Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari za muda huu wana JF
nauliza sheria imekaaje kwamba unaweza kugombea mwenyekiti wa kijiji ukashinda then mwaka kesho kwenye uchaguzi wa madiwan ukagombea tena udiwani. Sijui hii inaruhusiwa...
Mimi nina mdogo wangu alikua anafanya kazi katika campuni ya sports betting sasa akawa ameingia tamaa ya kucheza yeye mwenyewe hadi akafikia milioni 20 akakimbia lakini mdhamini wake ni mama angu...
Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) nchini, Filiberto Sebregondi.PICHA|MAKTABA
Tanzania imegoma kuridhia pendekezo linalotaka haki kwa watu wenye uhusiano ya jinsia moja kuingizwa katika sheria za...
Nikijana nipo kwenye kundi takriban lina vijana 53 tua mpango wakufungua kampuni je ni haina gan ya kampuni ita faa na kwann. Na itachukua mda gan kuifungua
Habari nyote,
Nimejaribu kutafuta sheria inasema nini kuhusu wafanyakazi wa kigeni wanao kuja nchini na kushika ajira ambazo ni haki ya vijana wa kitanzania,wana JF sheria inasema nini?
Naomba...
Naombeni ufafanuzi kwamba sheria inasemaje kuhusu kutohudhulia mahakamani siku ya kesi bila kutoa taharifa ikiwa wewe ni mshtakiwa katika kesi ya madai
Kwa wale waliokwepo leo pale karimjee hall kulikuwa kuna habari kuwa TLS, Wangeweka majina yatakao apishwa kwenye website yao.
Kuna mtu aliye confirm hiyo habari kwenye website ya TLS ? ...
Habari zenu wadau. Mimi ni mtumishi katika sekta binafsi, katika moja ya taaluma. Ningependa kusoma LLB huku nikiendelea na kazi ninayoifanya. Mfumo wa OPEN UNIVERSITY utanifaa? Ubora wa LLB ya...
Nimatumaini yangu kuwa mko wazima wa afya njema wana jf hasa jukwaa hili la sheria.
Kuna jambo limenipa msukumo kuandika uzi huu kuomba msaada wa kisheria. Kuna jamaa yangu mmoja ambaye ni ndugu...
Napata shida na Jirani yangu, anayefuga kuku wa kienyeji na kuwaacha huru wakizunguka mtaa mzima na kuharibu bustani za majani, miti, maua na uharibifu mkubwa wa mazingira! Nimemsihi awafungie...
vipi kwa kifo cha mwaka 1998
waweza kufungua kesi ya mirathi
leo?Ni watoto 7wa mama
tofauti,baba mdogo alijichagua
kuwa msimamizi,sisi watoto wa bi
mkubwa tulirithishwa kijijini na
watoto wa...
Chuo kikuu cha Ruaha nchini Tanzania ni miongoni mwa vyuo vitatu vikuu vilivyofeli katika mjadala wa kimataifa uliofanyika katika mahakama maalum ya ICTR mjini Arusha.
Vyuo vikuu vitatu vya...
Wakuu,waheshimiwa wanasheria.
Ijumaa nilipata homa kali sana mida ya usiku so nikaamua kwenda hospital ya jirani kwa matibabu ya haraka. Nilipofika nikachomwa sindano ya declofenac ili kushusha...
Habari wana jf hususani wataalam ndani ya jukwaa hili. Kusema kweli nimekuwa nikisikia tu hili neno likitajwa( affidavit), lakini sijabahatika kupata ufafanuzi wa kina kwamba ni kitu gani...
Nawasalimu wana jamvi,
naomba yeyote anayejua kuhusu sheria zetu hapa nchini
mimi nilikuwa nafanya biahara na jamaa fulni hlafu tukaja kukosana kabisa. Tukakubaliana kulipana ili mimi nimlipe...
Naomba ndugu wana JF mnisaidie ni hatua gani naweza kuzifuata za kisheria ili kuweza kumpata mhusika wa mwizi wa laptop ambaye baada ya kuiba laptop alipiga simu na kuomba kiasi cha fedha ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.