Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Je mahakama ya mwanzo hapa nchini zina uwezo wa kusikiliza shauri la mirathi ( probate and administration case) kwa mirathi inayohusu ardhi iliyosajiriwa( registered land)?
Msaada wa kifungu cha...
Vijana wengi wajasiriamali wadogo wamefungua makampuni. Hakika wote waliofanya hivi wamefanya jambo jema linaloendana na wakati. Niliwahi kuandika wakati nikielekeza namna nyepesi kabisa...
hongereni na majukumu ya ujenzi wa taifa wakuu.ninaomba ufafanuzi wa kisheria kuhusu mtu aliewahi kuajiriwa na serikali kisha akaachishwa kazi kwa madai ya utoro kazini,je...
Nimeshtakiwa mahakamani kwa na mtu ambaye nilimkopa pesa kwa makubaliano ya kurejesha na riba ya 30% mwezi wa kwanza nikamlipa riba tu. Mwezi wa pili baada ya kuona sijamlipa riba yake + hela...
Salam wakuu,
Juzi kuna mdau alianzisha uzi juu ya watu wenye kuhitaji ufafanuzi na usaidizi katika sheria ya ardhi sasa naona mods wamefuta/wamehamisha na siuoni tena ule uzi na niliuliza swali la...
Sheria inasemaje kwa MTU anayemiliki ardhi kijijini? Mfano mtu anamiliki kiasi kikubwa cha ardhi kijijini akidai ni urithi Wa ukoo , wakati katika kijijini hicho hicho kuna watu hawaba ardhi kias...
Baada ya kumsikiliza Mh Rais kwa umakini na kwa tafakari kubwa nimeona kuna kasoro kubwa ambayo ipo katika sera na sheria zetu kama nchi hasa kuhusu masuala haya ya haki za jinsia
Napenda niende...
Wadau wa sheria naombeni ushauri wenu
kuna mjomba wangu mwaka jana mwishoni aligongwa na basi la kampuni fulani akafariki papo hapo
dereva akapandishwa kizimbani na kupigwa faini ya sh 50.000...
Wanabodi,
Najua wengi wetu, tumehamanika na mjadala wa Escrow na Ripoti ya PAC, kwetu sisi wengine wenu, ile Ripoti ya PAC ya jana, tunaiona hakina kitu wala haina jipya bali ni sehemu tuu ya...
Wengi wetu tumeshangazwa na Hukumu ya Majaji watatu wa Mahakama Kuu, Radhia Sheikh, Richard Mziray and Lugano Mwandambo, kwamba IPTL isijadiliwe Bungeni, na yale ambaye Uongozi wa Bunge umekuwa...
Natanguliza shukurani katika hili,nimeomba uhamisho wa mke wangu kutoka wilaya ya kilolo mkoani iringa kunifuata manispaa ya IRINGA,nikapewa ahadi ya kumuhamisha.Sasa kilicho tokea afisa elimu...
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habali hapo juu
Mimi natafuta msaada wa kisheria namna ya kuwatupa lupango wababe wa vita, mafia, mafilimason, watemi kutoka kule kanda...
Please can some one assist me ,who has more power between Attorney General against Minister of law based on constitution of united republic of Tanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.