Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari za leo, naomba kufahamu kuna msaada gani kwa mfanyakazi mwenye mkataba wa muda mfano wa miezi sita alafu mkataba wake umesema NOT RENEWABLE lakini kila ikiisha miezi sita anapewa mwingine...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari , Wakuu ipo hivi "nataka nifanye biashara ya pikipiki(bodaboda) kwa mkataba yani nampa dereva pikipiki awe ananiletea sh 10000 kwa kila siku then baada ya mwaka mmoja inakua yake, hapo...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Naombeni kujua ni haki zipi alizonazo mfanyakazi anapopunguzwa kazi? Kipi anatakiwa kupata?
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Collins v Wilcock [1984] 3 All ER 374 A police woman took hold of a woman's arm to stop her walking off when she was questioning her. The woman scratched the police woman and was charged with...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Vodacom wana kifurushi cha SMS bila kikomo kwa siku 30, lakini kumbe hizo SMS zina kikomo cha SMS 5000 tu. Sasa kwa mantiki hiyo Vodacom wanadanganya wateja wao na mimi nikiwa mmoja wao. Sasa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwa kifupi kuna dada nilishawahi kuwa na mahusiano nae kipindi cha nyuma kabla sijaoa, baadae nilioa tena kwa ndoa takatifu kanisani, katika siku za karibuni amekuwa akipost picha zangu katika...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
BREACH OF PROMISE TO MARRY – KUVUNJA AHADI YA KUOA AU KUOLEWA Haitakua haki kama kutakua na mfumo au namna inayolazimisha watu kuoana kama watu hao hawataweza kuishi pamoja kwa furaha. Suala la...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
If you have ever doubted the importance of the humble Oxford comma, let this supremely persnickety Maine labor dispute set you straight. A group of dairy drivers argued that they deserved...
0 Reactions
2 Replies
645 Views
WanaJF na mawakili wasomi wote mlioko humu, amani na iwe kwenu.... Naomba kufahamishwa na kufafanuliwa sheria inasemaje juu ya hili? Mfano, mtu aliyeathirika na anajijua kuwa ni muathirika na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SERIKALI imeongeza masaa ya unyonyeshaji kwa watoto kwa watumishi wa serikali, mashirika pamoja sekta binafsi ili kuwezesha watoto kuwa na afya bora inayotokana na maziwa ya mama. Hayo ameyasema...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
DHAMANA NI NINI? Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na...
46 Reactions
72 Replies
58K Views
Wakuu, Napenda kuuliza kwa anayejua na mwenye exposure ya kimahakama zaidi juu ya hizi hundi ambazo washitakiwa hulipa wakiwa mahakamani ili wapate dhamana. Tumezoea kusikia kwamba ili...
1 Reactions
1 Replies
881 Views
Ndg wana JF kumekuwa na wimbi kubwa la wafanyakazi serikalini kukimbilia kugombea nafasi mbalimabali katika vyama huku wakitumikia majukumu yao serikalini, mfano chaguzi za vyama zinazoendelea ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, kama kesi ni ya jinai (kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu) mtu amehukumiwa kifungo cha nje na kutakiwa kumlipa mlalamikaji lakini hakuweza kumlipa mlalamikaji kwa muda uliopangwa na...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Determining factors. When first setting bail, the bail magistrate considers the type of crime the defendant is accused of committing and the potential penalty, or sentence, for that crime. The...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana jamiiforums naombeni msaada wa sheria ya ardhi.Kuna mzee mmoja karithi mirathi ya bibi mmoja lakini amekuwa akisumbua majirani mara azibe njia muhimu mara adai maeneo yote yake...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini jamani nahitaji msaada wenu niliibiwa vitu nikavipata then aliyeiba akapelekwa polisi. Je kuna haja ya mm kufungua kesi??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu naombaa msadaa kuhusu jambo hili, nimenunuaa simu dukani kwa mfanya biashara tecno cx mpya nimetumiaa mda usiopungua wki mbili na nusu ikaharibika speaker kubwa ya sauti...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa sheria ya ajira na mahusiono kazini kufungu cha kumi na nne kama kinavyoonekana hapo chini, 14.-(1) Mkataba na mfanyakazi utakuwa wa aina zifuatazo- (a) mkataba kwa kipindi cha muda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nini kifanyike ikiwa jalada la kesi limefunguliwa tofauti (yaani toka kesi ya madai mpaka kesi ya jinai)
0 Reactions
2 Replies
819 Views
Back
Top Bottom