Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wanajavi la siasa naomba kujua kuhusu sheria inasemaje mbunge asipotumikia jimbo lake takribani mwaka. Maana tunaona Lissu anaumwa na hatumikii jimbo lake kwa muda sasa. Je, ni halali maana naona...
2 Reactions
3 Replies
965 Views
Wakuu salaama! Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwa bwana mmoja hivi mwenyeji wa Songea ila kamfanyisha kazi (small scale mining) kwa makubaliano ya kuongea tuu bila mkataba wa maandishi...
0 Reactions
8 Replies
819 Views
habari ndugu wanasheria na wadau wa JF! Kuna mtu amekopeshwa pesa huku akiweka nyumba yake kama dhamana endapo atashindwa kulipa deni, aliwasilisha offer ya kiwanja palipo hiyo nyumba maana...
0 Reactions
4 Replies
718 Views
Samahani wakuu mimi ni mgeni katika Jukwaa hili, Naombe Msaada kuhusu sheria ya Uzembe na Uzururaji ni kweli hii sheria ipo? Na kama ipo inasemaje kuhusu Mazingira ambayo mtu anaweza kukamatwa...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
wadau naombeni msaada nime nununa kiwanja toka halmashauri flan iv apa tz lkn ktk icho kiwanja limepita bomba la maji inch 4 sasa ktk situation kama iyo mwenye kuingia gharama ya kuliamisha ilo...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Amani iwe juu yenu,ni miezi 8 sasa imepita tangu nitembelewe na wageni shambani kwangu wazungu wawili na watanzania wawili wakiwa na bidhaa zao wanazouza na kukopesha,wakaniomba nikusanye wakulima...
1 Reactions
6 Replies
859 Views
Kama kichwa cha habari je hii imekaaje kisheria. Yaani kuweka vyeti vyako kama dhamana ili uajiliwe
0 Reactions
0 Replies
717 Views
Hivi eti kuna sheria yoyote inayokataza nyumba za kulala wageni (guest au hotel) kuwapa chumba wageni wawili wa jinsia moja? Kwa mfano dada wawili wanataka chumba kimoja cha single? Au wanaume...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Miswaada ninayoomba ni: 1. Mswaada wa bodi ya taaluma ya ualimu 2018. 2. Mswaada wa kutangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu 2018. 3. Mswaada wa mabadiliko...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Heshima kwenu wa kuu, Naomba ushauri juu ya sheria za kazi. Nilikuwa nafanya kazi kwenye kampuni binafsi mkataba wangu uliisha tarehe 30/04/2018, nimefanya kazi mwezi wa tano mzima na mshahara...
1 Reactions
29 Replies
2K Views
========Copy & Paste====== ============================ KESI YA MPAKA WA SHAMBA NO (01) 1992 MAHAKAMA CHINI YA MWEMBE . MSHTAKI : SEBERWA . MSHTAKIWA: KASHINGO HAKIMU : KALIGOTA [emoji767]...
7 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwanza nimushukuru Mungu kwa kuonesha haki na kutenga ukweli na uongo. Nichukue pia fursa hii kuwashukuru wanajamvi wote hasa waliotoa mawazo, ushauri na kutoa pridiction juu ya kesi yangu...
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Habari za muda huu wana JF? Natumaini muwazimaaaaaa_ Niende tu moja moja kwenye kitu nilichokusudia kujua Issue ipo hivii baada ya kujichanga changa saaana hatimae halmashauri yangu ya kichwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, Naombani msaada katika hili. Kama nilimkopesha mtu hela by word of mouth bila kuandikishana popote na sasa ananizungusha kulipa, je naweza kumfungulia kesi ya madai? Nilifanya...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Naomba msaada juu ya jinsi sheria yetu ya Tanzania inavyowazungumzia wafanyakazi ambao wanafanya kazi bila kuwa na mkataba wa ajira. Je wanapokuwa dismissed wanaweza kudai haki zao? Msaada wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wanasheria naomba msaada wenu vyeti vyangu kuanzia cha kuzaliwa mpaka sekondary nimekuwa nikitumia majina mawili yan jina langu na la ukoo ,lakini cheti chanu cha college kina majina matatu yani...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwenu mawakili wasomi. Naomba kujua mipaka ya mahakama za mwanzo kisheria. He inaweza kuendesha kesi ambayo mshitakiwa anaishi wilaya nyingine? Mfano, uliwahi kuishi Kilolo Iringa kuna mtu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni kuulizi Bosi wangu aliingia chumbani kwangu bila idhini yangu na kupekua ndani baadhi ya documents zangu , hakuishia hapo alipiga na picha kisha akaanza kuwaonesha watu kuwa ndani...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu naombeni ushauri nataka nimshitaki bosi wangu je ataweza kunifukuza kazi? Pia sheria inataka mtu afanye kazi masaa mangapi? Maana mkataba wangu natakiwa nifanye kazi saa 24 usiku na mchana...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Wanabodi heshima yenu! Naombeni msaada ya neno tajwa hapo juu. linanichanganya kidogo. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…