Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mtaani huku ni soo watu 15% ndo habari ya mjini, lakini mimi nilitaka kidogo wanasheria mtusaidie inakuwaje. Mimi kama mteja nimesaini mkataba wa kulipa mkopo kwa 8% alafu baadae inakuja...
3 Reactions
46 Replies
6K Views
Hili linahusu sheria za kazi, chukulia mfano umeajiriwa katika Halmashauri au Wizara kwenye mkataba wako wa kazi unasema Mwajiri wako ni Mkurugenzi Mtendaji/Katibu Mkuu. Je ikatokea Rais wa...
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Ndugu wana bodi, amani na iwe kwenu...... Nimetatizwa na jambo hapa naomba kusaidiwa kiushauri..... Nitasema bayana ili nieleweke wazi...... Mimi bana ni kijana(29yrs), kuna dada mmoja japo...
4 Reactions
105 Replies
8K Views
Kutokana na siku hizi utapeli kutamalaki kila mahali, na mara nyingi kwenye suala la ardhi, ningependa kujua na kufahamu ninaponunua kiwanja, shamba au nyumba ni taratibu gani napaswa kufuata ili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mara nyingi huwa naona kama kuna traffic jam magari ya askari polisi, magereza na JWTZ (na hata yanye namba zinazoanza na a ST, SU) wakitanua lakini magari ya raia yakitanua yanakamatwa. Jana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnisaidie sheria ya matumizi ya ardhi; Ivi ukikabidhiwa ardhi kijijini na serikali ya kijiji. Inatakiwa uanze kuitumia baada ya mda gani? Na usipotumia kuna madhara gani ....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habr? Hivi kushushwa cheo ofisini pia hata mshahara unashuka? Naomba msaada pia ukiniwekea vifungu nitafurahi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba msaada: Idara ya ardhi ina mamlaka kisheria kuingia kwenye ardhi ya mtu ambayo haijapimwa (unsurveyed) na kupima barabara au kitu chochote bila ridha ya mwenye ardhi? Master plan ya mji...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanasheria wetu naomba kujua kikatiba Mwenyekiti wa Parole anatakiwa awe Na sifa zipi ili aweze kuteuliwa?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna mtu yeyote anayekatwa na hili shilika NIC(NATIONAL INSURANCE COOPERATION)?. Ni sheria IPI inatumika na mashilika HAYA ya bima kumkata mteja ambaye hajasajiliwa/hajajisajili kwa hilo shilika...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
KESI ZA KUMTUKANA RAIS ZINAONGEZEKA, KUNA NJIA RAHISI YA KUMALIZA TATIZO : Jana nimesoma tena kwamba kuna mwanamke Mbeya amefikishwa mahakamani na kunyimwa dhamana - kosa ni kumtukana Rais...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Siku za leo umezuka mtindo wa watu hasa vijanana kutumia mafumbo kuusema, kuukosea au hata kutumia maneno ya kuudhi dhidi ya mhimili ule wenye mizizi mirefu. Hawautaji moja kwa moja ila ukisoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mzee Kabunga , wewe umezeeka sasa, na wewe mi muumini mzuri tu! Lakini kwa hiki kitendo cha kuendelea kuratibu mipango yako mibovu ili watu wasio na hatia waendelee kuumia hata Mungu unayemwabudu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarin Wakuu,Naomba kwanza kulaani dhidi ya baaadh ya jamii ya watanzania ambao tumezidi kua na tabia ya kuchukua sheria mikononi na kuua watu tukiwatuhumu kua ni majambazi,wezi,wagoni n.k...
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Kesi za kikatiba huwa ni tofauti na za jinai au madai.Za katiba huwa hawatajwi watu wala hushtaki watu unaomba ufafanuzi wa maswala ya kikatiba tu.Ukishtaki mtu kwenye mahakama ya katiba hiyo kesi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanachama wa JF, Naomba kwa anaejua kuhusu hili jambo, kuna mmama yuko vicoba na Mwenyekiti wa hicho kikundi amekataa wasipige mahesabu, wala kuwapa vitabu vyao na wanataka ushauri wa kisheria...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Baba yetu amefariki miaka 2 ililiyopita. Kabla ya kifo chake mwaka 1998 alioa mke mwingine na akaishi nae katika nyumba alipokuwa unaishi mama na wadogo zangu. Mama akalalamika baba na mke wake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba kufahamu kuhusu agizo la makamu wa raisi kutaka watumishi wa umma kufanya mazoezi kila jmosi inakuaje iwapo mi ni mtumishi na sitaki kufanya mazoezi hayo ya amri Na kwa muda huo wa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Leo nimeshangaa kusoma mahala kuwa South Korea raia wake akivuta bangi hata akiwa nje ya nchi atahesabiwa kuwa na hata siku akirudi nchini humo kwa kosa alilolifanya nje ya mipaka ya nchi hiyo ...
0 Reactions
2 Replies
954 Views
Hivi ni kwa muda gani bunge linaweza kuchukua hatua stahiki baada ya mtanzania Fulani kugomea wito wake kisheria?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom