Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
KATIKA makala zilizopita nilieleza mambo muhimu yanayopaswa kuwepo kwenye mkataba pindi mtu anapotaka kununua nyumba au kiwanja. Nilisema mkataba lazima uonyeshe ni jinsi gani mgogoro...
Habarini wadau,
Naomba msaada wa jinsi ya kuipata document hiyo hapo juu.
Ningependa kujua haki zangu ninapokabiliana na jamaa zetu wa barabarani (traffic police),kuna maswali mengi nimekuwa...
Habari wana JF
Mimi nataka kufahamu sheria inasemaje. Kuna mtuhumiwa alifikishwa polisi kwa kosa la utapeli, upelelezi haukukamilika, mtuhumiwa alitimiza masharti ya dhamana akawa nje, baada ya...
Kwa mfano polisi wanakupa visago na kwa kujitetea kumbe una kisu. Ukamchoma akafa huku Ukiwa katika jitihada za kujitetea. Je kisheria utahesabika kama muuaji au mtu aliyejihami?Au sheria itakuita...
Dadangu kaachika mwaka jana ila kabla ya ndoa yake akimkuta mwenzake kwenye ndoa, mume hakuwa na kitu (nyumba na baadhi ya mali) walipangisha na kutafuta kila walichonacho sasa hv, wana nyumba...
Wakuu habari ya majukumu,
Wakuu msaada wenu kwenye hii kesi ni muhimu sana kesi yenyewe ni ya Kiwanja , ambapo mzee huyo alinunua kiwanja kwa bei halali na baadae akawa na nakala za umiliki wa...
ningependa kujua je,hukumu ya kunyonga bado inatekelezwa hapa nchini? kama NDIYO je wananyongwaje? kama hapana HAPANA wanaohukumiwa maisha si watajaa huko magerezani? ufafanuzi wadau!
Wakuu wanasheria, naomba msaada, ikibainika kuwa kamishina wa ardhi ametoa hati mbili tofauti kwa kiwanja kimoja kwa wakati tofauti, je, hapo haki inafanyikaje kumpata mmiliki mmoja abakie na kiwanja?
Naomba msaada wakisheria nataka kuliburuza jeshi la polisi Mahakamani.
1. Polisi ni wazushi wa matukio ya uongo. Mfano: Ugaidi wa Tanga.
2. Wanatumia mamilioni ya kodi za wananchi...
Ni kweli, umuhimu wenu tunaujua lakini mbona faida yenu hatuifaidi katika ukamilifu? Toka nimekuwa na kumbukumbu, what I remember ni 'Kula, usipokula tunakuitia polisi' ... ni kweli nilikula...
Leo ni siku ya sheria/mahakama, lakini kwa hakika huduma za mahakama zimekuwa ghali mno na kuna usanii mwingi tu. Naweza kukumbuka kesi moja ya Rage, huyu mbunge aliyekuwa katibu wa TFA.
Rage...
Jamani kuna wakazi tumekatiwa umeme maeneo ya mwenge hii ni siku ya sita...kisa kuna kigogo anataka kujenga hoteli na nguzo ipo kwenye eneo lake nyaya zimeachwa zimeninginia na hao tanesco...
Naomba msaada wa kisheria juu ya kuwashtaki hawa dawasco, ninaishi boko na maji yamekatwa takriban siku ya nane leo, ninefuatilia dawasco boko jana nikapewa majibu rahisi kuwa kwa siku za...
Mama yangu alilalamikiwa katika baraza la ardhi na nyumba wilaya mwaka 2010, aliweza kufika mahakamani mara chache kwani alizidiwa ugonjwa na hatimaye alifariki (2014), ingawa tulikuwa tukienda...
Msaada kwa wanasheria.
Kuna kampuni moja mdogo wangu anafanya kazi kampuni hiyo inaitwa KIMANI MINERALS ofisi zake zipo ubungo plaza gorofa ya kumi. Mmiliki wake ni mwalim wa chuo kikuu cha Dar...
Tunahitaji uwazi kwa spedi ya supersonic. Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge idara ya IT-acheni kuhujumu Nchi. Taarifa na Doc muhimu kama hizi zinapokuwa haifunguki au hakuna kabisa ni kulihujumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.