Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Mimi ni kijana wa familia, nina dada wawili baba yetu alipofariki aliacha urithi wa nyumba mbili na shamba la viwanja vidogo kama sita ukigawa) nje kidogo ya Dar es Salaam nafanyia kazi mikoani...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu ya kila siku. Nilikuwa nafanya kazi katika shirika moja binafsi kwa mkataba wa miaka miwili na ktk mkataba huo ili uresign unatakiwa utoe notice ya miezi 3 au uache/ ulipe...
0 Reactions
2 Replies
943 Views
Wadau naomba tusaidiane katika ili,nina shangazi yangu mdogo tu 24 ameachishwa kazi bila kufanyiwa haya na mwajiri wake kama taratibu na sheria za kazi . Shangazi ni mwalimu katika shule ya...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
NABII Josephat Mwingira na mwanamke anayedaiwa kuzaa naye, Dk. Phils Morris Nyimbi wameburuzwa katika Mahakama Kuu, Kitengo cha Ardhi mjini Moshi wakidaiwa kuchukua shamba la ubia kati ya Mzungu...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Kweli tunababaishwa dah
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waziri wa zamani wa Nishati na Madini , Daniel Yona na Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba. KWA UFUPI Mawakili wao nao wanaandaa mchakato wa ‘kuwachomoa’ gerezani kwa dhamana Dar...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tunaomba wanasheria wa CCM watufafanulie hapa. Kwa Mujibu wa Katiba ya CCM, Toleo la Mwaka 2012 Ibara ya (105), Inazungumzia Kazi za Mkutano Mkuu. Ibara Ndogo ya (03), ya Ibara ya (105), ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari za leo? Naomba kwa mwenye kijua viwango vipya vya PAYE kwa Zanzibar kwa mwaka wa fedha 21015/2016. Ninavyo viwango vya zamani ila vya mwaka wa fedha 2015/2016 atundike humu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg, Kwa mtu mwingine yeyote anayeweza kunisaidia, Katika sheria za Tanzania, hususani mifugo, kuna kipengele kinacho husiana na ukadiliaji (ukubwa na thamani) ya marisho? Ikibidi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, Kuna shauri la talaka na kugawana mali linaendelea mahakamani, ktk shauri hilo mdai ni mwanamke. Huyo mwanamke anadai talaka kwa kuwa mume wake(mdaiwa) anamnyanyasa na kamletea bi mdogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Dah. Katika hali ya kushangaza nimetishwa na kutukanwa na mtu ambaye ananidai ambako alianza kuvurumisha matusi makubwa pamoja na vitisho, huku akiniambia nitakuharibu. Hali hii imekuja nikiwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalam, Ninasikiliza redio hapa wanafafanua kua kikomo cha Waziri serikalini ni baada ya raisi kuvunja Bunge. Je kuna ukweli hapa? Au kuna ufafanuzi zaidi? Pili ukomo wa raisi aliye madarakani...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Wapendwa wanasheria, Je bado ni halali Mhe. Hamad Rashid kundelea kuwa Bungeni. Mwanzoni pamoja na CUF kutomtambua ilikuwa sawa kwa kufuatia amri ya Mahakama ambayo hakuwa na uwezo wa kufikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Ikitokea road license imeisha na hujalipia na askari wa usalama barabarani akakukamata. Nini adhabu ya kosa hili? Nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu dada kaja huku ninakoishi, akaja hadi gesti, tukafanya yetu, wakati anaondoka hatukuwa na mawasiliano mazuri kwasababu ya mkwanja. Baadae jioni nikapigiwa simu kituo jirani kwamba nahitajiwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jaji Mkuu Augustine Ramadhani kama kiongozi mkuu wa mhimili wa serikali, MAHAKAMA, pamoja na wenzake wamefanyakosa la wazi(sijui walikuwa wanajua au hawajui) la kuuwa mhimili huu pale walipotoa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba kujua sheria yetu inasemaje kuhusu waongoza wageni, je inaruhusiwa mtu ambaye si raia wa Tanzania kuongoza wageni ndani ya Tanzania ufafanuzi kuhusu guiding act inasemaje.
0 Reactions
1 Replies
920 Views
Msaada wa chuo.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Nataka sheria ya ardhi ya kiswahili wadau, mwenye nayo please.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Salaam wana jukwaa!!Naomba msaada wa ushahuri wa kisheria wa namna ya kumshitaki mtu niliyemuuzıa malı zangu kwa mkopo lakıni amegoma kunilipa.Ni mfanyabiashara na ana uwezo wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…