Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Bwana Omar (jina la kupanga) amefiwa na mkewe mwezi uliopita. Alimwoa kwa mila na taratibu za kiislam baada ya kumbadilisha dini, kutoa ukristo kuwa muislam, na kabla hajamwoa mke huyo alishawahi...
SHERIA YA USIMAMIZI WA MIRATHI SURA YA 352 YA SHERIA ZA TANZANIA
Mirathi Ni nini?
Mirathi ni mali aliyoacha marehemu kwa ajili ya kurithishwa warithi wake halali. Sheria imeweka taratibu maalum...
Mimi nilifiwa na mzazi wangu wa kiume ambaye alikuwa mwajiriwa serikalini. Baada ya mazishi kikao cha wanandugu kilimteua baba mdogo kama mfuatiliaji wa mirathi. Lakini tangu kuteuliwa kwake huyo...
Nina ndugu yangu alikuwa ameolewa ndoa kanisani, waliishi miaka 12 ya ndoa.
Mume akaja kuanzisha maisha mapya na mwanamke mwingine, alikuwa ni mwanajeshi wanaishi katika nyumba za jeshi mke...
Ni mtoto wa mama mwingine ambapo 1 hakuwepo kwenye msiba wa babake,na alipokuja hakwenda kuliona kaburi,alipoambiwa atoe viambata for mirathi akadai hana haja nayo na hakutoa sapoti,binamu kawekwa...
Kama mtu umeajiliwa na kupewa muda wa probation na kwa sasa ni miezi miwili imepita na mwajili wako hajasema lolote either kuongeza muda wa probation au vinginevyo.
Je ni hatua gani kisheria...
Nilifanya biashara na jamaa yangu nikiwa kama mcmamiz mkuu,lakni baadae nikajikuta nina los ambayo mwenyewe ckujua imetoka wap.Ndipo niliamua kukimbia bila yeye taarifa lakni ktkt mtaji wetu tulio...
Habari zenu wadau,naomba kuuliza ni hatua gani mtu asiyekuwa na cheti cha kuzaliwa anaweza fuata ili apate na gharama ni shi ngap kupata hicho cheti makao makuu na itachukua muda gani?,thanx kwa...
Leo nimeangalia video clip ya Zari the boss lady alipokuwa akifanya mapenzi na mchepuko wake mwingine, siyo Diamond. Zari mwenyewe kupitia ukurasa wake wa facebook aliandika kupinga sana kitendo...
Kwa kutambua kuwa humu kuna watu wanaojua sharia hizi vizuri, naomba maelekezo mazuri , sharia namba 45 ya mamlaka za miji inaelezea juu ya wajumbe wa baraza kuwa ni wenyeviti waliochagulia...
Hivi ikatokea wachumba wamefunga NDOA bila kupima HIV. Baada ya miezi mitatu kupita mkaenada kupima na kugundua mmoja wenu ni HIV POSTIVE na mwingine ni HIV NEGATIVE.......je sheria inawaruhusu...
Poleni na majukumu ya kazi ndugu zangu.
Ndugu zangu nahitaji kufanya usajili wa kampuni binafsi, nimepitia maelezo mbali mbali nilio kutana nayo huko mitandaoni namna ya kuanzisha kampuni...
Simba wanane waliotoka nje ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na kuingia eneo la Kijiji cha Kibaoni wilayani Babati mkoani Manyara, wameuawa kwa kuchomwa mikuki na wananchi.
Kijiji cha Kibaoni kipo...
Wakuu naombeni msaada wa kisheria,mwezi wa 8 nilikamatwa na police na hatmae ndg zangu kunitoa kw dhamana.hata hvo walniambia lazma niwe na riport central police kila baada ya wik ,na toka mwzhuo...
hivi askari anapotumwa kwenda kumkamata mtu ni haki gani anayokuwanayo mtu yule anaetaka kuchukuliwa na polisi kupelekwa kituoni ikiwa hana chochote anachokifahamu kinachoendelea.
Ndugu zangu wanasheria nahitaji kufahamu taasisi ipi inaweza kunisaidia katika mchakato wa talaka uliopo mahakamani ili kupata haki na stahiki zangu na watoto bila kutozwa fedha?
shauri langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.