Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Majaji wapya wa rufaa walioteuliwa juzi. Mwenye kujua, Tunaomba wasifu wao katisha sheria na utumishi wao wakiwa majaji wa High court.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafanyakazi Wa Kampuni Ya Sukari Kilombero Wiki Ilyopita Waliamua Kujitoa Kwny Chama Cha Wafanyakazi Walichokuwepo Cha TPAWU kufuatia chama icho kushinwda kuwawakilisha vema kwa mwajiri na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuna msaada wa kisheria unaomba kama ifuatavyo. -Kuna Dada mmoja alichukua mkopo Bank (Ni Bank ltd fulani hivi ndogo)kama milioni tatu na nusu,kwa dhamana ya Duka na Vitu vya ndani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeibiwa laptop aina ya hp hapa bukoba mjini byekera maeneo ya kasarani. Ina window 8.1 pro kwa aliyeiona au kuichukua nitext 0715 276 275 au 0765 276 275. Hasante kwa upendo na kujali. Pia...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
Nilienda kwenye eneo langu nimekuta jiwe langu wamelitoa nalietoa ameweka nguzo yake ya geti na anaendelea na ujenzi. Nimeenda serikali ya mtaa wamenipa barua ya nipeleke kwa mjumbe na amkabidhi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimegundua mke wangu anatoka nje miez sita sasa kwa ushahidi wa kuwarecord kwa kutegesha recording kwenye simu yake baada ya kuchoka vitimbwi na kutopewa haki ya ndoa mara kwa mara na kuchelewa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu hembu nipeni utaratibu wa kisheria. Kuna mtu alipewa RB kwa ajili ya kumkamata mtuhumiwa wa madai.Sasa amemtia hatiani leo alfajiri baada ya kuhangaika kumsaka muda wa mwezi mzima. -Je...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeenda kwenye eneo langu ambalo naendeleza ujenzi nimekuta jirani yangu nilie karibu yangu mpakani ametoa beacon moja wapo zilizo wekwa miaka mitatu iliyopita, nimeenda serikali ya mtaa wamenipa...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Nina ndugu yangu yupo mwaka wa pili UDSM semester Hii ya tatu amekosa ada na ameambiwa agairishe mwaka kwa kukosa ada. HOJA ni kwamba yeye hataki kugairisha mwaka mana hata akigairisha mwaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu! Kutokana na ugumu wa maisha niliamua kujinyima nikahifadhi visent vyangu kwenye kibubu lengo lengo nifikishe japo 2ml ili ninunue pikipik na niifanye bodaboda niepukane na...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wakuu habari za asubui samahani mstakiwa unaruhusiwa kuongea dukuduku au uonevu wowote juu ya kesi inayoendelea mahakamani mbele ya hakimu anyeendesha kesi husika kabla ya mashahidi kuitwa mahakamani?
0 Reactions
0 Replies
946 Views
Nikifungu gani cha sheria kinawaruhusu maaskali polis kukamata familia nzima na kuwapeleka rock up pindi wanapomkosa mhusika(mtuhumiwa) wa familia husika..?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
hsbari wanajamvi tafadhalini naomba ufafanuzi mwendesha mashtaka pp ana uhusiano gani na kesi naulixa hivi nikiwa na maana hii kesi inaweza kuahirishwa kwa sababu pp hayupo?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za kazi.kunamtu anaomba msaada juu jambo ambalo mwanandoa mwezi walieishi nae zaidi ya miaka 4.na kuzaa mtoto mmoja lkn hivi leo mumewe ameamua kumuacha na mume huyo ameiba hati ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
ndg zangu wanajamvi napenda kujulishwa kitu kimoja kwamba hii postgraduate ya sheria ina thamani gani katika tathnia ya sheria?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
mama yangu ameachishwa kazi ya ualimu kwa kigezo cha kupunguza mzigo kwa serikali isitoshe mafao aliyolipwa ni kiduchu je hii ni halali KISHERIA?
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wanasheria naomba msaada wenu wa kisheria, kuna binti amejinyonga mpaka kufa na ameandika kikaratasi kinachosomeka hivi ''nimeamua kujinyonga maana kijana ninaempenda (alitaja jina langu) yeye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari Wakuu Kuna binti mmoja alipewa ujauzito na kijana,huyo binti alikua anamalizia masomo yake ya form four mwaka 2011 (yaani alipata ujauzito wakati ndo anafanya mtihani na bahati mbaya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kutokana na sheria za mirathi za kila aina tukianza na ile ya India ya mwaka 1885 na sheria za kimila pamoja na sheria za Kiislaam hazimpi mtoto wa nje ya ndoa uhalali wa kurithi mali. Maoni...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Hivi MTU akiwa amesimamishwa kazi kupisha uchunguzi.na akapewa charge sheet Je anakaa muda gani mpaka aitwe kwenye kujibu tuhuma
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom