Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kitendo cha serikali kutangaza kupeleka mswaada wa kuundwa kwa bodi ya wanasheria ni jambo la kupongezwa sana na wananchi.Hii itasaidia kwa kiasi kikubwa kudhibiti wanasheria wasio na nidhamu...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndugu wana body sitaki kuwachosha. Mada ni je? Mfanyakazi ambae aliachishwa kazi kwa sababu yoyoteile, na hakufanyiwa medical exist. Baada ya malalamiko katika taasisimbalimbali za sheria...
0 Reactions
1 Replies
559 Views
Naitafuta mantiki ya majaji wanaojiuzulu kabla ya wakati wao wa kustaafu kufika kupeleka barua zao za kusudio la kujiuzulu kwa Rais. Ni kwa nini majaji hao wasipeleke barua hizo kwa Jaji Mkuu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma mabaliko ya sheria yaliyofanyika bungeni kwenye WRITTEN LAWS MISCELLANEOUS AMENDMENTS hasa kwenye INCOME TAX ACT CAP 332 kuna section zimefanyiwa mabadiliko lakini nikiziangalia kwenye...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
ndugu wana jf nmekuwa na jambo linalonitatiza na nategemea msaada wenu. Mm ni muajiriwa mwaka huu kama mwalimu wa sek. But nimepata kaz BANDARI YA dsm,hvyo natakakufaham taratbu za kisheria za...
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wanajf, Hivi adhabu kwa mlanguzi wa pembe za ndovu na magamba ya kakakuona ikoje? Mfano:kuna jamaa alikamatwa na magamba ya kakakuona kibao, huyu jamaa hukumu yake ikoje kwa wataalamu...
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Husika na mada tajwa hapo juu ningependa kujua kutoka kwa wabobezi wa sheria juu ya; 1. Utaratibu upi uanaotakiwa kufuatwa pale mashitaka yanapofutwa kwa kigezo cha mlalamikaji kutohudhulia...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Ndg Wanajamvi. Siyo mara ya kwanza kusikia hii hoja pale ambapo mtu anakabiliwa na kesi fulani na kuambiwa kuwa mahakama haina uwezo kusikiliza hilo shitaka, kinachonikera zaidi ni kwa nini mtu...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
FAHAMU KOSA LA “DEFAMATION” KAMA LILIVYO AINISHWA KWENYE SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI NAMBA 12 YA MWAKA 2016 (The Media Services Act, 2016) Ndugu msomaji, yamkini si mara yako ya kwanza kusikia...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Hbr wadu! Tafdhali naomba kupewa muongozo wa kisheria na taratibu kuanzia ngazi ya kijiji mpaka wizara husika zinazotumika kuanzisha kituo cha kulea watoto yatima. Nina mpango huo kwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari wana jamvi, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Naomba kufahamu dhana ya ndoa kwa sasa ni miaka mi mingapi au mda gani ambao mwanaume na mwanamke wakiishi pamoja watathibitishwa kuwa ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kwa tetesi nalizopata kutoka kwa askari wa cheo cha juu katika jeshi la polisi ni kuwa serikali ipo mbioni kupiga marufuku uingizwaji wa pikippiki aina ya Bajaji (boxer) wa madai kwamba zinatumika...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Msaada wa copy za mifano ya fomart ya mikataba ya kuuziana magari na kuuziana plot of land
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba tujuzane website nzuri za kupakulia softcopies za material ya sheria! Na hizo sites zikiwa za Kiafrika contentwise,itakuwa poa sana! Karibuni!
0 Reactions
1 Replies
889 Views
"The First Thing We Do, Let's Kill All the Lawyers" by Murray S. Eckell, Esquire Shakespeare’s Tribute to Trial Lawyers The great trial lawyer Daniel Webster said: "Justice is the greatest...
1 Reactions
3 Replies
763 Views
IMEANDALIWA NA MAWAKILI. 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na...
15 Reactions
36 Replies
5K Views
Kuna miswada mitatu ya sheria iko bungeni, lakini sijaona hata thread moja kwenye hili jukwaa kuhusiana na hili naona inajadiliwa kwenye jukwaa la siasa. Vp wanasheria chambueni hii miswada hapa...
0 Reactions
6 Replies
896 Views
Nahitaji msaada wa Act, amendment, au Case law ambayo inatoa qualifications za Daktari ambaye anaruhusiwa kujaza pf3 and/or postmoterm. Maana huku nilipo Clinical officers wengi ndiyo wanaojaza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye capital markets and securities act cap 79 RE:2002 naomba anitumie
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za Asubuhi Wakuu Nina Kaka Yangu Ambaye Mpaka Sasa Hivi Ninapoongea Yupo Lupango Bila Makosa kisa ni Mama Mkwe. Yaani Mchumba yake Ana mtoto Ambaye alizaa kabla Hawajakutana BT Katika...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Back
Top Bottom