Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Mimi ni mhanga wa huu mfululizo wa ajali, nilikua naomba kujuzwa hatua za kufuata baada ya kupata ajali ili niweze kufidiwa mana nilijeruhiwa na nimepata ulemavu
Ndugu wanasheria. Salamu. Napenda kuuliza taasisi ya kituo cha sheri na haki za binadamu (LHRC) kinachoongozwa na Hellen Kijo Bisimba kinapatikana wapi jijini Mwanza?
Pia napenda kufahamu zilipo...
Naishi jijini Mwanza.
Kuna taasisi moja ya umma imenisababishia hasara kubwa kutokana na uzembe wao wa kazi. Ushahidi upo wazi.
Mwanasheria yeyote aliye tayari kusimamia kesi hii ya madai...
Habari!
Naomba kujua hivi kuna mkataba wa kujitolea?
Yaani mkataba unakuwa na maneno"mkataba huu wa kujitolea umesainiwa...
Je kama upo nini maana ya neno kujitolea na kama mana yake ni uhiari...
Wakuu naomba kujua sheria inasemaje kuhusu kunywa pombe,madawa ya kulevya au kutumia kilevi chochote na ku operate chombo cha moto hasa magari?
Je ni criminal au inaangukia kwenye traffic laws...
Ndugu wana JF, salamu.
Naomba msaada wa ushauri ili tuiadhibu TANESCO. Tokea alhamisi tarehe 2- 4- 2015 hatuna huduma ya umeme nyumbani. Tuliwapigia simu zaidi ya mara 10 ili kuwapa taarifa ya...
Wakuu leo tujadili na kuchambua sheria za kodi tajwa hapo juu. Tutafute ni wapi sheria zina utata ili tuzichangie kwa kutolea ufafanuzi (interpretation) na jinsi inavyotakiwa kuwa.
Mfano kifungu...
Habari?
Tarehe 10 Machi nimeibiwa yuro 2000 na mwanamke, Suzy, alijifanya mchumba wangu huko Unguja baada ya kugombana nami. Nilimshtaki katika kituo cha Ng'ambo, Unguja, ambapo anaishi. Aliitwa...
Naomba watalamu wa sheria watujuze kama ni sahihi kikatiba mahakama kuzuia shughuli za chama kwa chama ambacho ni hai kama CDM???
Je kuzuia jambo au mwanachama asijadiliwe, sio kuzuia shughuli za...
The family of a police officer who was killed 10 years ago has moved to court to have his killers prosecuted.
The family of a police officer who was killed 10 years ago has moved to court to...
Habari wana JF
Nimefanya kaz na kampuni moja binafsi katka project inayoitwa TSCP (Tanzania Strategic Cities Project), katika kazi hiyo tulikubaliana na mwajiri wetu kwa mdomo pasipo...
Wazazi wakitengana na ukawa ugomvi wa umilikaji nyumba baba kaoa mwingine na nyumba ikiwa bado ipo chini ya baba na mama wakwanza na watoto je ni sahihi mahakama kuchukua uamuzi wa kuuza nyumba...
Watuhumiwa wa kesi ya mauaji ya mlemavu wa ngozi, Zawadi Magimbu (32) wakiwa ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Geita baada ya kuhukumiwa kunyongwa. Kutoka kushoto ni Nasoro Charles, Singu Siantemi...
Hello wadau.
Nimefungua firm na nahitaji Lawyer wakusaidiana nae kazi
Kama kuna lawyer anatafuta kazi pls tuwasiliane via email hii ndaha2000@gmail.com
Nime lent nyumba/apart last year kwa bahati mbaya huyu landlord hakuwa na pesa ya kukarabati hii nyumba
hivyo nilimlipa cash kodi ya mwaka mzima about 4.2m mkataba mpaka mwezi wa sita mwaka huu...
Ni hivi, Baba mwenye nyumba wetu katupa ya miezi minne na katika hiyo miezi minne mimi nishalipa miezi miwili kabla ya kutupa notes sasa miezi miwili yangu imeisha imebaki miezi miwili bado hiyo...
Kwanza nampongeza Jaji mkuu kwa kupenda haki na kuonyesha uadilifu katika utendaji wake.Naomba kwa upeo huo atusaidie.
INAKUWAJE MAJAJI WENGINE HUAHIRISHA KESI KIMCHEZOMCHEZO MNO? JAJI ANAPANGA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.