Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kila nyakati katika historia inapita, Ina uthamani wake na ina utofauti wake. Nyakati moja inaweza ikawa ndio mwanzo katika mabadiliko kwa nyakati nyingine ya kibinadamu, kiutawala, kiuchumi...
Sasa katika mgogor huu imefikia hatua ananitamkia mbele ya uongoz wa baraza la kata kuwa nanukuu "utakufa vibaya juu ya eneo hili " mwisho wa kunukuu.
Je msaada wa kisheria nikamfungulie kesi au...
Habari za leo?
Wakuu naomba msaada wa kuandikiwa au kama una sample ya barua ya bodi ya kampuni kwa ajili ya kubadilisha jina la kampuni ya kisheria ie mfano kampuni ilikuwa inaitwa AA Ltd kuwa BB...
Juzi nililazimishwa na askari wa barabarani kufunika taa za ukungu baada ya mabishano ya muda mrefu. Alitaka kunilima notification lakini nikamuwahi kwa hela ya kubrashi viatu.
Sasa kwenye hili...
Wanabodi,
Nchi hii ina Wanasheria lukuki na siamini kama wananchi wote tunafahamu masuala hayo ya sheria ila ni muhimu tufahamu. Kwa kupitia forum hii, naomba watusaidie kufahamu ukomo wa jinai...
Wakuu habari
Kuna mtu ananidai 150000 mwanzo alikua ni jamaa yangu sana lakini aliniudhi kuja kuniripot chuo kwamba ananidai na siku ilenilikubal mbele ya DARUSO (ni uongoz wa wanafunzi UDSM) na...
Habari wakuu,
Nafuatilia passport uhamiaji. Naomba kujulishwa sehemu ambapo ntapata mwanasheria ambaye atanishughulikia kupata hati ya kiapo (Affidavit). Na gharama yake ikoje. Na kama kuna...
Kama OJ Simposon aliweza kuchomolewa kwenye tuhuma ya mauwaji ya mtalaka wake na mpenzi wa mtalaka wake, Ukiwaona Ditopile Mzuzuri aliweza kuchomoka kesi ya kuua dreva wa daladala SWALI imekuwaje...
Nauliza utaratibu ukoje ikiwa kwa sababu zenye mashiko, nimemkataa Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Mwanzo iliyo maeneo ya mjini. Hakimu naye amekubali kujitoa katika kesi hiyo lakini kwa kuwa yeye...
Naamini mnaweza kujifunza moja au mawili (na wao tukiwa na case kama hii wanaweza kujifunza kutoka kwenu). Hasa mawakili vijana, See if your English fluency and legal arguments can match that of...
Naomba msaada wa kisheria
Habri wakuu..naomba kujua uhamisho wa kuomba ukiwa kazini baada ya miaka mitano kituoni na ukaomba uhamisho je unastahili kulipwa? Sheria inasemaje?
Mimi sheria ilipita kushoto napenda kujua kazi za watu wafuatao
1. Hakimu
2. Judge
3. Wakiri

Pia nijue hizi mahakama kiundani zaidi
1. Mahakama ya mwanzo na...
DEFINITION(MAANA)
Kuua bila kukusudia "BLACK LAW DICTIONARY 8TH EDITION 2004,P.3056
Limetoa maana kua "ni kitendo cha kuua binaadam bila ya nia ya kufanya hivyo" .....ni kwamba , bila ya kua na...
Je mfano A na B ni wapenzi WA muda mrefu. Wakiwa mikoa tofauti, B anapata mpenzi C ambapo anaamua kumjulisha A kwa ujumbe wa simu.
Baada ya kupata ujumbe, A anakufa kwa mshituko. Je B atakuwa na...
Sema kweli japo chungu[emoji24]
Ndugu zangu tunakumbuka vyema msanii maarufu kanumba namna ya kifo chake kilivyotokea lakini MTU huyo ambaye Leo amehukumiwa pia alkuwa ni muhanga Wa marehemu...
Tangu kuzaliwa kwake, anajulikana kwa jina la Issa K. Busotwa. Wakati Wa mtihani Wa kidato cha nne mwaka 2010 alishikwa na mtihani akiwa ndani ya chumba cha mtihani na siku ya mwisho, matokeo yake...