Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wanabodi moja ya majukumu makubwa ya baraza la kata ni kutatua migogoro ya ardhi. Upande ambao haujaridhika na maamuzi ya baraza la kata hukata rufaa baraza la ardhi na nyumba la wilaya. Maswali...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Mwajiri kaniachisha kazi bila kufanya haya, 1. Hajatoa nafasi ya kukata rufaa. 2. Hakutoa cheti cha utumishi. 3. Kamati ya kuchunguza tuhuma haikuwa na kiongozi kutoka chama cha wafanyak azi. 4...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
wajuvi wa sheria naomba msaada katika hili naomba cases au maamuzi ya mahakama za juu zinazoelezea kuhusu Kamishna wa viapo(commissioner for oaths) kuweka jina lake kwenye jurat katika affidavit...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi nilikuwa msimamizi wa mirathi katika mirathi hiyo kulikuwa na shamba kuna watu walinishitaki wakidai shamba ni lao waliuziwa hivyo nikafikishwa katika baraza la ardhi la wilaya kesi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutokana na kuwepo kwa makundi ya vijana wasio na maadili hasa vibaka katika mitaa yetu, nafikiria kuanza kutembea na silaha aina ya KISU (special) popote pale kwa ajili ya kujilinda. Naomba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wakubwa, Nimekua nikiskia wafanyakazi wengi walilalamika kusimamishwa kazi na hata wengine kufukuzwa au kukatishwa mikataba yao pasipo kuisha Kwa mda wake na bila kufuata...
1 Reactions
16 Replies
19K Views
Mfanyakazi aliachishwa kazi kwa madai ya utendaji kazi duni wakati alikuwa mfanyakazi bora. _____ Mwajiri alimwachisha kazi mfanyakazi wake kwa tuhuma za utendaji kazi duni kwa maana ya poor work...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya DSM katika kesi No. 31 (kesi ya kupinga muswada wa siasa) ya mwaka 2018 ,Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau,kuna chama cha ushirika kilifanya mkutano ndani yake kuna maamuzi walifanya kwa mbaali naona kuna shida maamuzi yao ndio maana nimeuliza hilo wanasheria mnisaidie karibuni. Sent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A German police officer has been found guilty of sexual assault for removing a condom during sexual intercourse without the consent of his partner, an act known as "stealthing," in what is...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Wana JF heri ya mwaka mpya. Kuna suala nimelisia sasa naomba kuelimishwa sheria inasemaje. Kuna ndugu mmoja kanunua gari kwa mtu. Siku moja akasimamishwa barabarani akaambiwa gari lake inadeni la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello ndugu mpenda haki za binadamu na mwanademokrasia nakusalimu sana. Nakutaarifu kuwa leo Januari 3, 2019 nimefanya tafsiri isiyo rasmi ya Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama Vya Siasa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mahakama kuu ya Tanzania masijala ya DSM imeahirisha kesi No. 31 ya mwaka 2018 ,Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali hadi sa nane leo 04.01.2019 ambapo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye Sheria ya Utumishi wa umma ya mwaka 2002 au kanuni zake za mwaka 2003 anisaidie
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Leo kwenye gazeti la Nipashe kulikuwa na habari iliyoripoti yaliyojiri bungeni na kuandika kuwa Naibu Spika amesema "TAYARI NCHI INA SHERIA ILIYOFUTA FAO HILO" (soma habari kamili hapa...
0 Reactions
40 Replies
12K Views
Wakuu hivi mtu kesi yake ikiwa inaendelea mahakamani yeye akiwa nje kwa dhamana halafu ghalfa akafutiwa dhamana hiyo na kupelekwa rumande na huko akakaa kipindi chote kwa kusikilizwa kwa kesi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Anadai kwenye hiko kieneo kuna kaburi sijui alizika mtt mchanga kipindi cha nyuma sana, af sasa kile kikaratasi tulichoandikishana nabkutia saini nmekipoteza naishije apo, sheria inasemaje...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
According to Section 13 of Uganda’s Anti-Pornography Act 2014, a person shall not produce, traffic in, publish, broadcast, procure, import, export, sell or abet any form of pornography and anyone...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari wana JF, napenda kufahamu ni athari gani zitampata mtumishi wa umma kuacha kazi hata kabla ya kudhibishwa kazini?. Mimi ni mwajiriwa mpya na kwa bahati nzuri au mbaya nimeitwa kufanya kazi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wapendwa mimi ni mwalimu wa shule moja ya secondary hapa arusha, yapata mwaka mmoja sasa tangu niajiliwe shuleni hapo January 2017 baada ya kumaliza shaada yangu ya elimu august 2016...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom