Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nina ndugu yangu askari wa central wamemchukua tangu juzi wamemweka lupango tangu juzi tunahangaika hawataki kutatajia namba ya jalada ya kesi wala kututajia mpelelezi wa kesi na hawataki kumpatia...
9.--{1) A person commits an offence if that person-
( a) uses a computer to send to another person any data (whether in the form of a message or otherwise) that is obscene,constitutes a threat, or...
Naomba kujua kama kuna mtu ana link au anajua ninakoweza kupata kitabu kinachoitafsiri katiba ya Tanzania maana nahitaji kujifua kisheria ili nipambane na kesi 1 ninamshitaki mwekezaji kwa...
Muda mrefu kimesikika kilio cha wafungwa na mahabusu kadha kulalamika kuwa wamebambikiwa kesi, hali kadhalika, wananchi kote nchini wamesikika hapa na pale wakilalamika kuwa maafisa wa serikali za...
Kwa wale mliopo kwenye ulimwengu wa sheria, ebu tujuzane juu ya hili. Kwamba likizo ya uzazi imeongezwa toka siku 84 hadi miezi 6?
Kiambatanisho chajieleza.
nini kinapaswa kifanyike inapotokea hali kama hii baada ya mirathi.
document yaani orijino ya offer ya kupata hati ya kiwanja kutoonekana
ila copy zipo za hiyo offer na watoto wa marehemu...
Wadau nakumbuka mh Raisi alitangaza bei elekezi ya Sukari kuwa ni 1800.
Huku nashangaa nauziwa 3000. Ndio bei au tunaibiwa huku?? Mheshimiwa raisi naomba utuokoe. otherwise naona hela yetu kama...
UWEZEKANO WA KUYASHITAKI MAKAMPUNI YA MADINI KUREJESHA HASARA TULIYOIPATA HUU HAPA.
Na Bashir Yakub. +255784482959
Mikataba yoote ya kimataifa huongozwa na wajibu wa aina mbili. Wajibu...
Kila siku tunaimbiwa kwa kuna Mihimili 3 inayojitegemea, sasa swali langu kwa nini Jaji akitaka kujiuzulu haombi kwa Jaji Mkuu badala yake anaomba kwa Raisi JMTZ?
Maoni yangu, bado hamjauelewa...
Wasaalam naomba kujua nimekuwa nikinunua nafaka maduka ya jumla Mbagala rangi tatu kama vile maharagwe, mchele, mahindi nakadhalika jambo lililosababisha niletee mada hapa ni pale unapopimiwa...
wasalaam!
mwenye uelewa juu ya adhabu inayoweza kutolewa kama mtu kamnyanyasa mtoto kwa kupiga na kuacha makovu ama ya kufinya au viboko.
nawasilisha kwa upole.
Ndugu wana jamii forum nimepatwa na tatizo la kisheria ambalo ninaomba kwa anayejua namna ya kutoka anisaidie. Tatizo hili inawezekana lilishawapata wasomaji wa jamii forum, lakini hata kama...
Habarini wanajf,
Nina swali kidogo nilikua naomba msaada wa kusolve case hii.
Kama nina kampuni na nikawa naidai serikali kesi ikiwa mahakamani. Lakib kabla kesi haijaisha kampuni ikafirisika...
Ikitokea re-trial ikawa ordered by the Court of appeal , kwa mfano ushahidi wote umeshatolewa na pande zote, inakuwaje maana kila upande unakuwa umeshaona weakness za upande mwingine. Is there not...
Nina ndugu yangu yupo zero yapata siku ya 8 sasa kwa kutuhumiwa kwa kosa LA wizi wa kimtandao ambapo imekuja kufahamika kuwa yeye alinunua simu ambayo inasadikika ilifanya kosa hilo..mlalamikaji...
Hodi humu ndani,
Kwa muda sasa nimekuwa nikihangaika na changamoto mbalimbali za kimaisha na kutokana na kuwa mbali na familia kikazi, mengi hutokea nyumbani ktk familia yangu, ndugu na jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.