Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wapenzi wanajamvi na wasomi wa sheria ninaomba nakala au sample ya documeht ya power of attorney( genearal and special power of attorney) ni muhimu sana
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Nyamwero Co.Ltd are considering inserting an ''honour clause'' in their agreement with their major supplier, Benedicto Co Ltd. Advise them as to the advantages and disadvantages of such a course...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Wataalamu wa sharia naomba mnisaidie hili Mtumishi wa uma anasemeheka kodi kwa sharia hii kama ataamua kununua chombo cha moto kama gari,trekta,pikipiki,na vinginevyo kutoka nje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, naomba msaada wa kujua gharama za kugongewa visa na wakili ni shilingi ngapi na wapi naweza pata huo msaada.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu naombeni msaada wenu ninaweza lukishitaki chuo kikuu kwa kutonipa chet change bila sababu ya msingi??naombeni ushauri
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada Ya Kuwa Na Vitisho Kutoka Kwa Mwajiri Na Wajumbe Wa Chama Kilichokuwepo Cha Tpawu, Sasa Tuico Wamepewa Kibali Cha Kuwepo Kwny Ajira Ilyoanza Juzi. Jamani Tunaomba Msaada Wa Kisheria Maana...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wadau ninahitaji msaada wa kisheria,nyumba ninayokaa huwa nalipa kodi 280,000 per month,sasa mwezi huu nimelipa kodi ya miezi saba nikamwomba mwenye nyumba anivumilie hadi mwisho wa mwezi...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Nimefuatilia makala ya Star TV juu ya watu watano wanaosubiri hukumu ya mahakama iwapo kuna uwezekano wa kukatisha maisha yao kwa kujiua kutokana na sababu mbalimbali. Awali aliyedai haki hiyo...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Habarini humu ndani,samahani ningependa kufahamu hizi private sector hua zinatumia sheria gani za kazi,je ni kama zile zinzotumiwa na public organizatio?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habar wanajamvi! Nataka kumhamisha wife kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine na hatujafunga ndoa kanisani wala bomani, je tunaweza kutumia kiapo cha ndoa ambacho kinaonyesha kama ndoa ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna nyumba ya urithi iko maeneo mazuri hapa Jijini Dar es Salaam. Mgao ni kupanga mimi pamoja na ndugu zangu wawili, na ni nyumba ya kuuza, ni zaidi ya M300, yani million miatatu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
CCM yatamba haiogopi mafisadi Imeandikwa na Juma Mohammed, MAELEZO, Zanzibar; Tarehe: 18th April 2011...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
*****************************************************************************************************************************************************************************************************...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello wanajamvi, nahitaji huduma ya kucertify vyeti asubuhi hii, Niko Sinza nearer Mliman City, wapi nitapata now?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini za Usiku huu wana JF. Naombeni msaada au ushauri kwa jambo hili. Nimetumia parccel kutoka nje ya nchi (smartphone 2) kwa EMS, risiti inaonyesha siimu zina gharama ya usd 80 na jamaaa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naomba ufafanuzi; kwa anayejua sifa na procedure za kuomba na kupewa kibali na TRA, kuwa Tax consultant. Plz...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani hivi ni sahihi kweli umekuwa ktk mahusiano tena si ya ndoa wala uchumba na mwanamke kwa miezi sita tu na mkaja kukorofishana kisha baadae anakwenda kukushitaki mahakamani kuwa anataka...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa sasa, jiji la Dar es salaam linakabiliwa na foleni za magari. Kutoka pembeni mwa mji mji kuja katikati yanatumika masaa kama 3 kwa wastani, ambapo ni sawa na muda wa kutoka Dar kwenda...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Habarini.. HABARINI, Naomba kuuliza wanasheria na maafisa utumishi ,je mfanyakazi akileta malalamiko ya kesi kua inatakiwa ufike ofisi za mediation wewe kama employer ni lazima kuijibu barua...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nilizaa na mama mmoja tukalea mwanetu sasa yapata miaka sita.Kwa sasa mama anasema mwana si wangu na hataki kupima DNA. na pia kama tutapima ikawa kweli si wangu. Sheria itanisaidiaje? Naomba...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom