Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna watu nawadai pesa niliwakopesha wananizungusha karibia mwaka nataka niwafungulie mashitaka mahakamani naombeni msaada wenu wanasheria ili niweze kupata pesa zangu utaratibu upoje wa...
Habari ndugu zangu wana JF,
Kuna rafiki yangu alipelekwa mahakamani kwa ajili ya kudaiwa akawa analipa kidogo kidogo ingawa mahakama ilimtaka alipe awamu mbili pesa yenyewe ya riba millioni moja...
Ni mara chache kuona watanzania wanaishi kwa kufuata sheria ama kanuni zilizowekwa ktk jamii.
Naomba msaada ktk hili hivi Mwanafunzi wa chuo kikuu anastahili kulipa nauli kiasi gani ktk...
wazazi wangu walitengana, kutokana na baba kumtelekeza mama na watoto na kwenda kuishi kwa mwanamke mwingine baada ya kutengana kikazi! wakati kesi ikiendelea ya taraka, baba alistaafu na kupata...
Sina nia mbaya kabisa naomba nisieleweke vibaya! Please!
Hivi huyu Msomi Wakili Maringo, hizi case laws anazouza kutoka mahakama mbali mbali anaziuza kwa utaratibu upi? Anaruhusiwa kuuza public...
Naomba mwenye soft copy ya hii case anisaidie. Naona pote imekuwa restricted. Please help!
TANZANIA BREWERIES LTD..APPELANT VS ANTHONY NYINGI…RESPONDENT CIVIL APPEAL NO.119 OF 2014 JUDGEMENT HON.
Wakuu kwa mfano umepata safari ya kwenda nchi nyingine wakati huo huku Tz umeacha mchumba ambaye ana ujauzito, ghafla unarudi ameshajifungua, kwa ham na shauku unamtafuta kwenda kujua wapi alipo...
Nilifungua kesi ya jinai juu ya raia mmoja wa kigeni toka mwaka jana. Kesi hii ilichelewa sana kufika mahakamani hii ni kutokana na raia huyu kuwa alitengeneza mazingira ya rushwa kwa OCS na OCD...
Wakuu,,napenda nijue taratibu za kukata rufaa ktk kesi ya jinai ambayo ilikuwa ktk mahakama ya wilaya,,process zipi zifuatwe baada ya kupata nakala ya hukumu? Na je uhakika wa mtuhumiwa...
Nina mdada na ni rafiki yangu sana nimejuana naye toka mwaka 2006
Wakati nafahamiana naye tayari ni mwathirika wa UKIMWI.
Tatizo la huyu rafiki yangu anabadilisha wanaume kila Siku
Kila...
Wakuu,
Hivi kuna sheria/utaratibu au mfumo wa Mahakama zetu kutoa nakala za hukumu mbalimbali kwa wananchi iwapo wataonyesha kuziitaji?
Kama ndiyo,kuna ada yeyote inayolipwa kwa karani ili...
Napenda tuwajue mawakili wasomi kuwahi kutokea Tanzania
1. Masumbuko Lamwai
Huyu bwana ni bonge la mwanasheria kuwahi kutokea. Aliwahi kumwambia Waziri mmama mmoja kuwa ni Malaya. Yule waziri...
Nimesikia Leo kuna taasisi moja itazindua taarifa rasmi ya unyanyasaji wa ngono na ulawiti
Na mama mmoja Umetoa ushuhuda kuwa mtoto wake mdogo alikuwa anatoa uchafu na kutembea vibaya akiwa ana...
Habari ya kwenu wandugu,
Nina shida moja na ningependa kujuzwa kuhusu sheria za kazi na siku za kupumzika kwa wiki, Je ni lazima kupumzika siku za kazi (jumatatu-ijumaa) au jumapili. Na je...
Haya yanayotendwa na Askari wa usalama wa barabarani , kukamata na kuhukumu na kisha kuwaandikia faini " wahalifu " wa makosa ya barabarani yana uhalali wowote ?
Maana sasa ni dhahiri kwamba...
Hlw kwa wajuzi wa sheria
Naomba tupeane elimu kidogo katika hili suala ambalo serikali imetilia mkazo juu ya kufungia kinywaji cha Viroba.
Nimewahi kusoma juu ya yule bosi wa Ze utamu kuwa pamoja...
Ndugu zangu naomba msaada wa kisheria nina mtoto wangu kabadilishwa jina na kupewa la baba wa kufikia, nikiongea na mama yake anasema kwakuwa silipi ada ya mtoto (12yrs) na huyo bwana analipa ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.