Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mtu yuko nje ya nchi na akafanya kosa la mtandaoni kama vile kutukana,n.k akiwa katika ardhi ya nchi ya kigeni, mtu huyo akirudi hapa nchini(Tanzania) anaweza kushitakiwa?
Yaani sheria hii...
Samahanini naomba kuuliza. ikitokea maeneo ya mgodi yamechafuliwa na uchafu wa kutoka mgodini kama vile vumbi au kemikali na hakuna madhara yaliyothibitika, je ni hatua zipi watu au serikali...
Hivi mnaweza kuamini kuwa wabunge wote (inluding wale wa kuteuliwa ambao idadi yao inafika almost 150) wanatembea na pasi za kiplomasia?
Lakini kilichonistajaabisha ni kuwa wabunge wa nchi...
Changamsha bongo na panua IQ yako. Ukitazama picha (hapo chini) kwa makini, unaweza kujua ni nani muhusika wa kifo cha huyo mwanamke? Je ni 1, 2, 3, au 4? Toa sababu zako.
Wakuu naomba mnipe muongozo hapa.
Chombo kikuu cha kutoa haki ni mahakama. Sasa nauliza, kama mahakama ikiizuia serikali kufanya jambo fulani, au ikiiamuru serikali kulipa gharama fulani na...
As per Section 148 of the Criminal Procedure Act,makes Armed Robbery as a Non-bailable offense! my dispute here is how a person become prosecuted under armed robbery while the commission of an...
jeshi la polisi wamepigwa na wanajeshi maeneo ya ubungo mataa kuna hali ya hatari hapa wananchi wamejaa sana
Wanajeshi wanaokadiriwa kuwa 50 kwa pamoja wamemshambulia trafiki kwenye...
Hivi ni muda gani nchi inaweza kukaa bila jaji mkuu? Ni kwa kipindi gani au ni kwa muda gani wakuu...
Nchi inakaa na Kaimu jaji karibia miaka 2 sasa hivi hii imetafasiliwaje kwenye maswala ya...
Nisaidieni jaman juzi nimepoteza kadi ya Bima ya afya nimefuata hatua Zote ikiwemo ripoti kutoka polisi naenda pale na ambiwa siwez Pata nyingine kwa sababu aliekusajilia ni Dada yako labda...
Baada ya kifo cha Kanumba Msanii Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu alifikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusababisha kifo cha msanii mwenzake Kanumba.
Ni muda muda mrefu Sasa sijasikia...
Poleni na majukumu ya kila siku
Nilikuwa naomba kujua endapo mshitakiwa, kapelekwa kituoni akapata dhamana akatoka, siku ya kesi mshitakiwa uyu kaenda mahakamani anambia inaitajika arudi...
Naomba msaada sheria zinasemaje kuhusu tiketi kutumika kama ushahidi mahakaman. nimeshtaki nimemtishia mtu kumuua wakati tarehe aliyotaja kwenye maelezo yake mimi skuwepo mkoa anaodai nilimtishia...
Hii imekua ni kawaida sasa kukuta mtu wa kawaida tu (layman) asiejua sheria kuuliza swali la kisheria au kutaka msaada wa kisheria then ikapita ata week nzima bila mtu huyu kusaidiwa, ni sawa...
Wasalam wanaJF,
Nimekutana na mjane mmoja huku songea kwa kweli anatia huruma na kweli anahitaji msaada wa kisheria ili aweze kupata haki yake.
Kwa ambao wana elimu ya sheria naombeni mumsaidie...
Wasalaam
Jamani kichwa kama kinavojieleza ni kwamba nimepiga mimba mtoto wa shule.
Huyu mtoto ni private candidate sasa ningependa kujua kama na hapa serikali itaninasa kisheria
Sent using...
Wanasheria heshima kwenu,
kwa uelewa wangu mdogo ni kuwa hati ya kiwanja inapatikana baada ya kupata offer ya kiwanja then ndio baadae unapata hati ya kiwanja (kama nimekosea nisahihisheni kwa...
Wadau nimeshangazwa na kitendo cha Mkuu Wa Wilaya ya Handeni Bw.Gondwe kumchongea Hakimu aliyehukumu kesi ya mfugaji vs mkulima Kwa Mh.Rais kuwa eti Hakimu anawapendelea wafugaji.Matokeo yake...
Salaam wakuu.
Humu najua wanasheria wako wengi, nahitaji recommendation ya mwanasheria. Kesi ya mambo ya ardhi, ni complicated kidogo hivyo ningependa nipate mwanasheria mzoefu sana. Prominent...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.