Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habarini wanajamvi,
Nina cousin wangu alipata kuajiriwa na International Organization moja hapa Tanzania kama Consultant kwanza na baadae kama muajiriwa wa kawaida. International Organization hii...
Naombeni msaada wa kisheria ndugu yyangu ameachishwa Kazi kwa kosa lisiloeleweka a me hang any I kids afanyeje? Nilikuwa ni ivi wafanyakazi waligoma siku ya tar 21 murch ila yeye aliingia night...
Mimi ni kijana niliyehitimu kidato cha sita, 2016. Nilifanikiwa kusomeshwa na bibi na mama,,
Sasa nilitumia jina la Mjomba kuandikisha shule toka awali had form six,
Mzee Wangu alifariki nikiwa...
Naomba ushauri wako,usinitukane najua binafsi nimekosea nahitaji kutatua hili tatizo nini nifanye.
Mimi ni mfanya biashara mwaka Jana mambo hayakuwa mazuri kwangu nilienda bank nikakopa milioni...
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/312e13567a8e79e7565b0948959c70a0.jpg[/IMG
Nimeambatisha copy ya form ukiangalia heading yake inajieleza wazi.
Mimi ni mmojawapo wa wahanga wa...
Ndugu zangu namatumaini nyote ni wazima,mimi ni mtanzania nimemaliza form 6 mwaka 2013 na sasahivi nipo chuo muhimbili Environmental health,Swali langu ni juu ya ubadilishaji majina yangu ambayo...
Wakuu nina matatizo makubwa hapa..ngoja niwape scenario halafu mnishauri,mwaka huu jana kama tarehe 24 december ambayo ni jumamosi nilipata cm rafiki yangu yupo kituo flan cha police ana matatizo...
Na huo ndiyo ukweli wenyewe ingawaje wengi wao wanaojiita Wanasheria labda hawalielewi hili, hakuna kitu kingine unachojifunza zaidi ya maisha ya Muingereza!
Na ndiyo maana nchi zote...
B is a resident of kwetu district in the internet region. He got married to D in 2010.In may 2014 D brought divorce proceedings in kwao district in computer region. The district court dismissed...
sijalipwa mshahara kwa muda wa miezi kumi,nimeacha kazi katika hiyo kampuni nikiwa bado nadi lakini mwajiri mbishi kulipa madai yangu akidai biashara ngumu ,naaminini si kweli) kwani kampuni bado...
Nimeajairiwa na sekta binafsi,mwaajiri anataka tuvunje contract by mutual separation without any justification of pure performance,anataka anilipe 5months,je ninaweza kuchukua hela hiyo halafu...
Naomba kama case hii ilikwenda court of appeal mwenye judgement ya Court of appeal anisaidie. It is difficult to trace anyway, by chance it is possible to come across it!
Hi members!
Kuna mtu alifungua kesi ya kudai Ardhi, tarehe 23/01/17 katika baraza la Ardhi la wilaya (DLHT) dhidi ya mtu anaemwita amevamia shamba lake. Wakati anafungua kesi hiyo Ardhi ilikuwa...
Wanajf kuna jamaa yangu alikopa pesa kwenye bank flani ivi vinafanania kama saccos na alichukua muda wa miaka miwili hadi deni lihishe.
Na mkataba wake ulianza desemba 2015 hadi desemba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.