana jamii forum mimi mimi nina kesi yangu ambayo kuna mtu alini kopesha pesa zake baada ya hapo nikashindwa kumrudishia kulingana na muda tulio pangiana lakini jamaa akanipeleka...
Habarini za muda huu wadau
Naombeni kutajiwa sheria zinazohusika na mambo yafuatayo kama utakuwa na kifungu kinachotaja specifically nitashukuru
1. Sheria inayohusika inayosema ndaiwa akifikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.