Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Hellow wanajukwaa, naombeni ufafanuzi kwa wanaojua sheria ipoje juu ya hili; unapokuwa umefungua kesi mahakamani juu ya masuala ya ardhi, inatokea mtu uliyemshitaki ameomba kufuta kesi, je ni vitu...
Kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu Kinahusu Kosa Kuu (Core Crime) Dhidi ya Rais na Dola ya Tanzania. Ifahamike Kwamba, Rais Akishaapishwa (Uwe Hukumchagua au Ulimchagua), Uwe Unampenda...
OUR LAWS (Tanzania laws) ALLOWED TO GET MARRY TO UNDER 18 YEARS WOMAN FOR SOME CIRCUMSTANCE.
"People were asking me on the age of Sasha Obama that she has born on 2001, due to the Following...
KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
YA MWAKA 1977
67.-(1) Bila ya kuathiri masharti yaliyomo katika ibara hii, mtu
yeyote atakuwa na sifa za kustahili kuchaguliwa au kuteuliwa
kuwa Mbunge...
Ndugu wanajamvi kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba tuungane kusoma yanayowasibu ndugu zetu
Kuna familia moja ambayo mpaka sasa ina watoto 6 wengine wameshatangulia mbele za haki ambao...
Wakuu habari za mchana na poleni kwa majukumu.
Nimeajiriwa kama mwalimu katika shule moja inayomilikiwa na kanisa. Mnamo tarehe 07/04/2017 mkuu wa shule alitutaka tufike kazini japo ilikuwa ni...
Habar zenu wakuu.
Miaka7 iliyopita nlikua na mwanamke tuliishi nae na tukapata watoto wawilii lakini ndani ya uhusiano huu pia tulienda kwa shehe tukafunga ndoa ili tupate cheti kwasababu hyu...
Naangalia taarifa ya habari Azam Two, nakutana na habari ya bodi ya mikopo (Heslb) yaburuzwa mahakani na mmoja wa walalamikaji akishirikiana na mawakili wengine.
Note:Jamani mkomae hivyo hivyo...
Kwema wana jamvini
Mh. Kariuki sheria haiko general kiasi hicho na imekusudiwa isiwe hivyo sababu miaya ya makosa na ingekuwa mingi kama ilivyotaka kuwa.
Kwa mfano wakuu wa mikoa wilaya na...
Matamshi ya Mh. Waziri Angela Kairuki yamenichanganya mimi na naamini Watanzania wengi pia wameshituka. Ni kweli Katiba yetu inasema ili mtu awe kiongozi wa kisiasa analazimika tu kujua kusoma na...
Wakuu habari,
Tunahitaji kuuza nyumba ya marehemu baba yetu iliyoko Mbeya. Nimeshauriwa kuandaa hati ya maelewano ambayo tutamia kusaini watoto wote ambao ni warithi wa hiyo nyumba. Nimejaribu...
Wakuu Habari,
Nilikuwa nahitaji mwongozo wenu kwenye hili.
Tuna nyumba yetu Mbeya ambayo tumerithi toka kwa baba na mama baada ya kufariki. Tupo kama 6 hivi watoto. Kabla ya hapo kulikuwa na...
Sec 120 of the PC condemns Fraudulent acts , Civil servants in particular, let us see how Politicians henceforth including Provincial commissioners are exonerated from the act?
Habari zenu naomba msaada wa sheria,
Mi ni mama wa mtoto mmoja, baba wa mtoto kipindi cha mwanzo alikataa mimba akaja kuikubali ila hakutaka kuwa n mimi. Matumizi kwa mara ya kwanza hakutoa badae...
Habari zenu wanajamvi, naombeni msaada kidogo.
Je nikitaka kufanya application kwenye baraza la ardhi na nyumba (wilaya) ya stay of execution as well as extension of time to set aside exparte...
Wadau habar.
Nipo katika mchakato wa kununua eneo linamilikiwa kimila (unsurveyed area) search natakiwa kuifanya wapi tofauti na village land registry? Msaada jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.