Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi sheria inasemaje endapo mtu kauziwa mali mf. Nyumba, kiwanja, gari, n.k... Lakin baada ya mauziano kukamilika ikatokea muuzaji au mtu wa karibu wa muuzaji akahitaji kuirudisha mali...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa miaka 35 nimekaa kwenye ndoa toka 2013 mimi na mke wangu nilikuwa nafanya kazi kampuni fulani hapa mwanza baadaye nilipunguzwa kazi. Baada ya kipato kushuka mkewangu akaanza...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Wana JF, nimekuwa nikichangia michango ya Kijamii NSSF kwa muda wa mwaka mmoja wakati nimeajiriwa kwenye Shirika fulani, now nataka kujua kutoka kwenu kama naweza kudai pesa hiyo kwa sasa, mana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina bibi yangu,shangaz take na baba.katika ujana wake alibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume, mumewe alifariki,mtoto wake pia alifariki na kumuachia Mjukuu mmoja wakike ambae nae kwasasa...
0 Reactions
4 Replies
721 Views
Nawasalimia wakuu wa jf..Mimi nikijana ambaye nimehitimu mwaka huu kwenye chuo fulani hapa tanzania, kunasehemu nilipata nafasi ya kufanya kazi ila nilipewa muda wa miezi mitatu ya majaribio...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wadau wanasheria, mdogo wangu ana kesi mahakama ya kinondoni na yupo nje kwa dhamana, siku za karibuni ameugua na akashindwa kuhudhuria mara mbili mahakamani na alimtuma mdhamini wake aende kutoa...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu salamu! Naomba msaada wa wapi nitapata amendments za public service act,2002. Public service act yenyewe ya 2002 inapatikana mtandaoni ila amendments zilizofanyika miaka iliyofuatia ndiyo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jamvi...!! Nina tatizo na ningeomba nipate ushauri wenu ikibidi muongozo wa namna gani nifanye ili kupata ufumbuzi na haki zangu. Ni hivi, miezi sita sasa nimepoteza ajira kwa...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Aman kwenu wana-jukwaa na asubuh njema pia! Niombe niende moja kwa moja! Kuna mtu mmoja hivi,alinitumia msg za kejeli na matusi juu,nika mblock,lkn badae nikaona hapana wacha nim unblock...
0 Reactions
3 Replies
884 Views
Shedi amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la mauaji... Lakin wakat shed anamaliza kifungo chake inagundulika alifungwa kimakosa kwa kuwa mtu aliyedaiwa kuwa alimuua ilikuwa sio kweli...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema " THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
TARATIBU ZA MWENENDO WA MAKOSA YA JINAI. HATUA YA 1. Nini maana ya Jinai? Jinai ni kosa au makosa yanayofanywa na mtu/watu/taasisi kupitia watendaji wake,kinyume cha sheria au taratibu...
4 Reactions
6 Replies
30K Views
Kuna aina nyingi za kesi duniani lakini kwa leo tuangalie aina ya kesi ya kuua bila kukusudia (manslaughter) maana yake na hukumu ambazo zinaweza kutolewa na mahakama kwa mtu aliyeua bila...
3 Reactions
13 Replies
6K Views
Wakuu, Me ni kilaza wa sheria. Ni wazi kwamba, binti wa miaka 20 tayari ni mtu mzima anayejielewa kabisa na hata kuolewa anaweza kuolewa Sasa kwa mfano, binti aliyechelewa kuanza shule, na...
4 Reactions
75 Replies
13K Views
Kama si mara moja basi mbili au hata zaidi wengi wetu tumewahi kusingiziwa kwa vitu ambavyo hatujawahi kufanya. Either na wazazi wetu, walimu, viongozi na hata marafiki zetu. Adhabu ya viboko...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Hivi kuna sehemu yoyote kwenye katiba inakataza sheria zilizopo na zitakazotungwa kurudi nyuma i. e kuwa applied retrospective instead of prospective application
0 Reactions
1 Replies
651 Views
Tafadhali wakuu Naomba mnisaidie kupata sheria hiyo Nina shida nayo haraka sana. Asanteni sana
1 Reactions
52 Replies
20K Views
Nilimpa kijana pikipiki yangu awe anafanyia kazi ya bodaboda ile siku namkabidhi pikipiki ile usiku wake nikapata ajali hivyo ndugu yangu alipoteza maisha katika ajali hiyo wakati nikiwa ICU...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom