Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari wadau! Kuna hii tabia ya raia anapokwenda kutoa taarifa kituo cha polisi huambiwa atoe 10,000 ya mgambo kwenda kumkamata mtuhumiwa wako je hii ni halali na sababu ya kuwepo mgambo vituo vya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina wafanyakazi ni wakorofi na tumewafukuza kazi. Lakini kule CMA wamefungua madai kwamba procedure ya ku-terminate employment yao imekosewa na ni kweli tukiangalia ni kwamba tulikosea. Je...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu Mkataba wangu unaonyesha namna Employer anavyoweza kuvunja mkataba kwa kumpa employee notice lakini hauonyeshi namna employee atavunja. Jenitumie njia ipi sahihi ku resign? Asanteni
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Sheria ni kama mchezo flani hivi wa akili. Kwanza wanakuambia. hakuna ushahidi ambao umewahi kukamilika 100% Na hata kama ushahidi wako ulikamilika kwa 90% na ile 10% iliyobaki inaweza kumpa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Yawezekana wengine hawatanielewa, lakini swali langu hasa ni kwa wale wanaoandaa mabango hasa pale Mtu mkubwa anapokuwa ziarani au kwenye public. Kuna mtu amekasirishwa na bango kule kigoma na...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Ndugu zangu wanajanvi hapa nilipo nimepigwa na butwaa hata nashindwa nishike lipi naomba nisaidiwe na nguli wa sheria mliomo humu. Ni kweli kwamba unapowekwa chini ya ulinzi mkamataji anapaswa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nilitembelea mahakama moja wapo hapa jijini dar es salaam kwa nia ya kutiliwa saini kopi za vyeti vyangu vya elimu. Nilikaribishwa vizur tu pale mapokezi. Nilipoeleza shida yangu, nilishangaa...
1 Reactions
8 Replies
843 Views
Ukisoma Jurisprudence au wale waliofanya Legal Theory ni mwanafalsafa gani ambaye unamuelewa sana? Binafsi mimi nawaelewa sana hawa wafuatao: 1. Professor Oliver Wendell Holmes 2. Professor...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Kabudi has said "lawyers are the most learned" because they don't define terms but they enterprete them. Is this true guys?
2 Reactions
23 Replies
7K Views
"Unajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakmu/majaji, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria" *Lamar_Smith* Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
839 Views
Uchochezi: Definition and explanation Sir JAMES STEPHEN defined a seditious intention as “an intention to bring into hatred or contempt, or to excite disaffection against, the person of his...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Kama heading ilivyo, kwa msichana aliyemaliza form 4, na kusubiri matokeo yake anaruhusiwa kuolewa kabla ya matokeo kutoka?? Je, sheria inasemaje?.
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu leo imehukumiwa Kesi ya Bw mdogo mmoja ambae amempa Mimba Mwanafunz na Kahukumiwa kifungo cha Miaka 30 na fain ya pesa Taslim Tsh 4M Kiukweli nimejaribu kuwaza kwa Sauti Binafs sipingani...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
Habari wakuu, Nilikuwa naomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu mtu aliyefanya mauaji ya watu kazaa huku akiwa amepandisha mapepo, Je atashtakiwa na kuhukumiwa kama wauaji wengine au atapewa excuse...
4 Reactions
49 Replies
3K Views
Hi ! Kwa sheria za nchi yetu ili uweze kuishi kwa amani ni muhimu ukawa na kitambulisho kinachokutambulisha ya kuwa wewe ni raia wa tanzania na vitambulisho hivyo ni pamoja na Kitambulisho cha...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba nieleweshwe kuhusu IPTL,nakumbuka mkatataba na serikali ulikuwa wa 20 years,na umeshakwisha,serikali imegomA kuhonor renewal application,je IPTL wana issue yeyote na serikali maana naona...
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Nalisema, there is a growing tendency of prosecution machinery in Tanzania kutumia vibaya kosa la kutakatisha fedha kuwakomoa watu, wasipate dhamana and the like. And that is abuse of office...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Tuchukulie mimi (Me) ni mtuhumiwa, ama nimekumbwa na kashfa, katika eneo langu la kazi. Ofisi inaamua kunihita katika kamati ya Maadili kwa masikilizano. Anakuja :- (1) Hr observer and...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Wasalaamu wakuu?. Kuna swali linanitatiza kidogo ..najiuliza kwamba mimi ni mwanachama wa CWT (CHAMA CHA WALIMU TANZANIA) na hvyo ninakatwa 2% ya mshahara wangu kila mwezi kwa ajili yao. Tatizo ni...
2 Reactions
4 Replies
955 Views
Back
Top Bottom