Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jaman , Mimi n mfanyakazi katika shule moja ya private hapa dar es salaam , mwajiri wangu ajanilpa mishara yangu zaidi ya 6 mpaka sasa, hataki kuniunganisha HESLB, hataki kuniunganisha na bima...
Mzee wangu ambaye kwa sasa ni marehemu ana madai yake ya fidia ya ardhi kwenye mamlaka ya maji DAWASA lakini hawataki kuilipa familia yake.Kwa kifupi ni kuwa DAWASA walipita hawamu mbili kuchukua...
Mtoto wa chini ya miaka 18 ana jela yake maalum,je huyo mtoto akihukumiwa jela labda miaka 10 na kabla hajamaliza kifungo chake akatimiza miaka 18 ya utu uzima,ataendelea na adhabu yake?naomba...
Mengi yanazungumzwa kuhusu Gerezani, Sasa mimi nahitaji nikajionee, sitaki hadithi.
Ni kosa lipi nikitenda, litanifanya niende Jela japo kwa wiki kadhaa? (isizidi miezi sita).
Nataka nikapate...
Naomba kuuliza, nimemaliza shahada ya logistics and transport management na nihitaji kufanya sheria. Je, ni kipi bora zaidi, kuanza shahada ya sheria au kufanya post graduate diploma??
Nilinunua shamba mwaka 2014 tuliandikishana ofisi ya kijiji mbele ya mtendaji na Mwenyekiti was kijiji Mwanambaya mkuranga ila mwaka huu naambiwa shamba sio langu na yule alieniuzia kwenda ofisi...
Mimi ni mkazi wa Mwanza mnamo tarehe 10/07/2017 nilimtumia member mmoja kwenye hili thread ya matangazo madogomadogo yaani wauzaji wa tv amekuwa akinizungusha hela zangu anazo na amekuwa...
Assallam Alleykum!
Poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtanzania mwenye leseni ya udereva ya Tanzania ila sasa niko kikazi Zanzibar (Unguja na Pemba) kazi itakayoniweka kwa zaidi ya miaka...
Siku hizi magari ya serikali yanapota kokote, popote kwa namna yoyote wakati wowote bila ovyo wala wala kalipio toka Kwa yeyote.
Kwani Sheria za barabarani zinasemaje kuhusu vyombo vya moto vya...
Wana JF salamu.
Kuna suala hapa LA kisheria kidogo au hata kama sio mtaalamu wa sheria lakini una uzoefu nalo tunaomba mchango wako hapa.
swala.1
Katika sheria za kazi (especially) utumishi wa...
NIANZE KWAKUSEMA BABA ALIKUWA NA WAKE WATATU ILA FAMILIA BABA ALIWEKA MIPAKA.BABA AMEFARIKI TAYARI MAMA WENGINE WAWILI YUPO MMOJA NA HUYO MMOJA AMESHA UZA KARIBU MALI ZAKE ZOTE LAKINI WATOTO WAKE...
Moja ya masharti ya kujiunga na fani ya uanasheria ilikuwa ni kumaliza mafunzo ya internship kwa mwaka mmoja. Utaratibu huu umebadilishwa, hivyo kuanzia mwaka huu wahitimu wote wa Laws wanatakiwa...