Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Heshima yenu wanajamvi...
Naomba niulize....
Hivi kuwa na porn videos kwene simu ni kosa kisheria?!!
Naombeni msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba kuuliza wanasheria wenzangu, kuna sehemu yeyote katika sheria za Tanzania ambayo inaruhusu either by expression or by implication kufungua kesi ya kupinga matokeo ya Urais? Kama ipo naomba...
Sina tafsiri sahihi ya hili neno "uhuru wa kuabudu" ila naona kama watu wanaitafsiri tofauti wanapitiliza.
K7na nyumba ya ibada hapa jirani huwa wanaamsha watu kwa ajili ya kuswali lakini maneno...
Nilifwatwa Na rafiki yangu niksaidie kumchukulia mkopo bank ya access sh ml 40 kwa sabbu mm ninamzunguko Nmb Na wale wana taka waone MTU mwenye mzunguko WA kibenk ndio wakupe mkopo
Wakatoa...
Wakuu habari,
kuna kampuni iliyokuwa imeniajiri, sasa imekuwa kichwa ngumu kulipa pesa zangu za pensheni. Nimefatilia NSSF wananirusha kwa mwajiri, nikienda kwa mwajiri anakwepa.
kwakua salary...
Mi nafkiri mh. Diwani,na mwenyekiti WA timu yetu pendwa baba WA familia yako na RAIA mwenzangu wa Tanzania kwa hili umekosea,Mengi ni mpinzani wako lakini nakuona ukinywa maji ya Kilimanjaro...
HESHIMA NA IWE KWENU WAKUU.
Miezi mitatu imepita sasa tangu watu wasiojulikana kuvamia kibanda changu cha biashara mara 2 ndani ya mwezi mmoja na kufanikiwa kuiba mali zenye thamani kubwa hali...
Wanabodi,
Nimeguswa na kitendo cha Mchungaji Christopher Mtikila kugoma kukamatwa na polisi bila arrest warrant, ni kitendo cha kustahili pongezi, kufuatia polisi wetu kutekeleza majukumu yao ya...
Origin of sedition
The crime of sedition is purely an English creation . Prior to the 17th Century, the offence of seditious libel emerged as an offence in the Court of Star Chamber. In De...
Habari ndugu zangu.
Hivi karibuni Mungu akipenda naweza nunua Nyumba hapo mkoani Arusha.
MSAADA nao uhitaji ni mambo gani nizingatie napofanya ununuzi huu?
Kiukweli sijui chochote juu ya masuala...
Habari za jioni wadau ukiibiwa ukiwa ndani ya bank na ikithibitika kuwa kwli uliibiwa ukiwa ndani ya bank je liability itakua kwa bank au itakua ya kwako mteja?ukiibiwa na kibaka ukiwa ndani ya...
Naombeni Msaada Wa Kisheria Ndugu Wanasheria Juu Ya Matatizo Yaliyojitokeza.
Ni Hivi Kuna Ndugu Yangu Mmoja Alipata Kufunga Ndoa Mwaka 2015 , Na Baada Ya Kufunga Ndoa Wakaendelea Kuishi Na Mkewe...
Hello wadau wote ninatumaini mpo wazima na w'end inaenda poa.
Mara nyingi tumekuwa tukisikia nchi yetu ikishitakiwa kwenye mahakama as usuluhishi za nje kwa mambo kadha ya kadha.
Je, kuna ambao...
Nimeajiriwa kwenye compuny mwaka 2014 na kila mkataba wangu ulipokuwa unaisha nimekuwa nikipewa barua ya kuuendeleza huo mkataba mwaka huu nimepata promotion ya kupandisha cheo kidogo. Baada ya...
Habari wakuu,!!kuna mdgo ake rafiki ang mmoj alikua kdato cha tatu msichana ni mcha mungu na alipenda sana shule.Kuna jamaa MTU mzima tu alkua anamtaka kimapenz kakamkatalia kabisa basi jamaa...
Habari Magwiji wa Sheria, naomba kupatiwa muongozo wa kisheria ili niweze kumburuza aliyekuwa Mwajiri wangu MAHAKANI.
Huyu bwana alisimamisha mishahara yangu kwa muda mrefu kwa madai kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.