Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wataalamu wa sheria naomba msaada, je ni halali kisheria nikalima bangi nchini kwa ajili ya kusafirisha nchi zilizo halalisha matumizi ya bangi?
Ikumbukwe kwamba nina uhakika 100% kwamba bangi...
Wataalamu wa sheria naomba mnisaidie
1. Kosa la identity theft.
2. Kosa la kunadanganya rais adhabu yake ni ipi?
3. Kosa na kufoji cheti adhabu yake ni ipi?
4. Kosa la kufoji passport adhabu...
Habari, Wakuu.
Naomba kujua kama ni jambo la kawaida Mwajiri kukushusha cheo, pasipo kumshirikisha mwajiriwa kwa barua, badala yake unakuta job title yako imebadilika ktk salary slip, japo kuwa...
Habari za humu ndani. Je, mimi kama raia wa Tanzania nina weza kumfungulia mashitaka ya watu fulani /mtu fulani mahakamani ikiwa nina uelewa kuwa fulani /watu fulani kuwa vyeti...
Kwa msaada wa kisheria tafadhari,nimesaini mkopo wa elimu ya juu kwa lipa ya asilimia 8 je nikikatwa zaidi ya hapo naweza kuwashitaki bodi ya mikopo ya elimu ya juu??
Je, sheria ya Makosa ya mtandaoni(Cybercrime Act) inasemaje kuhusu kutumia jina ambalo sio lako katika akaunti za Mitandaoni?
Je, kama inakataza vipi kuhusu sisi WanaJF tunaotumia majina ambayo...
Wandugu, kama kuna mtu mwenye copy ya hukumu ya mh. Godbless Lema hiyo wanayosema imetolewa Arusha kuhusiana na dhamana yake, ambayo wanasema mawakili wa serikali/dpp wameambiwa kuwa wanainajisi...
Mimi sio mtaalamu wa sheria lakini nimeona iko haja ya kuona uwezekano wa kuweka vizuri huu utaratibu/sheria kwamba mwanasheria wa serikali kuwa na jukumu la kuruhusu kupeleka kesi za jinai...
Tanganyika law society tunawavika huu WAJIBU wa kumshitaki Bashite. Mamlaka inaonekana kamwe hazitamwajibisha. Your credibility will be tested on this! Why discriminatory prosecutions! Why?
Habari zenu wakuu,
Ningependa kufahamu, Je ni sahihi kwa mwanasheria wa manispaa Legal officer ambaye hajawa advocate kutumia Muhuri wenye initials na jina lake wakati huohuo ukionekana kama...
Habari ya mda huu Wana-JF!
Napenda kutumia fursa hii kuomba kwa yeyote aliye na sheria ya Manunuzi ya Umma ya 2014 na kanuni zake za mwaka 2011 na 2013.
Naitaji kusoma na kuelewa ili nifahamu...
Habari zenu wanaJF,
Hapa kazini kuna mfanyakazi ambae aliniomba mkopo na hhatukuandikishana. Nimejaribu kumdai lakini ameishia kutaka kunidhulumu maana kila tukionana ananikwepa.
Naomba...
Katika utatuzi wa Migogoro ya Ardhi, kuna vyombo mbalimbali vilivyoanzishwa kisheria
kushughulikia utatuzi wa migogoro ya ardhi.
Baraza la ardhi la kijiji
Hili ni baraza la chini kabisa katika...
Waungwana, nadhani hukumu ya jana ya Court of Appeal kuhusu dhamana ya Lema ni muhimu katika mustakabali wa dhamana katika historia ya nchi yetu baada ya uhuru. Ni vizuri kama kuna mwenye hukumu...
Wanasheria na wasomi hodi humu ndani, nibaomba msaada sana wa Katiba ya NGO inayohusu mambo ya Dini (missionaries) na Jamii (reaching the poor people and unreached ones) kwa lengo la...
Daud Mwangosi enzi za uhai wake.
Na Francis Godwin, Iringa
KESI ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten na Mwenyekiti wa Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa...
Ni mara nyingi sana nimesikia watu wakiwaambia wengine wafanye fujo na wasiogope kwani watawatoa hata wakikamatwa!
Binafsi nafikiri hakuna wasaa muhimu kama huu kuzifanyia marekebisho Sheria...
Poleni na majukumu ya kila siku
Msada ambao unaitajika hapa ni kutaka kujua je mtuhumiwa ambaye anatuhumiwa kumpatia mimba mwanafunzi wa shule je anaweza kupewa dhamana
Na kama anaweza kupewa...
Naomba nianze kwa salamu ndugu wana JF. Ok niende moja kwa moja kwenye mada husika hapo. Nimefanikiwa kutembelea kituo cha police maturubai hapo mbagala kipati. Niliyoyakuta humo ni ya kutoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.