Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
LAWYERS
By Mohandas Mahatma Gandhi
Reader : You tell me that when two men quarrel they should not go to a lawcourt. This is astonishing.
Editor : Whether you call it astonishing or not, it is...
Wasomi /wakuu habari za siku,
Mimi ninatatizwa na usemi hapo juu maarufu "kujichukulia sheria mkononi"
Hivi karibuni kumetokea baadhi ya wananchi kufanya maamuzi kinyume na sheria
(nionavyo...
Tuanadanganywa, Tunapumbazwa, ama Wanasheria au mawakili wa Serikali hawajui Sheria.
Sina mengi napenda kujua hilo tu maana sielewi ni kitu gani kiko ndani yake,
Wakuu,
Msaada please, aliye na Fomu (form) za kufungulia shauri kwenye tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) naomba anirushie hapa. Natafuta soft copy sababu hard copy inachangamoto zake kuijaza...
Naomba kufahamishwa kutokana uzoefu wenu ktk makampuni ya Bima, je ni kampuni gani ambayo inalipa kwa haraka na uhakika pindi ajali inapotokea kwa chombo cha moto au nyumba imepata tatizo...
Nimeona kesi ya IPTL ( Sethi na Rugemalila) inasimamiwa na PCCB but kwa uelewa wangu. PCCB wanafanya uchunguzi then wanapeleka jalada kwa DPP kwa ajili ya mashtaka je huu utaratibu umebadilika?
Kipo kisa cha udhalilishaji kimefanyika huko Iringa, ila nashangaa baadhi ya viongozi wanaomba serikali eti ichukue hatua kali dhidi ya mdhalilishaji.
Kisa kiko hivi: Mwanamke mmoja kaenda zake...
Wakuu,
Nilikuwa na kesi ambayo ilikuwa tunagombea kipande cha Ardhi. Ushahidi pande zote ulitolewa, mimi nilikuwa mlalamikaji. Hukumu ilitolewa kwamba mimi sina haki. Lakini katika mwenendo wa...
Wadau kama kichwa kilivyo,
Kuna ndugu yangu amemjeruhi mtu kwa kumkata na panga baada ya kumfumania na mke wake, sasa amekamatwa yuko chini ya vyombo vya sheria. Nimefuatilia tukaambiwa kwa sasa...
Kangaroo wote tunamjua,kama siyo kwa kumuona mubashara basi hata kwa picha.Wengi wetu tulianza kumuona kipindi kile tuko kule kwa bibi kijijini Shitimbi,ni mnyama ambaye mara nyingi hubeba watoto...
Jamani naomba msaada eneo langu linachukuliwa na limekwisha endelezwa nanyang'anywa bila kuusishwa nataka nifungue kesi msaada nisimamie sheria zipi na vifungu vipi?
Wandugu,
Nilimaliza chuo mwaka 2012 baada tu ya kumaliza chuo nilikuwa na Akiba yangu ya 2ml. Nikaamua kufanya biashara ya simu.
Miaka miwili baadaye nikafanikiwa kuwa na mtaji, nikaamua...
Habari wasomi,
Nimekuwa nikipokea sms hizi kwa wingi kutoka vodacom kupitia namba 15017 ikinisisitiza juu ya matumiziya ARV pamoja na kujijali dhidi ya HIV.
Kiukweli hizi sms zinaniboa na...
Je, Bunge lina mamlaka ya kufuta kifungu mama na kinacho tengeneza sura ya katiba na mfumo wa utawala bila kushirikisha wananchi??
ZINGATIA
"Legitimacy of the people"
Naomba kujua sheria ya ubomoaji majengo upoje? Je kama ni utanuzi wa bara bara kwamba halikuwepo hilo wazo mwanzo walipokua wanajenga watu sheria inasemaje? Na mwisho kama watu walijenga kwenye...
Jamani mimi nilikuwa mfanyakazi kwenye sekta ya madini nimeachishwa kazi muda wa miezi nane lakini kila nikienda NSSF nazungushwa njoo baada ya miezi miwili mara mwezi bila mafanikio je kuna njia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.