Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nahitaji kupata uelewa wa kisheria katika hili, kama procurement process inaweza kufanyika bila ya muhusika au office inayoconduct hiyo procurement, kufanya matangazo au kuinvite tenders kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa kuwa ndoa za kikristo hazivunjiki na haziruhusu mke zaidi ya mmoja na kwa kuwa kwa Tanzania mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kuvunja ndoa, Je kwa Mkristo akibadili dini anaweza kuoa tena...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
For two years now, I have been part-timely working with some travel agents online on marketing and strategy. Then,I came with an idea of having travel portal for tours and activities. I hosted...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Msaada wa sheria; Mimi nimepata uhamisho toka TAMISEMI, halafu Halmashauri haitaki kufunga data sheet mpaka ninayebadilishana naye kituo afike. Nifanyeje?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba aliye na huo Muswada aubandike hapa, plse!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwanajamii yeyote mwenye softcopy ya hiyo sheria naomba anipatie nina mahitaji nayo sana.. Akhsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kazi zinazotangazwa na Utumishi zimekuwa zikiambatana na sentesi hii, lakini sijui watu kama wanafahamu hiyo circular inaelezea nini. mimi binafsi sifahamu kuna maelezo gani kwenye hiyo circular...
1 Reactions
10 Replies
12K Views
Mahakama imetoa talaka kwa wazazi wangu, baadae ikaidhinisha Mali zigawanwe! Mali zilizotakiwa kugawanwa ni; 1. Tractor 2, Mashamba 3. Fedha ya kustaafu Swali: Rufaa ya kupinga kugawana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu. Hapa jirani yangu kuna jengo la uchapishaji magazeti. Hapo awali mashine zao za printing walkua wameziweka mbali na makazi yetu. ila hivi karibuni wamezihamishia upande ambao ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi askar wa pikipik maarufu kama tigo wanaruhusiwa kuendesha pikpik yako pindi anapo kukamata nakukupeleka kituoni??
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada wa maelezo juu ya civil law jurisdiction na common law jurisdiction.
0 Reactions
1 Replies
981 Views
wadau na wanasheria wote humu ndan tafadhari naomba kwa yeyote mwenye sheria hiyo ya JALO anisaidie kuipata. Hii n ile sheria iliyokuwako kabla ya hii tulionayo ya sasa ambayo ni JALA nawatakieni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamaa wawili wanapakana ambapo mmoja amejenga ukuta kuzunguka makazi yake,na jirani yake ndani ya eneo lake ameotesha migomba kabribu kabisa na mpaka.Mgomba mmojawapo umezaa tunda la ndizi ambayo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF, Tusaidiane katika hili. Katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwezi uliopita wenzetu walishinda kwa kuchakachua kwani mambo mengi yalikiukwa. Tumefungua kesi mahakamani na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Precisely, the Conciliation Board under the labour tribunal was established by Security of Employment Act of 1964. Among other things it said to strengthen industrial democracy and to restrict the...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Katika nchii hii,mahakimu wa mahakama zote,waendesha mashtaka,mawakiri na wanasheria wa serkari ni watu wanaongamiza rasmali za nchi, Ukienda kweny ofisi za hawa watu ni deal kw kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna mkurugenzi wa kampuni ya Kajuma Prime Cargo ya kusafirisha mizigo Kwenda Arusha and Nairobi amenichezea na mzigo wangu. tulimpa Bango alipeleke Nairobi ,akafika Arusha akalishusha and...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Nataka kunua shamba, kando kando ya mto. Je niache umbali gani toka ukingoni, na je naweza kuutumia mto kumwagilizia? Sheria ipi inaelezea haya mambo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
IN THE MATTER OF THE KADHIS’ COURT, OTHER COURTS AND IN THE MATTER OF CONSTITUTIONAL REVIEW AND IN THE MATTER OF ENFORCEMENT OF FUNDAMENTAL RIGHTS AND FREEDOMS OF THE INDIVIDUAL UNDER SECTIONS...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Magwiji wa sheria naomba mnijuze tafadhali, kiwango cha chini cha kupatiwa hiyo kitu hapo juu!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom