Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Learned Sisters and Brothers,
Naomba kujuzwa namna ya kutumia sheria hiyo. Mathalani ID fulani imeweka picha au habari za kunikashfu hapa Jamii Forums,
Nafanyaje?!
Ndugu zanguni Salaama?
Kwa muda sasa kupitia mwamvuli wa vigezo na masharti kumekuwa na mabadiliko ya mara kwa mara katika bei za vifurushi vya mawasiliano kwa mitandao yote mikubwa, yaani...
Salaam ndg Wanajukwaa, nimepanda hapa jukwaani ili nieleweshwe yafuatayo, je, Katiba ya Nchi inasemaje ikiwa Wagombea wawili watapata idadi sawa ya Kura katika uchaguzi mkuu? mf: Magufuli na...
Sasa hivi taasisi nyingi za serikali hutangaza kazi na kuhitaji vyeti kuanzia kidato cha nne na cha sita.
Kama mtu amepotelewa vyeti hivyo na amebakiwa na copy tu, anaweza kufanyaje ili wamuelewe...
Madereva WA daladala njia ya Mbagala wanalaani rushwa inayodaiwa na polisi WA usalama barabarani. Wanasema Kuna askari anaitwa Obama anawataka watoe rushwa ya zaidi ya laki kwa kosa la kuandikiwa...
Shule nimemaliza na majina mawili mfano yani ALLY JUMA ndio ipo kwenye vyeti ila kila napoambiwa kujaza jina la tatu uwa naliweka katikati ili JUMA iendelee kuwepo mwisho yani; ALLY KASSIM JUMA...
Nilipomaliza kidato cha sita nilipata kazi ya kufundisha katika shule moja ya binafsi huku mkoani kwangu.Baada ya mwaka mmoja niliomba kwenda masomoni.
Baada ya kumaliza masomo nilirudi tena...
Nimekasilishwa sana na ujumbe ambao anaendelea kuusambaza huyu ndugu yangu unaohusu masuala ya siasa.Binafsi sijapenda tabia anayoifanya. Ametumia sms ya kumkashifu Rais wetu ajae, eti anasema...
Habari msoma wa uzi huu,
Ni matumaini yangu u bukheri ya afya.
Kama kichwa cha uzi inavyosomeka, naomba kufahamu kama mtu anaweza kuacha kazi (ajira) akiwa anadaiwa mkopo kazini kwake.
Kwa...
Familia yetu Baba, mama, mimi na wadogozangu wawili tumefunguliwa mashitaka katika mahakama ya mwanzo na tayari tumepokea samasi kufika mahakamani hapo tarehe 10 mwezi huu.
HISTORIA YA MGOGORO...
SalaamWanajamiiforums!
Naomba kujuzwa yafuatayo kwa mujibu wa sheria ya kazi na mahusiano kazini yamwaka 2004
1.Je nikweli kwamba muajiriwa haruhusiwi kuchukua annual leave wakati akiwakwenye...
Habari za muda huu. Naomba msaada juu ya shauri hili langu.
ORDER YA MAHAKAMA.
"In the event the plaintiff's claim is based on general damages and not specific damages which is conceded by...
Habari za Leo,
Wiki iliyopita gari yangu ilikamatwa na kampuni binafsi iliyoteuliwa na TRA kukamata magari ambayo hayajalipiwa kodi ya mapato, gari ndio kwanza imeanza kazi.
Mtu wa kampuni hiyo...
Umofia kwenu wana JF,
Ndugu yangu ambaye alikuwa anafanya kazi softnet amefukuzwa kazi kwa sababu alichukua fedha zake za NSSF wakati bado anaendelea na kazi.
Amekuja kuomba Ushauri kama...
Habari zenu wakuu.
Kuna mtu anataka kujenga ghorofa ana pesa zake nyingi tu, ila inasemekana kujenga ghorofa inabidi ukope mkopo bank la sivyo serikali itakufuatilia vyanzo vyako vya mapato na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.