Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Awali nimshuru mungu kunijaaalia uzima mimi na Aila yangu na wewe unaesoma uzi huu.
Wakuuu katika nchi yetu ya tanzania lazima uwe na angalau Idear ya Afya na Sheria bila ya hivyo ww utakua ni...
Umofia kwenu wakuu.
Hapa karibuni kibanda changu cha biashara kilivamiwa mara mbili katika nyakati tofauti na kufanikiwa kuiba kiasi fulani cha bidhaa.Katika kutafuta wahalifu uliitishwa mkutano...
Ninakesi na mtu fulani mahakama ya mwanzo. Nilimkopesha kiasi cha pesa kwa kuandikishiana, lakini sasa yeye anadai kwamba nilimkopesha kwa riba na analeta shahidi siku ya maamuzi ya kesi. Na huyo...
Habarini ndugu zangu naombeni msaada kwa manao fahamu sheria kuhusu kesi yangu
talehe 1/1/2017.nilipigwa mapanga 3 maeneo ya kichwan na mgongon pasipo kujua kosa wala sababu na jilan tunae...
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwA katika bwana naomba msaada wa kisheria ni njia gan au jinsi gan nitamufikisha mahakama mwizi mkubwa wa richmond
Fisad huyo ambaye kwa namna.. moja ama nyingine...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinyosema.
Baba yangu alikua ni mtumishi wa umma tangu mwaka 1981, aliendelea na kazi mpaka June 1999 alipata barua ya uhamisho kwenda kituo kingine cha kazi...
Nina duka langu dogo tu maeneo ya Sakina Arusha la spare za pikipiki, ndio nimefungua juzi, sasa leo TRA wanapita mitaani wanadai leseni, mimi sikuepo nilikua nimetoka, sikufunga duka ila kuna...
Tafadhali naomba kifungu cha sheria kinachoruhusu kuomba kibali cha mahakama kwa ajili ya kufukua mwil wa marehemu kwa uchunguzi zaidi.
Nawasilisha tafadhali.
Ndugu wana Jf,
Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa Jaji mstaafu wa mahakama kuu,Mwalusanya amefariki Dunia na kuzikwa jana hukohuko Dodoma.
Jaji Mwalusanya atakumbukwa kwa mambo mengi hasa kesi...
Dada yangu alinunua simu aina ya Samsung kwa mtu kaitumia kwa mda wa kama miezi miwili hivi then akaiuza....sasa juzi kuna watu wamempigia simu kwamba number yake ya simu ndo ilitumika kwenye...
Habari waungwana..
Nilikuwa na kesi pale CMA iliyo tolewa hukumu mwaka jana mwezi wa nane..
Upande wa pili waliomba revision kwa hiyo kesi ikaenda high court..
Sasa tangia wakati huo, jalada...
Uamuzi wa waheshimiwa Majaji 5 wakiongozwa na Kaimu Jaji Mkuu leo umeondoa utata juu ya rufani zitokazo Mahakama ya Kazi sasa rufani tajwa hazihitaji vibali za mahakama hiyo ya kazi kabla ya...
Habari wadau, naomba mwenye mktaba wa kazi ( kazi kwa waajiliwa wa viwandani) naomba anisaidie kuupata. Nahitaji mkataba huo kwa ajili ya kuwasainisha wafanyakazi wangu sasa sijui huwa...
Wanasheria Msaada hapo jamani
-----
Tumekuwa tukisikia fulani amepatikana na hatia ya kuua bila kukusudia au fulani ameua bila kukusudia, je unajua nini maana ya kuua bila kukusudia kisheria...
13.-( 1) This section applies if a person knows or has
reasonable grounds to believe that an investigation in relation to an
offence under this Part is being, or is about to be, conducted.
(2)...
Wadau kama kuna mtu anajua naomba anifahamishe nini natakiwa kufanya kama maaskari wanakataa kutoa dhamana katika kesi ya madai kwa sababu mfungua mashtaka anakataa mtu huyo asipewe dhamana na wao...
Nina mama yangu mdogo anafanya biashara ya samaki huchukua bwawa la mtera na kwenda kuuza makambako lakini hivi karibuni amekumbwa na mikasa ya kukamatwa na askari wa Doria(sio maliasili).
Jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.