Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Napenda kujua nini umuhimmu wa umiliki wa kumiliki mathalani nyumba au plot especially mke na mume. Nini faida zake; ni muhimu au sio muhimu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi na jamaa zangu wawili, tumenunua Aridhi MAPINGA kijiji cha UDINDIVU wastani wa hekali moja kila mmoja kutoka Serikali ya kijiji,kila mmoja alilipa shilingi milioni tano{5,000,000} mwaka 2010...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu, natumaini mnaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku. Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu any legal requirements zinazotakiwa kufuatwa na mtu ambaye anataka kufungua biashara ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninataka kujua gharama za kuandaa mkataba mmoja kwa mwanasheria. Mfano mkataba wa kuuziana gari. Au mkataba wa makubaliano fulani. Au kuna mtu nimemkopesha mtu kuasi fulan cha fedha. Sasa...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Learned brothers and sisters, kuna scenario nimeipata sehemu nahtaji michango yenu; Kuna bwana mmoja say "X" alikuwa na rafiki yake wa muda mrefu say "Y" waliokuwa wakisaidiana katika shida na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwaka 2011 alishitakiwa kumpa mimba mwanafunzi ila kesi haikufika popote maana girl mwenyewe aliyepewa mimba alikuwa 24 age by then, alikuwa na first child aged 10 hivyo mimba aliyoshitaki kupiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Lazim kutakuwa na tofauti kati ya sheria na amri kama ipo karb kwa msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Kuna mwaka 1 sikumbuki mwaka gani, wabunge wetu mjengoni walisisitiza sheria ya kukonyeza ipitishwe na ukimkonyeza mtu yoyote hasa mwanamke basi wewe ni miaka mitano jela, nadhani wadau...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeajiriwa kwenye shirika la kigeni au binafsi(sio serikalini), Mkataba nnao wa mwaka renewable kila mwaka,lakini kwenye matibabu mwajiri hunitibu kupitia hospitali moja tu, Yaani shirika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeona nililete hili suala humu kwa kuwa ni sehemu sahihi yenye watu sahihi. Ndugu zangu nina vyeti 2 ambavyo vina mushkeli kidogo katika jina. Na juz juz nilikosa nafac ya interview kwa sababu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi ni wapi mfanyakazi anaweza kwenda kushitaki ikiwa hatendewi haki na mwajiri wake au ikatokea wakashindwa kuelewana au mfanyakazi akaachishwa kazi na bila kipewa hakiyake inayo stahili wapi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
KWA WALE WANASHERIA< Tunajua CPA section 50 mpaka 58 inatoa namna interrogation inavyotakiwa kufanyika kama ukikamatwa. Kwa uelewa wangu nilikuwa najua kuwa, mtu kuandikwa maelezo ya onyo...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Invalid posts ID misused by another user
0 Reactions
2 Replies
4K Views
AREA OF MY RESEARCH TITLED "WOMEN DISCRIMINATION UNDER SECTION 11 OF TZ CITIZENSHIP ACT BY FAILURE TO PROVIDE A CLEAR WAY OF NATURALIZATION OF THEIR FOREIGN HUSBAND" LEAVE YOUR COMMENT ON THE...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Habari wanajamvi Niliamua kununua mojawapo ya furniture iliyokuwa inauzwa sh.laki8 ila nilimpa muuzaji sh.laki4, na tulikubaliana amalize kuitengeneza kisha nitamalizia pesa. Na risiti ninayo na...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
(Ni busara sana kusoma hapa na kuelewa, ili kama taifa, tusigawanyike) Mfumo wetu wa Sheria umejengwa kushughulikia mashauri ya kimila na Kiislamu. Mjadala huu unaweza kufanikiwa iwapo tutaweka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu waislamu Nawapenda kwa kuwa wote tumewekwa hapa duniani na Mungu mmoja,maana kuna Mungu mmoja tu mwenye uwezo wa kuumba binadamu. Kule jukwaa la siasa nimeona kuna maada...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Ndugu zanguni wenye fani ya sheria ninaombeni msaada wa kisheria. Kuna mtu ambaye tuliingia naye mkataba wa kibiashara na mimi kumpa hela afanyie kazi na kunilipa interest kwa kila mwezi na sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kufuatia marekebisho ya sheria inayohusu mkopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu na hivyo kuwahusisha hata watajwa hapo juu. Kwa anajua,je, wameshaanza kunufaika na marekebisho hayo au bado utaratibu...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
mara nyingi fumanizi likitokea utakuta polisi wamemfunga pingu mwanaume na mwanamke, na wanawasweka lupango. swali la msingi ni je? kuzini na mke wa mtu na wote mmevuka miaka 18 ni kosa? na...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Back
Top Bottom