Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mahakimu walio wengi wa Mahakama za mwanzo huwa wagum kutoa nakala za hukumu na mwenendo wa kesi kwa sababu gani?
Katika hali ya kawaida kama hakimu ametenda haki kwa pande zote mbili hakutakua...
Mtoto wangu ambaye yupo kidato cha nne sasa mwaka jana alizushiwa kesi ya KUBAKA ktk mazingira ya ajabu sana.
Tulienda na kesi mpaka mwisho ilitupiliwa mbali baada ya polisi ambao ndio...
Habari ya kazi wana Jf, naombeni ushauri kuhusu suala ambalo linamkabili jamaa yangu, iko hivi; jamaa yangu ni mfanyakazi wa bank private, pale kazini kwao palitokea tatizo ambapo kuna mteja...
Kumhukumu mtu kwenda jela na baadaye mtu huyo kushinda rufaa kunasababisha chuki zisizokwisha kwa waathilika wa hukumu hizo pamoja na wafuasi wao. Unasababisha mateso yasiyo ya lazima kwa mtu...
Naomba Kuuliza Je WAZIRI NAPE anayo mamlaka kisheria Kuunda Tume ya Kufanya Uchunguzi dhidi ya Mtu ambae ni Presidential appointee, ambaye kimsingi wapo level moja. Tena Tume yenyewe inatoka chini...
Habari wakuu?!
Mie sina uzoefu sana na masuala ya sheria naomba msaada. Kuna mtu nilikuwa namdai nikampeleka polisi. Polisi wakaomba hela ya kumkamata kuwa ni hela la mafuta. Nikatoa mdaiwa...
Hakika ni mda sasa haya magari yamekuwa kero!
Hivi hawa matraffic kutwa kukaa barabarani je haya magari hawayaoni yanavyovunja sheria.
Yaani wao hata kama watu wako kwenye foleni kwasababu wana...
1.Hvi mbunge wa kuteuliwa anaweza akaapishwa sehemu tofauti na bunge ikiwa kipindi cha uteuzi wake bunge halipo kazini.
2. Pia kama sikosei ninafahamu mtu hawezi kuwa waziri kama siyo mbunge...
Wana JF naomba msaada kama kuna mtu ana list ya makosa mbalimbali na faini anayopaswa mtu kutozwa pindi anapokamatwa maana trafic wanaonea watu kwa kutokujua nini haki zao
Nimefanya kazi kampuni fulani ya TV, tangu 2012 mpaka 2014, nikaamua kuacha kazi 2014, mpaka sasa bado hawajapeleka michango yangu, nimejaribu kufuatilia PPF lakini hakuna jibu zuri ambalo...
Niliuziwa kiwanja tukagonganishwa watu wawili huko simiyu,Mimi nikawa nimewahi kujenga nyumba pale baadae akaja mwenzangu na yeye anadai kauziwa,kumbe aliyemuuzia alishafanyaga ujanja mapema kabla...
CAP 20 of Laws
Criminal Procedure Act, 1985, RE 2002
SECT 23
PERSON TO BE INFORMED OF GROUNDS OF ARREST
Any person who arrests another person shall, at the time of the arrest, inform the other...
Habari wana JF, ninaomba kuuliza kwa mwenye uelewa
anisaidie kuhusu hili jambo.......nimesoma katika moja ya
prospectus ya chuo kikuu huria cha Tanzania {open
university} kuwa shahada ya kwanza ya...
MSAADA WA KISHERIA DPP ,AG ,MAJAJI, MAHAKIMU,MAWAKILI NA WADAU WENGINE WA TAALUMA YA SHERIA.
Wakuu naomba kufahamishwa kwamba sheria ya nchi yetu inasemaje iwapo ikibainika mtu au kikundi...
Kwenu Wanasheria/ wasomi.
Naomba uelewa wa kisheria kuhusu amri ya waziri Mwigulu alivyomuagiza IGP amkamate mtu aliyemtolea bastola Mhe. Nape.
1. Je agizo hilo ni amri halali?
2.Je IGP...
Watanzania tunaomba tafsiri ya kisheria kujua maana ya kashfa ikitofautiana na haki ya mwananchi kikatiba katika uhuru wake wa habbari na kujieleza kisiasa kiuchumi na kijamii!!
Maisha ni mifumo bila mifumo hakuna maisha. Mfumo wa hewa,wa chakula, wa damu na mfumo wa kutoa uchafu! Hata uoge namna gani au uwe na akili kiasi gani bila mfumo umekwisha na uhai wako lazima...
Heshima kwenu wadogo na wakubwa kwangu..!!
Kama kichwa cha habar kilivyojieleza hapo juu naomba kujuzwa main objectives za custom union kwa general na kwa east africa community pia
Nawasilisha...
Katika Uwasilishwaji wa taarifa ya Tume teule ya Waziri wa Habari, Michezo na utamaduni Nd.Nape Nnauye juu ya Tuhuma za Kuvamiwa Ofisi za Clouds Media ; Binafsi nimeguswa zaidi na Vipengele Viwili...
Wasalaam wakuu
Naomba msaada wa kisheria juu ya ajali ya gari iliyosababishwa na uzembe wa dereva,
Kuna mtu kagonga gari ya jamaa yangu akiwa kwenye speed Kali ya 130+,
Yani kaigonga na kuiharibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.