Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

GUYS, Currently there is a video clip being played on StarTv channel before and after news broadcast. The clip plays an audio speech of the late Mwalimu Nyerere warning Tanzanians against...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimatumaini yangu kuwa mu-wazima wa afya wana jf wa jukwaa hili la sheria. Mahaka ya Tanzania inatambua mkakataba ambao umevuja sharia ya nchi? Natanguliza shukrani..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ningependa kujua Kama katika website yangu nikiweka poll box kwa ajili ya wasomaji kupiga kura za urais WA wagombea Kama njia ya kuonesha hisia zao kwamba yupi wangemchagua Kati ya hao...
0 Reactions
1 Replies
830 Views
Wakubwa naomba mwenye labour court rules -Tanzania, soft copy aturushie humu jamvini, Nina shida nayo sana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kujua kuhusu kauli hii. Mimi ninavyojua kwa uelewa mdogi nilionao wa mambo ya mahakama. Ni kwamba unaweza kufungua kesi ya jinai ila huna uwezo wa kuifuta au kumsamehe kwani hata kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawasalimun Nyote Wakuu, Kama Heading Yangu Inavyojieleza.Jana Nimepgiwa Simu Na Mwajir Wangu Yakuwa Mkataba Wangu Unaisha Mwezi Huu Na Kampuni Haitaongeza,na Hapa Wameniambia Nijaze Clearance...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau wa sheria nchini, nadhani hii concept ya Law School watu bado hawajaelewa au ni kukurupuka. Siku hizi naskia mtu mwenye digrii ya sheria akienda kuomba tempo ya kufundisha...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Mimi ni raia wa Tanzania mwenye asili ya kihindi nimekuwa nikisumbuliwa kila mara na watu wa idara ya uhamiaji kwa mfano wiki iliyopita wakati natembea akatokea mtu wa uhamiaji akanivuta mkono...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanaasha Hamis ni hatari sana muogopeni! Ni leo, majira ya saa saba nilikuwa namtumia MTU pesa yake nikakosea namba, badala ya 071513 nikaandika 071523, nikatuma pesa. Sikustuka mpaka mwenye...
3 Reactions
84 Replies
8K Views
Waungwana leo nimetoka jela baada ya kukaa wiki 2..ni kile kisa cha kademu nilikogombana nako na kuamua kubandika namba yangu ya simu mtaani MGANGA KUTOKA NIGERIA'..raia kitaa walinisomea ramani...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Mod najua na uzi huu mtaufuta, Lakini niwaambie tu kwa kifupi kuwa tuwe makini na sheria mpya ya makosa ya kimtandao na mod wa JF, Hii ni kutokana na kwamba kamchezo ka ku edit thread ya watu bila...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuanzia kesho, haki yangu ya msingi ya kujieleza hisia zangu na kuhabarisha wengine inafungwa minyororo. Nasikia hata ukigundua wizi kama ule wa Epa na Escrow ukiumwaga hapa ni kosa la jinai...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ivi kuna haki yoyote kuhusu Tra wakija kwenye makazi yako na kuchukua bidhaa na kuondoka nayo kisa haujakata leseni naombeni msaada kwa hilo
0 Reactions
1 Replies
995 Views
Binti mmoja alikwenda masomoni Urusi na kuamua kuchukua Uraia huko sasa amerudi Tanzania Kutembelea Nduguze na Kutaka Nyumba yao iuzwe wagawane lakini dada yake amemwambia hastahili kwa sababu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za jioni! Samahani wapendwa, nilikuwa nauliza nani anatakiwa a control identification parade?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mimi kama mtanzania mpenda haki,naomba kujuzwa kuhusu utendaji kazi wa mahakama ya uhalifu wa haki za binadamu (ICC) ,je ni hatua zipi za kufuatwa ili niweze kutuma malalamiko yangu na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
I hope the relevant individuals will take this under consideration. BRELA Website is not working. It has been so for a while and when I say for a while I mean days i.e Business Name ,if the...
1 Reactions
0 Replies
738 Views
NI swali tu!, Au tukio likisha pita au kuchukuwa mda mrefu LINAKOSA NGUVU
1 Reactions
1 Replies
879 Views
Kwa wale wanajamvi wenzangu na mie wa "Shule za chini ya muuti!!"; KNUT ni kifupi cha jina "Kenya National Union of Teachers"; chama cha Walimu wa Kenya, kwa taarifa yenu leo wameshinda kesi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom