Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Sina uelewa sana kuhusu mambo ya wosia. Ila niliona Rais Aboud Jumbe ilitarifiwa kwamba aliandika wosia kuelekeza namna gani angependa kuzikwa. KWenye ukoo wetu kumekuwa na ubishi wa kugmbania...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndoa yangu ilikuwa ya kikanisa, tumeshaachana na mke ameamua kuondoka mwenyewe. Nawezaje kufuta cheti cha ndoa? Nina mpango wa kuoa mwingine. Ikizingatiwa Mimi in mtumishi wa umma na vyeti vya...
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Samahani waungwana, mwenye material facts za hiyo case aniwekee tafadhali. Ni KHATIJA BAI V SAMJI
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam wadau, Katika cap 16 ya laws kuna subsection nadhani ni 8 inasema; "Ignorance of the law does not afford any excuse for any act or omission which would otherwise constitute an...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Namba msaada kujua sheria inayosimamia Reseni hususani reseni ya udereva kama imebadilishwa au La. Ndugu wana jamvi siku za nyuma kabla hatujaletewa reseni mpya kwa kipindi kile tulikuwa tunatumia...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Salama ? Naomba ushauri , 1. Je sheria ya makampuni inaweza kuruhusu umiliki wa kampuni ukabaki wa mtu mmoja? Yaani mwanzo walikuwa wengi lakini kadri siku zilivyooenda wanajitoa na...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari ya asubuhi wakuu. Mimi ni mfanyakazi wa serikali. Mwaka 2014 nilichukua mkopo kwenye benki moja kwa mashart ya kukatwa kwenye mshahara wangu kwa muda wa miezi 48 (miaka minne). Lakini pia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Mimi si mtaalamu wa sheria, ila naona utumishi wanachanganya watu. Mfano, unakuta mtumishi hayupo kazini bila taarifa kwa muda wa siku kadhaa, na ukaja ukapewa barua ya utoro kazini, charge sheet...
0 Reactions
12 Replies
21K Views
Kazi kubwa ya sheria zote zinazoshughulika na masuala ya ardhi ni kuratibu na kutoa mwongozo katika miamala mbalimbali ya masuala ya ardhi katika maisha ya kila siku...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari Wadau! Naomba msaada kujua ni sheria ipi inayo weka kikomo cha uwezo wa kukopa kwa mwajiriwa. Najaribu kuomba mkopo kibaruani kwangu nitatulie shida zangu kadhaa, ila wananiambia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu Nmeajiliwa katika kampuni moja hapa dsm (secta binafsi) nmefanya nao kazi mwaka mmoja na miezi minne sasa natarajia kwenda kusoma baada ya kujichanga japo kwa hiki kidogo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba ufafanuzi kuhusu Section 79(c) of the Electronics and Postal Communications Act, No 3 of 2010. Naomba kujuzwa kama ni kosa kisheria kumiliki tovuti(website) ambayo domain yake...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndg wanabodi kumekuwa na mfuatano wa kesi nyingi kuanzishwa na serikali na mwisho wa siku kukosa ushaidi je vyombo husika vina ubora ufaao/?. Rejea kesi ya Mr masamaki ,Manji na sare za jeshi na...
1 Reactions
1 Replies
750 Views
Umuofia kwenu wana jamvi, Nina ndugu yangu wa kike aliolewa ndoa ya kanisani-katoliki na alibahatika kupata watoto watu na huyo bwana. Lakini kuna mambo ya kutokuelewana kati ya huyo dada na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habarini wanajukwaa siku si nyingi nimekutana na changamoto ya wafugaji kuvamia shambalangu na kuharibu mazao pamoja na bwawa langu la samaki. Nilifanikiwa kuripoti polisi na baada ya siku mbili...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari wakuu, Naomba kufahamu, je mfanyakazi kukatiwa bima ya afya ni lazima ama ni hiari ya mwajiri? Hatuna bima ya afya kazini kwetu hivyo napenda kujua ili nijue cha kufanya. Natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chama cha wanasheria mnasubiri TL afe? Mbona hatusikiii harakati zenu katika kunusuru hali ya Tundu Antipasi Lisu? Mnasubiri afe mje na matamko? Ninataka kujua mmechukua hatua gan tangu tukio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wiki iliyopita nimepata ajali na gari yangu, nimegongwa na corolla iliyokuwa imepoteza uekekeo na kuja upande wangu wa barabara. Baada ya taratibu za kipolisi kufuatwa tumejua gari hiyo haina...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna sinto fahamu,kuna msiba ulitokea somewhere,MTU aliyekufa ni mwanaume,hakuwa ameoa,ila Mara ya mwisho ameishi na mwanamama mmoja takribani ten years bila ndoa mpaka mauti ilipomfika,ila huyu...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza, Mwanamke akiamua kukeketwa kwa hiari yake at legal age je ni kosa kisheria?
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom