Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jamani polisi wamechukua vitu vya ndugu yangu na wanadai apeleke risiti vitu hivo vimenunuliwa mda sana naomba kwa wazoefu wa sheria au aliyewahi tokewa na tukio kama ili alifanyaje had akavipata...
Naomba msaada wenu wajuvi wa mambo ya sheria au yeyote anaye jua. Elimu yangu ni Diploma (Clinical officer) nahitaji kufungua kitua changu binafsi kwa ajili ya kutoa huduma ya afya. Napenda kujua...
Kutokana na tukio lilitokea juzi baada ya Adam Malima kupishana lugha na Askari pale masaki, na askari kuamua kupiga risasi juu Kamanda amesema kwamba kitendo hicho cha kupiga risasi ni sahihi...
Hivi Kama una ndugu, jamaa au rafiki ambaye anafanya biashara ya kuuza bidhaa.
Lakini ghafla anakuita anakwambia kwamba ana biashara Kubwa ambayo itahitaji kupitia kwenye akaunti ya benki.
Kwa...
Habari za jioni ? Nilikuwa naomba msaada wa mali za baba yangu kwa sababu ndugu zangu naona hawana mpango wa kufatilia.
Nifupishe kidogo hii habari yangu, mwaka 2006 baada ya baba kuachana na mama...
Wanakijiji wa kijiji cha momela wamepigwa mabomu kwa kuweka pingamizi la TANAPA kuweka mpaka kwenye mashamba ya wanakijiji na kudai kuwa ni sehemu ya national park, na mgogoro huo umekuwa...
Naomba msaada wa maelekezo namna ya kukata rufaa toka mahakama Kuu kitengo cha ardhi kwenda Court of appeal. shitaka lilianzia mahakama ya wilaya kitengo cha ardhi (land tribunal).
Kuna vitu...
Wadau wa sheria
Naomba kujuzwa sheria za Tanzania kama zipo ambazo zinanilinda katika vipengele vifuatavyo
a)Kama mtu/watu wanafuatilia mienendo yangu kupitia namba yangu simu.Hapa naamnisha mtu...
Habari za kazi wataalam wa sheria kwa jina niite mtu nguvu napatikana katika mkoa wa Kigoma.
Kuna swala moja la kisheria nilikua naomba ushauri baada ya 2003 baba angu kushinda kesi yake katika...
Kwanza kabisa pokeeni salamu zangu ninyi nyote wana Jf.
Ninaomba kuuliza ikiwa sisi wananchi tunaweza tukaipeleka serikali mahakamani kuidai fidia juu ya kupewa huduma na watu walioajiriwa na...
Wadau naomba kujuzwa Juu ya Kesi ya Mauaji ya Msanii Steven Kanumba iliyokuwa inamkabili Msanii Elizabeth Michael " LULU" iliishia wapi? Ni muda mrefu sijaisikia kuendelea.
Nina panga nyumba na miaka 3 sasa kwa mwenyenyumba. Sasa gafla kanitumia message na kupandisha kodi kwa sms. Nikamjibu hali ni mbaya na haitowezekana.... amekaaa kimya. sasa nimeenda kwake haelewi...
Habari zenu waungwana. Kama kichwa cha habari kilovyo. Ninaomba kujua ni hatua gani za kisheria naweza kuzichukua kwa watu wananizushia kwa lengo kunichafua.
Hili suala limeniumiza kwa muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.