Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wadau habarini za jioni, Ninataka kujua vitu vya kufanya kabla sijauza eneo langu ambalo bado sijapata hati ya kiwanja kutoka wizara ya ardhi, kwani kwa sasa zile documents (nafikiri ni letter of...
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Habari za Jumapili waungwana,jamani naomba wataalam wa sheria mnisadie kwa hili. Nafaham kuwa kwenye nyumba za kulala wageni kuna vitabu vya kusajili kila mgeni anayelala kwenye nyumba hiyo na ni...
0 Reactions
0 Replies
892 Views
Wadau wa jukwaa la sheria kuna jambo linanitatiza, kuna shida yeyote mtu akibadilisha hati ya saini yake alokuwa akitumia awali na kutumia saini jipya?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimeliona jambo hili uku wilaya ya Iramba- Singida. Hivi hawa walinzi wa amani wanaongozwa na sheria hipi kutoza faini hizo? na kama hipo kikomo chake ni shilingi ngapi? Mfano kuna mtu kakamatwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari zenu wanajamii, i am planning to buy a small drone (syma x5-1) which costs aroung $60 for my younger brother. it is very small with 2mp of camera. the flying duration is 7mins only. he...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Wanamuziki Nguza Viking na Papii Kocha wanaotumikia kifungo cha maisha jela, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasamehe kwa makosa waliyofanya. Nguza na mwanaye Papii walitoa ombi hilo kupitia...
1 Reactions
127 Replies
19K Views
Kwa kifupi.....Kuna family friend ambaye nilimjua kutokana na yeye kufahamiana na wazazi wangu, huyu jamaa anaishi kwenye wilaya moja za mkoa wa Mtwara ambapo pia ndipo nyumbani kwetu kwa wazazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
How to get new Labour Laws of Tanzania and the new wage orders regularly. Kindly help
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Habari ndugu zangu? Jana nimepokea wito wa kwenda mahakamani bila kukosa. Kuna taasisi ina nidai, sasa imekosa uvumilivu na kuamua kunibuluza mahakani! Kwasasa hiyo pesa ya kuwalipa haipo, je...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu zangu Naomba kujua pale mtu anapo shitakiwa na mahakama ikamtia hatiani kisha ikamtaka kulipa faini au kwenda jela kwa kipindi fulani. Je mtu huyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari ndugu zangu poleni na majukumu na pia asanteni kwa ushauri na elimu mnayotoa kwa wananchi kupitia jukwaa hli, suala langu ni moja tu mim ni mwalimu na kama ilivo kawaida sehemu za kazi watu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, nina mdogo wangu wa kiume ambaye yupo kidato cha nne sasa, juzi nilipewa taarifa kutoka shuleni kuwa amekamatwa na polisi na kuwekwa ndani, nilipofuatilia shuleni nikaelezwa kuwa mdogo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari WanaJF Kuna huyu ndugu yangu amepata matatizo, kama kuna mwenye kujua namna ya kumsaidia apate msaada wa haraka nitashukuru. Kisa chenyewe ndiyo hiki; Jamani ndugu zangu matatizo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kuna nyumba ya urithi iko maeneo mazuri hapa Jijini Dar es Salaam, mgao ni kupanga mimi pamoja na ndugu zangu wawili, na ni nyumba ya kuuza ni zaidi ya M 300, yaani million mia tatu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kifungu namba ngap kinakuhumu??
0 Reactions
5 Replies
946 Views
Hallow wandugu, Mimi ni miongoni mwa wale ambao ni mbumbumbu ya sheria, je nikitaka kumshitaki mtu/kikundi/kampunu nk natakiwa nifanyeje, is it just a matter of going mahakamani na kutoa maelezo...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Hizi laws ni zenye majina gani?: Cap. 317 Cap. 390 Cap. 391 Cap. 392 Cap. 393 Cap. 394 Cap. 395 Cap. 413
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi wote katika jukwaa hili. Ni muda mrefu nimekuwa nikijiuliza kuhusiana na uhuru wa mhimili huu unaoitwa mahakama bila kupata ufumbuzi. Swali langu linakuja pale ninapokuta...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi ..Inafahamika yakuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa je wale askari wanaodai pesa ndio watoe dhamana nitawashtaki wapi? pia kama walinishika pesa kwa ajili ya dhamana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuuliza na kusaidiwa: a)kuna rafiki yangu amesingiziwa kumtukana shemeji yake kwa ujumbe wa simu(sms) b)alipoenda polisi,na kuandika jalada,polisi wakachukua simu zake mbili kama ushaidi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom