Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Ndugu zangu Amani iwe nanyi.
Mimi si mpitaji sana katika jukwaa hili. Lakini kwa wakati huu ambao mimi ni mhitaji mkubwa wa msaada wa kisheria nimelazimika kutembelea hapa na kuomba nisadiwe ili...
nina miaka miwili kazini sijawahi kuutumia mshahara wangu kwa matumizi yangu binafsi zaidi ya mwanaume kuupigia bajet na sometimes kuwatumia ndugu zake wanasheria wa jf naomben mnisaidie mwanaume...
Habari wanajamvi, naombeni msaada kwa mtu ambae muda wake wa kuclear masomo chuo umekwisha na hajaweza kuclear na hivyo kuonekana amenidisco walau gpa bado inasoma ila tu tatizo hajajitokeza ku...
KWA UFUPI
Mbali na Marwa, ambaye amesoma kozi ya urubani, mshtakiwa mwingine katika kesi hiyo ni Peter Charles Mayalla, ambaye ni mshtakiwa wa pili katika kesi hiyo.
Dar es Salaam. Salimu...
Naombeni msaada wa kujua taratibu zibazotakiwa kufuatwa na mwekezaji anayetaka kuchukua ardhi ya wananchi na utaratibu wa uthamini na ulipwaji wa fidia.
Mwekezaji huyo anataka kufanya uthamini...
Nimeona kurahisisha ufuatiliaji wa kesi za uchaguzi wa wabunge kuna uhaja wa kuanzisha special thread ya kuziripoti na kuzifuatilia....................
naomba kujua hatua gan zichukuliwe kisheria endapo mtu atapokonywa haki yake ya kupiga kura. mimi ni mhanga ambaye nimehamishwa kikaz kutoka mkoa niliojiandikishia na sasa npo mkoa mwingine...
nilimsikia tundu lisu akisema sheria haiko wazi namna rais atavyokabidhi madaraka hili likoje wanasheria wenzengu tukilejea kwenye ibara ya 42 (3) ya katiba
Naomba kueleweshwa hapa. Kisheria, mali ambayo mwanandoa amekukuta nayo say kiwanja/ shamba inahesabika au haihesabiki kama sehemu ya mali ya wanandoa? Kuna ahadi fulani husemwa kanisani (baadhi...
Habari wanasheria na wana JF kwa ujumla.
Nina ndugu yangu alimpa ujauzito binti miaka km mitatu hivi iliyopita.Huyu jamaa alikua chuoni na binti ndo alikua anamalizia form four.Imetokea jamaa...
Wakuu watalam wa sheria naombeni msaada nifanyeje kuna ndugu yangu kachafuliwa mtandaon kwenye blog flan sasa sijui nifate hatua zp maana hata email tcra hawajibu..
Wakuu Amani iwe kwenu,
Mzee wangu Jana tarehe 26 September,2015.Mzee wangu amenyimwa Dhamana na Afisa aliekuwa Zamu tarehe tajwa hapo Juu!ktk Kituo cha Polisi kikuu Shinyanga,
Ana nyumba...
Wanajf..mimi nilinunua nyumba na kiwanja..na kabla ya kukinunua nilienda ofisi za ardhi kujiridhisha kuwa Hakikuwa na deni lolote toka taasisi ya fedha..sasa baada ya kununua imeibuka benki moja...
Je kwa mtumishi wa silikali mwenye mkopo bank akiamua kuacha kazi, Je ulipaji wa mkopo utakuwa ni kila mwez kama alivyokuwa akikatwa mshaara kila mwezi, au inakuwaje?
Matusi na khashfa alizorusha Iringa leo, lazima Wana Sheria wa Chadema wampeleke Mahakamani.
Maadamu hizi kashfa zimetolewa kwenye Jimbo la Msigwa, basi huu ni ushahidi wa kwanza kabisa...
Ningependa kujua sheria na au taratibu zinazosimamia huduma za kifedha kama MPesa, TigoPesa, BPesa, Credit cards, nk.
Hivi ni sawa na za benki? Kama sio, tofauti yake ni ipi na utaratibu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.