Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wakuu habari!
Nimetukaniwa Mzazi wangu, matusi ya nguoni, kwa njia ya ujumbe mfupi wa simu! Aliyenitukana tupo naye mbali kijiografia. Yeye yupo mji mwingine mbali na mimi, wakati mimi nipo mkoa...
WHAT THE STATISTICS ACT 2015 STANDS FOR
The recently enacted Statistics Act, 2015 has become a subject of discussion in the media and other forum. Unfortunately the line of argument by some...
Wadau wote wanaohusika, lawschool tanzania ipo matatani kutokana na mambo yafuatayo. 1. Kiwango cha udahili wa wanafunzi umekua mkubwa kufikia wanafunzi mia sita. 2. Ucheleweshaji wa matokeo...
Tunatafuta jinsi ya kumsadia mwenzetu. Mkataba wake wa kazi uliisha miezi kadhaa. Lakini aliyekuwa mwajiri wake bado anaendelea kumpigia simu kumtaka afike ofisini kuchukua document hii au ile...
Tanzaniahas made tremendous economic gains by standards being made public by theTanzania government. But independent observers have identified a flawed foreigninvestment climate in agriculture and...
wana Jf
Naomba mwenye uelewa na sheria ya ajira anisaidie. Pale ambapo mfanyakazi anakopeshwa mkopo wa ajira na mwajiri wake na dhamana inakuwa ni ajira.., ikatokea mfanyakazi huyo akafanya kosa...
Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza me ni mjasiria mali mdogo.
Nimepanga chumba ambacho ndicho ninachofanyia biashara yangu. Toka mwaka 2013. Katika kipindi chote nilikua...
Tulisomewa shitaka Mahakamani mimi na wenzangu wanne, ila mimi naona kama sihusiki. Naomba msaada ni namna gani naweza weka Pingamizi katika kesi hiyo?!
Waumimi wa dhehebu A(jina limehifadhiwa) walijenga jengo la ibada kwenye kiwanja cha mmoja wa waumini. imefikia hatua wameamua wote kuhamia dhehebu (b) akiwemo na mwenye kiwanja.
Viongozi wa juu...
Kama kupanga, kujaribu, na kusaidia kuipindua serikali, ni kosa kisheria, je, mapinduzi yakifanikiwa, na wana-mapinduzi wakatwaa madaraka, je, kisheria hawa wana-mapinduzi wanaweza kushitakiwa?
Nimejaribu kutafuta link ya hiyo Act bila mafanikio. Kuna mahali nilipata amendments tu na si Act kamili.Msaada kwa anaejua tafadhali.
Nilipita site ya bunge pia bila mafanikio.
Asalaam wakuu na wanazuoni,
Nahitaji mawazo yenu na ushauri wa namna ya kuipinga sheria yeyote ambayo ni mswaada uliosainiwa punde na raisi wa nchi fulani km Tanzania endapo mimi au makundi...
Naomba kuuliza kuhusu uhalali wa askari hawa kufukuzwa kazi kama ilikuwa sawa kwa maelezo haya;ilikuwa ni siku ya jumamosi askari polisi wawili walipata taarifa kwamba kunamtu mmoja alikuwa na...
Msaada jamani.
Muajiri kamhamisha jamaa yangu tuliyeanza nae kazi January 2015 kutoka kituo kimoja kwenye kingine cha mbali tena hata bila posho yakujikimu wala ya uhamisho wala ya nauri na...
Kwa kifupi nilikariri darasa la saba so nilifanyia mtihani jina la mtu mwingine na jina hilo nimeendelea nalo katika level zote za elimu na kwa sasa nimwajiriwa serikalini kutumia jina hilohilo...
Habari wadau,
Kuna nyumba imeachwa na marehemu baba yetu, mimi na ndugu yangu tupo wawili tu. Yeye amenizidi umri kama miaka 20. Nyumba hiyo amedai ni ya kwake na wala si ya baba yetu kama...
Nisaidieni wadau
Gari langu lilikuwa bovu fundi mmoja akasema atalitengeneza kwa laki moja akaja kulitengeneza badae akaanza nunua spare hii mara ile tukakubaliana kuwa nikinua hizo spare gari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.