Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Waana jamii forum naomba ufafanuzi wa sheria za mafao ya wafanyakazi wa yaliyokuwa mashirika ya umma - ppf act. Kabla ya mwaka 2001 sheria ya PPF ilikuwa, kama mwanachama wa PPF atakuwa amechangia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
According to Employment and Labour Relation Act of 2004 section number 44; On termination of employment, an employer shall pay an employee; any remuneration for work done before the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF, nimetafuta soft copy ya Kanuni za Kudumu kwa Utumishi wa Umma, 2009 (Standing Orders For the Public Service, 2009) bila mafanikio. Kama kuna mtu anayo naomba msaada aiweke hapa pls!
1 Reactions
31 Replies
30K Views
Wakuu, msaada wa kisheria. Ni wapi naweza kumtuma shemeji yangu kwenda kwa notary public kuweza kupata 'affidavit of marriage" kuonesha kuwa yeye na mkewe (wao ni wa jadi) wamekuwa na ndoa ya muda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wasomi wenzangu: nataka niandike Legal Paper juu ya Mkanganyiko ninaouona kati ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 na Sheria nyinginezo zinazoshughulikia maswala wa wanandoa hapa Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
pakua hapa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wadau wa sheria Mimi nimepata frame nataka nifungue biashara ya juices za aina mbalimbali kama ya miwa, ukwaju na matunda. . . Pia baadae kuweka na chips na vyote vinavyoambatana na hivyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kama kichwa cha habari kilivyo hapo juu wadau naombeni msaada wenu tafadhari,niko na point shallow nimeombwa msaada pia,nimeona bora nije kwa wanajamvi mliobobea katika upande huu. Asante!!
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Naomba kwa anayefahamu decided case inayohusiana na haki za walemavu hapa nchini.Natanguliza shukurani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wale wote walioomba msaada wangu niwasaidie baada ya kuona bandiko langu kwenye jukwaa hili wiki mbili zilizopita. Nawashukuruni sana na ninapenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana JF mimi na familia yangu tunaitaji msaada wenu kisheria juu ya kesi inayo mkabili mama yetu. Kuna mambo ya mila ambayo yalisababisha sisi tuwe mbali na bibi yetu mzaa mama, yaani tulimpenda...
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Matumaini yangu nyote wazima wa Afya tele, Samahani naomba msaada wa "Sources of Cyber Law in Tanzania"
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naombeni tafsiri sahihi ya kifungu hiki cha sheria kilichopo ktk mkataba wa ajira wa mdogo wangu. Governing Law 'It is the intention of the parties to this...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi naombeni msaada wenu, Mimi ni mlinzi katika eneo letu la kazi, inasadikika kulitendeka wizi jambo la kushangaza lindo hilo lina zaidi ya walinzi 13. Baada ya mpelelezi wa kituo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Saudis order 40 lashes for elderly woman for mingling By Mohammed Jamjoom and Saad Abedine (CNN) -- A Saudi Arabian court has sentenced a 75-year-old Syrian woman to 40 lashes, four months...
0 Reactions
124 Replies
19K Views
Wadau, naomba aliye na: 1. Employment and Labour Relations (Code of Good Practice) Rules, 2007 (GN No. 42 of 2007) 2. The Employment and Labour Relations (Forms) Rules, 2007 (GN No. 65 of 2007)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilifanya kazi kwa muhindi kwa muda wa miaka 3. Nnikapata kazi kwa sehemu nyingine nikaomba kuresigne, bosi wangu akamindi kwanini naondoka nikamwambia nimeamua coz nimepata sehemu nyingine...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, weekend hii nilikuwa nimekaa na marafiki zangu tunapata vinywaji tukimuaga mwenzetu anarudi overseas. Polisi wakaja na gari lao wakimtafuta kaka yake na yule tuliyekuwa tunamuaga kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kuna mfanyakazi wa shirika la posta...alifariki akiwa kazini(hajastaafu)...lkn katika kufuatilia mafao...shirika limesema lenyewe halitoi aina yeyote ile ya mafao...ninavyojua ni shirika la...
0 Reactions
0 Replies
793 Views
Back
Top Bottom