Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kumekuwa na Kesi za wanafunzi kupewa mimba au kufanya mapenzi kabla ya umri wao yaani chini ya miaka 18, swali kama watoto wetu hawa wanajua fika kufanya mapenzi chini ya miaka 18 ni kitendo cha...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari ya leo, Nina matumaini wote wazima. Mimi nimepata mkasa tangu tarehe 12.11.2017, nilienda kununua simu Kariakoo, mtaa wa Aggrey, nikauziwa simu Nokia fake, ambayo nilifanikiwa kuirudisha...
2 Reactions
3 Replies
8K Views
Salaam wadau namshukuru Mungu nimekua mmoja wa waliochaguliwa kujiunga na Law school kwa mwaka wa masomo wa 2018 lakin nina shida moja ya intake, niko intake ya June kama kuna mtu aliyechaguliwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani wadau wa jukwaa hili...naomba msaada kidogo kuhusu suala langu ambapo kuna mwizi aliruka fence na kuvunja kioo kimojawapo cha dirisha na kuvunja grill kwa lengo la kuingia na kuiba wakati...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefanya kazi kampuni moja wa wahindi tangu mwezi wa tatu mwaka 2006 hadi November 30 mwaka huu kwa kipindi chote hicho sikuajiriwa wala kukatiwa NSSF Leo,,kwa sasa wameniachisha kazi,,je naweza...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Naomba kufahamu ni makato yapi ambayo yapo kisheria ambayo mwajiriwa anakatwa. Naomba kujua na asilimia zake pia. Asanteni.
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Naomba ufafanuzi wa kisheria! Sheria inasemaje iwapo mali imewekewa zuio na mahakama na mmiliki kulipangisha, kuikodisha au kuiuza mali hiyo na hatimaye kutoroka, je, mahakama inaweza kutoa amri...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Naomba kujua kama Tanzania kuna sheria ya customer deception hasa katika mitandao. Na je penalty zake zikoje. Je naweza kupata document yoyote nikasoma kupata ujuzi? Naomba msaada maana kuna mtu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar wanabodi, husikeni na mada tajwa hapo juu.Moja kwa moja kwenye mada Kuna shamba/kiwanja ambacho Mama yangu mzazi alianza kukimiliki kuanzia mwaka 1972 (During an era of...
0 Reactions
0 Replies
596 Views
"Ninapozungumza hapa tu, pamoja na kwamba sitakiwi kuhukumu, mwenyekiti wenu wa Umoja wa Vijana yuko rumande kwa kushikwa na rushwa. Huo ndio Umoja wa Vijana tuliokuwa tunaenda nao." Sasa kama...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Waku habari za leo. Nataka kuzungumzia hii hykumu ya kunyingwa asubuhi ya leo. Ni kwamba Ibara ya 14 ya katiba ya Tanzania inatambua haki ya mtu kuishi na inahakikisha ulinzi wa raia. Hivto...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
SADI YAKUBU ANASEMA HIVI: Picha hapo juu inaashiria utumiaji wa nguvu kubwa kuliko ''kosa'' lenyewe. Wanakijiji wameandamana kuomba wenzao waachiliwe, wakitaka maelezo ya msingi ya kukamatwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa ufupi Kuna binti aliolewa na jamaa mmoja toka 2015. Mwishoni mwa mwaka jana ikatokea mtafaruku kati yao wakatengana toka mwishoni mwa mwaka jana mpaka hivi karibuni. Mtafaruku ulisababishwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wana jamii naombeni msaada wenu hv kesi ya kumdhamini MTU aliefanya uhalifu akakimbiaa hua inakuaje Mahakamani
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Taarifa iliyotolewa na msajili wa mahakama kwa umma inaonesha kwamba mahakama kuu katika likizo yake hiyo itasikiliza kesi za dharula pekee.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Natangaza kusudio langu la kuwapeleka TBA mahakamani na watanzania wote wazalendo naomba mniunge mkono kwa kunipatia kila aina ya msaada ili kuwatia nguvuni. TBA watakabiliwa na makosa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kuwafahamisha kilichotokea leo with regards and respect. =================== ONLINE REPORTER, 11th February 2010 Daily News THE Court of Appeal has sustained both conviction and life...
1 Reactions
262 Replies
53K Views
Wana JF naomba Ushauri na msaada wenu katika hili. Nilikuwa masomoni katika chuo kimojawapo hapa Tanzania, kwa masomo ya shahada ya elimu (Sayansi) kwa mchepuo wa Fizikiana na Chemia, Bachelor of...
1 Reactions
21 Replies
19K Views
Habarini za saizi. Nina swali jamani, Eti ni kwanini judicature and application of laws Act ndio leading legislation in tanzania mainland?
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Morocco's king revokes pardon for Spanish pedophile after protests By Mohammed Tawfeeq, CNN Updated 1534 GMT (2334 HKT) August 6, 2013 [paste:font size="5"] Paper swap may...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…