Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Kuna mfanyabiashara mmoja hapa Mwanza nilipeleka mzigo wangu aniuzie mwezi umepita sasa.Baada ya siku chache ofisi yao ilifungwa na TRA hivyo nilipokuwa nampigia simu hapokei ,Leo nampigia anasema...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyakazi wa kampuni moja ya ulinzi. Miezi michache iliyopita client wa kampuni tunayoliilinda alidai kuibiwa mali yake baada ya uchunguzi wa kina upande wa kampuni yetu ya ulinzi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Shikamoo wakubwa, hamjambo vijana? Mimi nilifiwa na kaka yangu mwanajeshi tangu mwaka juzi, alikuaa akifanya kazi JKT Tabora. Baaada ya msiba tulipewa namba ya afsa mmoja wa jeshi hili ndio...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu, Naomba kujuzwa ni haki zipi anapata mtu anyeachishwa kazi kutokana na sababu za kiutendaji za kampuni?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani Naomba Ufafanuzi, Kwa Wanaojua Sheria Ya Ajira Kifungu Cha 20(4) Kinachohusu "Saa Za Usiku" Namna Inavyotakiwa Kulipwa?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Shikamoo wakubwa, hamjambo vijana? Me nilifiwa na kaka yangu mwanajeshi tangu mwaka juzi, alikua akifanya kazi JKT Tabora. Baaada ya msiba tulipewa namba ya afsa moja wa jeshi hili ndo...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu, Najua hapa kuna watu waliobobea mambo ya sheria, hasa zile zinazohusiana na makosa ya jinai. Kuna wahalifu nimewashtaki mahakama ya mwanzo, sasa naona kila nikienda kesi inapigwa tu...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Kwa yeyote anaefahamu chuo cha uongozi wa mahakama ( institute of judicial administration) kilichopo lushoto tanga anfahamishe zaid kuhusu chuo hiko knauwezo wa kupokea watu wa aina gan kwa ngazi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna matapeli wamenipiga ambao hutumia za Tigo. Story yenyewe iko hivi; Nimepokea sms kutoka simu ya dada yangu ikinielekeza kutuma pesa 250,000 kwa mtu kwani ana shida sana, na akanitumia...
1 Reactions
54 Replies
7K Views
Nilikuwa kisutu leo asubuhi, nikakutana waandishi kibao kumbe kuna kesi ya chid benz yule dogo teja. aisee ameisha linaonekana teja kabisa. hakimu kamhukumu kulipa faini laki tisa au jela sijui...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamaa aliniuzia pikipiki kwa ml3.7 kwa awamu 2 ndani ya mwezi mmoja. Ya kwanza tar14 Sept nilimpa ml2.4 tukaandikiana shahidi wake ni mke wake(ni Mbongo). Malipo ya kwanza tulikubaliana nichukue...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waheshimiwa salaam Naomba kujua iwapo kifungu cha 5(2) cha sheria hii kama kimefanyiwa marekebisho yoyote na lini?Kwa ufupi kifungu hicho kinasomeka hivi "(2) As soon as conveniently may be...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za jioni waungwana ,naomba mnisaidie kujibu swali hili. How can the law of contract determine the soundness of mind for the purpose of entering into contract.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Dear Comrades, In December 2014, about 70 chadema contestants were barred from contesting elections for various reasons. They then filed petitions in the Karagwe district court. A lawyer...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Baada ya baba yangu kutoweka duniani nimekataliwa kuwa sio mmoja wa familia.Nimekulia kijijini baba yangu alikuwa anaishi mjini. Kutokana na kutokunitambulisha kwa ndugu na kuwatambulisha dada...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Makahama ya Kimataifa ya Uholanzi(International Court of Justices-ICJ) katika maamuzi yake jana kwenye kesi ya Serbia v. Croatia imesema "that it was now up to the justice systems in both...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je,Prof Anna Tibaijuka anaweza kushtakiwa kwa money laundering?wataalam wa sheria karibuni
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nini Idadi Ya Wawekezaji Wa Kigeni Kwnye Kampuni iliyobinafsishwa kwa mujibu wa sheria?
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Alhamisi ya Februari 6, 2015, Mahakama Kuu Kanda ya Iringa ilianza kusikiliza kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten, Daud Mwangosi, inayomkabili askari wa...
6 Reactions
32 Replies
8K Views
Kuomba talaka si dhambi. Kama lingekuwa dhambi sheria isingeruhusu jambo hilo kwakuwa si kawaida ya sheria kuhamasishi madhambi. Ni kwasababu hii nasema kuwa atakayeona amebanwa basi aombe...
0 Reactions
1 Replies
8K Views
Back
Top Bottom