Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kwa Wataalamu wa sheria,
Tulinunua GO and RETURN ticket ya fastjet, leo tumefika airport wahusika waka zi print ticket zetu, then tukajipanga sehemu ya checkin, within ten minutes muhusika wa...
Kwa wale wa sheria kuna kesi iliisha recently nadhani 2012 ambapo mahakama kuu ili declare kuwa mgeni anaeweza kumiliki property. Naomba mwenye ruling ILE to share pse nafanya research in Real...
Nilikuwa na kesi na takukulu hukumu Yangu imetoka Jana nikahukumiwa kifungo Cha mwaka mmoja au kulipa faini nilicho kifanya nikalipa faini nikapewa zangu risiti nika bwaga cha kushangaza baada ya...
HABARI WANA JAMVI
MIMI SI MTAALAMU WA SHERIA
NAOMBA KUJUA NINI SHERIA INASEMA MTU ANAPOAMUA KUJENGA KWENYE ENEO LAKO BILA MAKUBALIANO YEYOTE.
SISI FAMILIA, TUNA SHAMBA LETU JIRANI TUPO NA...
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.
Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk...
Wakuu naomba nitoe case study ya kesi ya ndoa ambayo imeamuliwa jana na baraza la usuluhishi la kata
Taarifa muhimu
- ndoa ya kimila
- wamekaa zaidi ya miaka 7
- wana watoto watatu, wawili wana...
Ni hivi unaongea na mtu wa njia ya simu kwa kawaida halafu yeye anakurekodi baadaye anakurusha katika redio bila ruhusa yako.
Na redio inayoongoza ni clouds fm katika kipindi chao cha XXL...
Kuna mjadala kwenye JF unaedelea kuhusu uhalali wa Poligamy (kuoa au kutooa na wake wengi). Nakuleteeni mawazo ya wanawake wa kiislam toka Uganda. Mahojiano haya yalifanyika mwaka April 2005...
Wakuu, nimetakiwa kumsimamia mama mjane juu ya haki zake. Mama huyu aliolewa mwaka 1997 huko Mpanda na mume aliyekuwa na watoto wanne wakubwa. Baada ya mwaka mmoja mume aliyekuwa mfanyakazi...
Bwana James Ruge mmliki wa kampuni ya VIP Engineering anatuhumiwa kugawa mshiko unaosadikiwa ni rushwa kwa wajamaa mnaowasikia wa Escrow. Jana tumeshuhudia wengine watatu wakipelekwa mahakamani...
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman, ametaka suala linalohusu majaji wa Mahakama Kuu, Profesa Eudes Ruhangisa na Aloysius Mujulizi, waliotajwa kupata mgawo katika fedha zilizochotwa...
Habari wana JF, mimi nilikuwa nafanya kazi na kampuni X kwa mda wa miaka miwili bila kuandikishiana mkataba wowote kisheria. nilikuwa nafanya kazi kwa makubaliano ya maneno ya mdomoni tuu na...
Endapo serikali inahitaji kuwahamisha wananchi katika maeneo yao kupisha mradi'
Inatakiwa ichukue muda gani kuwalipa waathirika baada ya kuwekewa X makazi yao?
NB: Yeyote mwenye ufahamu na ili...
Ninandugu yangu mdada, amekuwa kwenye mahusiano na askari wabarabarani kwa muda wamiaka kumi sasa, hawakufunga ndoa lakini..
Ndugu yangu alikuwa naposition nzuri kifedha, alifanikiwa kusomesha...
Napenda kujua na gharama zake pia nijue na namna ya kumpata huyo lawyer na utaratibu wake upoje maana nature ya kampuni ninayotaka kuianzisha ni partnership members.
Rafiki yangu alifiwa na baba yake mwaka jana kwa bahati mbaya alikuwa ni mtoto wa nje ya ndoa kwakuwa baba yake alikuwa na mke na mtoto mmoja wa ndoa...lakini aliishi na baba yake na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.