Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Unreported cases unaweza kuzipata wapi na kwa utaratibu gani?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tazama! Mwaka 1971 mkulima mmoja aitwae Said Mwamwindi alimuuwa Mkuu wa mkoa wa Iringa marehemu Dr Kleruu kwa kumpiga risasi. Kwa wanaokumbuka kesi ile Alhaji Mwamuhindi alinyongwa mpaka kufa...
8 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ni jambo gani kutokana na sheria za nchi raia anaweza kulifanya na akafukuzwa nchini kwake akaishi uhamishoni moja kwa moja au kwa muda wa miaka kadhaa? Hebu wajuvi tiririkeni hapa...!!
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wana taaluma wa Sheria. Ninakuja na ombi langu kwenu la msaada wa mawazo ya kisheria juu ya adhma yangu ya kufungua shauri katika tume tajwa hapo juu. Ukweli ni kwamba mwajiri kaniachisha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Naam! Salaam wakuu, Kuna dogo mmoja, ni mdogo wangu, ameanza sheria tu mwaka wa kwanza yupo. Sasa karudi home mara moja, anajiona tayari ni DA (District Attorney) Ubishi ulikua ni kwamba, JE...
5 Reactions
62 Replies
10K Views
Naomba mwenye case law hii anisaidie TANZANIA FISH PROCESSORS LIMITED v. CHRISTOPHER LUHANYULA asante
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna ndugu yangu amestaafu. Anadai fedha zake toka kwa mwajili. Almost 3 years tangu astaafu. Amemkumbushia fedha hizo mwajili ansema hanan hela. afanyeje? Nauliza hivyo kwa kuwa time limitation...
0 Reactions
0 Replies
821 Views
Kwa uelewa wangu, wananchi ndo kama mabosi wa serikali. TRA bila wananchi hawana mapato, Bandari bila wananchi hamna kazi, Mishahara ya serikali inategemea mapato toka kwa wananchi, bila uchaguzi...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Ningependa kuelezwa kiundani kuhusu TLS. Faida zake, umuhimu wake, kazi zao na uhusiano na Serikali kuu.
1 Reactions
108 Replies
14K Views
1. Habarini za majukumu; Ninaomba kujua mipaka ya utendaji kazi kati ya Chama cha wafanyakazi na Mwajiri mahala pa kazi 2. Je,ni halali kisheria mikutano ya chama cha wafanyakazi kuhudhuriwa na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najua hapa JF ndo kila kitu na kuuliza sio ujinga. Naomba kujuzwa kazi au jukumu la TLS, asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nafuatilia masuala ya sheria hapa nchini. Nimewahi kusikia kiongozi mmoja akisema kuwa hategemei kusikia mawakili watawatetea watuhumiwa wa madawa ya kulevya. Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Na wala haishi Tanzania. kama kuna conditions, ni zipi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wana jf, katika pitapita nimefika huku usa kuna binti kakamatwa na kunyimwa mtoto wake aliye chini ya mwaka mmoja. Inavyonekana jamaa wamepeana hela kwani binti amepelekwa mahakamani kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jaman nipo maeneo ya Kahama hapa, kuna mtu amenipigia simu kwa namba ngeni na kunitamkia maneno haya "Nasikia unajua sana kuimba nyimbo za mapenzi, sasa wewe umeanza, mimi nitamalizia, nikamuuliza...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima msaada misheria hii ipoje? Sababu kila abebae begi mgongoni anakuwa na Sababu zake binafsi. Eidha ziwe nzuri ama mbaya. Je, kisheria mwajiri anamamlaka ya kuzuia mabegi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Matumizi mabaya ya madaraka ya DPP tanzania yana historia ndefu, hayakuanza na kesi ya Lema. Tafuta na soma kesi hii: Mehboob Akber Haji and Another V.R "It is this unfairness and injustice...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nafanya kazi kwenye sekta binafsi,niliitwa kwenye meeting na boss wakiwa na hr manager.wakanitumu utendaji usioridhisha,wakasema hawawezi kuendelea na mimi,wakaomba niache kazi by mutual...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi,jana niliitwa na boss wangu pamoja na hr,wakinituhumu kuhusu utendaji usioridhisha,na wakasema hawawezi kuendelea na mimi kazini.lkn sijawahi kupewa onyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom