Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wakuu habarini! Samahani leo nataka mnitoe tongotongo kuhusu sheria na utaratibu wa kupata makazi kwa yeyote ndani ya Tanzania. Ni hivi, nimeshangaa kusikia katika kijiji kimoja mkoa fulani...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Anayejua jamani nauliza. Mwaka jana sikupewa likizo kwani kulikua na upungufu ea watumishi.. Sikulipwa naomba msaada wa waraka au sheria gani niweze kudai haki yangu Ahsanten Sent using Jamii...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hongera Mh. Jaji Mkuu, lakini imani ni ndogo. Kwa nini nasema hivi? Kwa nini alikuweka "benchi"? Waswahili wanasema: IF YOU WANT TO BEFRIEND A LION, JUST STARVE IT", baada ya siku saba, mtupie...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Mazen • 3 months ago People praise the efforts made by President Magufuli, however there is much work to be done if Tanzania is to be respected as a modern country. The judicial system is...
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wajuzi nisaidieni elimu, naomba kuuliza, Rais wa nchi ya Tanzania ana mamlaka ya kumfuta kazi Jaji Mkuu aliyemteua?
0 Reactions
15 Replies
6K Views
natumai ntapata msaada wa kimawazo hapa kwakua najua jukwaa hili linawanasheria si haba, ' pembeni ya maskani yangu kuna bar moja hatari sana yani imekua kero usiku mzima hatulali ni kelele tu...
0 Reactions
1 Replies
945 Views
Mwanangu mimi (mtoto wa dada yangu) amerudi analia, akisema amelawitiwa. Kwa uchungu nikamchukua mwanangu nikampeleka polisi. Nikapewa PF3 Tukaenda hospitali na gari la polisi. Baada ya mwanangu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Watu wa Sheria naombeni jibu, Jaji Mkuu anaweza kukamatwa na Askari wetu na kufikishwa Mahakamani? Najua Raisi wa nchi hawezi kukamatwa, vp kuhusu Jaji Mkuu?
2 Reactions
50 Replies
6K Views
HAbari wanajukwaa! Nimefuatilia kwa karibu usomwaji wa kesi na maaamuzi ya mwisho katika kesi ya msingi iliyofunguliwa na Muungano wa vyama vya upinzani nchini Kenya NASA kupinga matokeo ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanza namshukuru Dr. Khamisi ambaye kupitia KLH News alinidokeza uwepo wa nyaraka hii. Barrick Gold ni kampuni iliyosajiliwa Canada. Na kimsingi shughuli zao wanazofanya kule Canada zinaongozwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu! Kwa wale wanasheria na pia wajuzi wa sheria na taratibu za kipolisi, naombeni ushauri. Binafsi sijui kabisa taratibu za kipolisi na pia kisheria, yaani jinsi ya kumuweka mtu ndani na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2010 Kwa kuwa na ibara ya 1 inayosema Zanzibar ni nchi Kwa maana ya Taifa kamili ni wazi kuwa katiba ya Zanzibar haiutambui...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama mada ilivyo hapo juu. Ameondoka huku akiacha maneno mengi kama vile kutishia kuniua na kwamba hanihitaji tena. Kwa hatua aliyoifikia nami sihitaji kuwa naye tena. Ikiwa nitahitaji talaka...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mimi ni mwalimu ninayesumbuliwa na ugonjwa wa moyo,nafanya kazi mikoani lkn nimepewa referal ya kutibiwa Hospitali ya Taifa,kutokana na ushauri wa daktari kwamba ninapaswa kuwa nahudhuria kila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani naomba wale wajuzi wanifahamishe kwa hapa kwetu tulipozaliwa kwa bahati mbaya, Mahakama ya juu kabisa ipo ? Ni ipi hiyo? Inasikiliza hoja kwa uhuru na haki ?? Nifahamisheni jamani.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ole nangole si leo , vipi huko court of appeal?
1 Reactions
2 Replies
840 Views
Naomba kuwauliza Wanasheria waliobobea kwenye sheria. Je haya yafuatayo yanaweza kufanya uchaguzi kufutwa:- Mwenyekiti kutangaza matokeo kabla ya nyaraka zote hazijafika na yeye amekubal kuwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wandugu, Naomba wanasheria mnisaidie kama kuna kifungu chochote katika sheria ya ardhi kinachosema mtu anapouziwa eneo ni lazima kati ya mashahidi wawe watu wanaopakana na muuzaji. Pia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dear members, As we speak, Ugandan judges and magistrates, over 400 of them, are striking over poor conditions. The Uganda Law Society is in full support of the striking Judiciary. No one is...
0 Reactions
2 Replies
616 Views
Leo kwenye Magereza yetu kuna akina Kitilya, Manji, Malinzi na mahabusu wengine wengi ambao kila wakifikishwa mahakamani wanaambiwa upelelezi unaendelea. Kwanini mtu ama watu wakamatwe na...
1 Reactions
2 Replies
865 Views
Back
Top Bottom