Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi naona kuna sababu kuu tatu zifuatazo kwa mtiririko wa uzito wake:-
1) Kesi nyingi za Serikali zinatokana na uborongaji wa viongozi. Hivyo mawakili wa serikali wanaenda kutetea kitu ambacho...
KUUA BILA KUKUSUDIA NA KUKILI KUFANYA HIVYO, nini msimamo wa sheria
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA
AT MWANZA
(CORAM: LUBUVA, J.A., MROSO, J.A., And KAJI, J.A.)
CRIMINAL APPEAL NO. 7...
Wadau namwomba Mh.Rais wetu asiwaonee HURUMA wauaji ambao tayari Mahakama zetu zimekwisha wahukumu KUNYONGWA hadi kufa.Watu hao walifanya ukatili Mkubwa wakati wanaua. Pia kutowanyonga watu...
Habari. naomba masaada wa kisheria. Baba yangu alimuuzia rafiki yake eneo baada ya kumuomba wakae wote karibu na hali ya kuaminiana. baada ya kuuziana tu, rafiki yake akaanza kuumwa na kufariki...
Wadau wa sheria, nilikuwa nauliza, kuna Mzee mmoja 80 yrs Old alikuwa anataka kuniuzia viwanja vyake viwili vilivyopimwa kabisa! Nilikuwa napenda kujua anaweza kuniuzia bila ya kuhusisha watoto...
habari za wakati huu wana jf natumaini ni wazima na mnaendelea vizuri na majukumu yenu
moja kwa moja kwenye mada mimi nikijana umri 20`s nimechaguliwa kusomea sheria kwenye ngazi ya degree mwaka...
Habari wadau.
Kuna mwanamke ananisingizia litoto jamani naombeni msaada wenu. Tulishawahi kuwa kwenye mahusiano, tumeachana mda ukapita, sahivi anasema ana mtoto wangu mtaani. Msaada wa kisheria...
Wasalaam nduguzanguni!!!
Mimi naomba kueleweshwa juu ya ulipishwaji faini bila kupewa risiti na askari wa usalama barabarani.
Yaani unalipa faini kwa kuandikiwa nofication tu bila risiti je hii...
Kesi imefutwa (dismissed).APPLICANT KALETA APPLICATION YA KU REFILE CASE.HII KISHERIA INAKUBALIKA.Ni case zipi za namna hii Applications za ku refile zilikuwa rejected.
Wasomi wanasheria, hizo kesi tajwa hapo juu zinapatikanaje kama hazijawa reported. Ni muhimu kwa vile ni authority kujua namna ya kuzipata.
Unazipataje?
Lex: Lead Annual Essay Competition 2017 for Students in Developing Countries
Announcement
Lex:lead is again happy to announce a scholarship competition for students in developing countries. Up to...
Wakuu.
Mtakumbuka kuwa mbunge wa Mtera Mheshimiwa alie kubuhu kwa Matusi Livingstone Lusinde muda mwingi wa kampeni za Arumeru alikuwa akiporomosha mipasho ya matusi badala ya kunadi sera za...
Kuna mtu aliniuzia kiwanja nikafata taratibu zote kama kupitia kwa mwenyekiti wa mtaa....na Afisa mtendaji, Baadae kufatilia katika kutafuta hati nikaja kugundua kiwanja sio chake,
Nimefungua...
Samahanini wadau,
Kwa nitaowakwaza ila hili jambo la kufungua makanisa popote tu bila kujali location mfano jirani na ninapokaa wamefungua kanisa uani na wanaimba toka saa nane mchana na ibada...
nina mtuhumiwa wangu ambaye ni mwizi. niliibiwa ndani lakini sikufanikiwa kumkamata wala kumwona. ila vielelezo vyote kutoka kwa watu wake wa karibu vinadhibitisha yeye ni mwizi wa kudumu mtaa...
Itafaa zaidi ikijibiwa na wenye taaluma ya sheria.
Katika kupitia gazeti la mwananchionline, nilikutana na habari inayosema..'Wakili Ajitoa Kumwakilisha Lema Kesi ya Uchochezi'.......Ningependa...
Nafurahi sana kuwa kwenye jumba hili kubwa la jamii forum,
Kwa ukubwa huu nategemea kupata mawazo mzuri ya kunisaidia ktk jambo lifuatalo:-
Ndugu yangu aliingia kwenye Saccos moja hivi akiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.