Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Katika familia, mzazi anataka kutoa moja kati ya Mali zake kwa mtoto wake, ana watoto wanne anampatia mmoja. Je ili swala ili lisilete mitafaruku baadae hatua zipi zifuatwe na mzazi katika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wenu wa ufafanuzi wa sheria. Nililipa mahari mwaka 2012. Tukapata watoto mapacha mwaka 2014. Tulifunga ndoa ya kiserikali mwaka 2015. Sote ni watumishi wa umma. Tunafanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wadau wa sheria je ni criteria zipi za mashambulio ya wanasiasa ambazo zinaqualify kuitwa attempted political assassination? Je kila shambulio la mwanasiasa linaweza kupewa sifa ya attempted...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Hello guys, Nimekuwa nikizunguka maeneo ya Moshi na Arusha kwa ajili ya bata za usiku. Sasa sometimes(sio mara zote) ukiwa nje ya nightclub, maybe kwenye mgahawa ulio open, kwa Moshi kuna aina ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Barua ya tuhuma kabla ya kuachishwa kazi kwa kawaida inaandikwa na nani kwenda kwa mfanyakazi? Je ni kamati ya nidhamu au HR? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mnaojua sheria maomba msaada katika hili. Nilikuwa na kesi ya wizi na kukabwa mtaani, kesi iliisha kwa mtuhumiwa kufungwa miezi sita kwa kila kosa, kwa makosa mawili au kila kosa fine ya Tsh...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za leo wana JF, Naomba msaada wa juu ya sheria mpya inasema nini kuhusu kukaimu nafasi ya mtu naje una haki gani katika hiyo nafasi interms of salary and other benefits, nimejaribu...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wana JF mm ni mwanafunz wa mchepuo wa sanaa HKL natarajia kufanya mtihn wa kuhitimu kidto cha sita mwaka huu mwez 5, napenda kuwa mwanasheria... Ushauri plz Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
732 Views
It is sad to concede that in NECTA there is no comprehensive privacy legislation. To disclose the names and results of students NECTA go against the constitution of URT . It brings bad picture to...
10 Reactions
442 Replies
58K Views
What are the criminal procedures in murder case in tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
657 Views
Naomba kujua sheria ipi inampa mwanajeshi kibali cha kumpiga mwananchi au raia ikiwa ni pamoja na kumpa adhabu, Kwa nini asimkabidhi yule raia kwa jeshi la polisi ili achukuliwe hatua za...
2 Reactions
52 Replies
16K Views
Hivi hawa majaji wanapopumzika kwenye court vacation, bado wanakuwa na likizo ya mwaka ?
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Pole na miangaiko wanajanvini! Naomba kujua kuhusu kesi ya kufumaniwa na mke wa mtu, aidha kwa kujua kwamba mke wa mtu au kutojua!, je ni kosa kisheria? Inaangukia katika kosa gani la kisheria...
2 Reactions
33 Replies
18K Views
heshima kwenu wadau na wakereketwa wa sheria. Ninaomba kueleweshwa yafuatayo; 1. Ukitaka kusomea uwakili wa sheria huko zanzibar, utaratibu gani unafuata? 2. Karo wanayohitaji kulipa ni ipi? na...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Is the independence of judicial in tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
715 Views
Katiba imetoa kinga ya rais kutoshitakiwa kwa makosa atakayofanya wakati akitekeleza majukumu yake. Sasa nawaulizeni enyi wanasheria na mnaojua sheria. (a) Ikitokea rais akatoa amri ya kuua watu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtumishi ameomba ruhusa, na mkuu wa idara kapitisha, ila mkurugenzi hakupitisha. Nikaamua kwenda kupiga kitabu. Ghafla nikaandikiwa barua ya utoro kazini na nikajieleza. Ni kapewa ovyo, na ofisi...
0 Reactions
24 Replies
11K Views
Kuna utofauti gani kati ya kuiba na kukusudia kuiba? Na adhabu zake zipoje mbele ya sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Naomba kujua sheria inasemaje ukitaka kumng'oa CAG?Hasa kwa aliyemteua kwa maana Rais,Je sheria inasemaje hapo kuhusu kumtoa katika madaraka yake?. Maana naona kama kuna figisu! inanza na mimi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu, Nakumbuka Tanzania kuna mtu aliwahi kushtakiwa kwa kusema Yesu sio Mungu miaka ya 2005 hivi. Ni wapi naweza kupata nakala ya Hukumu hio au kama kuna mtu anayo anisadie nahitaji...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom