Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Imekuwa ni kawaida mfanya kazi anapo fukuzwa kazi ktk sekita binafisi mfano ktk migodi anachafuliwa cv zake ktk mtandao kiasi kwamba huwezi kupata kazi mahara pengine sasa naomba kujuzwa kisheria...
Wataalamu naomba mnisaidie nina tatizo la ndoa,
Ndoa hii ni ya kikristo ina miaka sita kwa sasa lakini imekuwa na makelele mengi kila kukicha, tumeshatengana mara kadhaa na kusuluhishwa lakini...
Wadau nna kiwanja chetu tulinunuaga mda kidogo toka kwa auctioneer (Yono Auction) baada ya mteja mmoja ku default payment. Hicho kiwanja hakina hati na kimejengwa mda tu. Sale agreement kati yetu...
Jamani naomba msaada ninapangisha kwa mkataba wa 5 years lakini makubaliano ni kama ifuatavyo (1) Kodi ya pango kwa mwaka ni 12. Million. (2) Mpangaji atafanya ukarabati utakao gharimu TShs 30...
Wana JF habari za majukumu.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, Kwa mara ya kwanza naweka uzi huu humu jamvini!
Miaka 17 iliyopita baba yangu alifariki na kutuacha mimi na mdogo wangu wa...
jambo wakuu.
Kama wiki mbili zimepita walivunja nyumbani kwangu mchana na kuiba hela, nguo, walet yenye vitambulisho vyangu na kubeba vitu kwenye dressing table.
Nilienda polisi kuripot na...
Mimi ni mtanzania mjasiriamali,katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita nilikuwa na kiasi cha pesa za kutosha katika akaunt yangu ya M-PAWA,nilipokuwa nikijaribu kutoa pesa kutoka mpawa kuja mpesa...
Mm ni mtanzania niliyehitimu elimu ya chuo kikuu muda c mwingi, nimepanga kuanzisha shirika-of course nimeshadraft mpango wangu na iko kwny mchakato, naomba ushauri wa kisheria kuhusu mahitaji...
Wakuu ninahitaj msaada wenu wa mawazo,nipo huku a town ila sijui niende mahal gani pa kumpata wakili wa kuniapisha,ili niweze endelea na kes yangu ya madai nilofungua katika taasisi fulani hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.