Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

.
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Kesi namba 128/2013 inayomkabili Katibu wa jumuia na taasisi za kislamu Tanzania Sheikh PONDA ISSA PONDA kutolewa hukumu Katika mahakama ya mkoa wa Morogoro siku ya jumatatu ya tarekhe...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
mwl. ktk gvt schools akifanya muda wa ziada kama vile ktk zamu, vikao baada ya muda wa kazi anastahili malipo?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Mh igp. Traffic wa arusha wamekuwa wasumbufu sana kwa wananchi. Yani mji umekuwa ni kero kwani askari wako wamekuwa omba omba. Na wakiona umekataa kabisa kutoa rushwa wanalazimisha kuandika fine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ijulikane kuwa wahusika wa,mtoto wa box wamefungwa kwa miaka 15. Kwa kosa la kuua bila kukusudia. Naapa mbele ya Yahu Eloi wetu Jaji Feleshi hakitoa hukumu ya haki na ya kitaalamu au kisayansi ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poor Lowasa tofauti kati ya ICC na ICJ , ICC ni international criminal court lakini ICJ inahusu migogoro kati ya nchi moja na nchi nyingine ambao ni member Wa UN
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Ninaomba Wanasheria Wetu mtusaidie kutuelimisha watanzania kitendo cha kuufuta Uchaguzi Wa Zanzibar una athari gani kwa kura za Muungano kwa Rais Wa Jamhuri ya Muungano? Je Rais Wa JMT anaweza...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ibara number 41 ya katiba ya JMT inazungumzia uchaguzi wa raisi. Ninaomba wanasheria mtusaidie kupata ufafanuzi kifungu cha saba. (6) Mgombea yeyote wa kiti cha Rais atatangazwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Wanabodi, Nimenukuu kauli mbiu iliyotumika wakati wa mchakato wa Bunge Maalum la Katiba Mpya isemayo " Mbili zatosha Tatu za nini?" Wajuzi wa Sheria mchakato wa uchaguzi umekwisha na...
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Wanasheria naomba msaada wenu kujua mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anatangaza matokeo ya uchaguzi wa Tanganyika ama wa Tanzania ? Kama ni wa tanzania mbona uchaguzi wa Zanzibar ulishafutwa ...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Mambo vp wanasheria wenzangu... Kulingana na kichwa cha habari na hali tulio nayo sasahivi ninaitaji kujua yafuatayo: Je kuna njia gani chadema wanaweza ku apply mahakamani ili tume hisimtangaze...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanasheria jitokeze hapa kudadavua hili suala. Kama NEC itatangaza mshindi wa urais wa Muungano ataunda vipi serikali bila wabunge wa zanzibar? Je Bunge la Muungano litaitishwa vipi na kuchagua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu tunataka kufanya group yetu ya WHATSAPP kuwa SACCOS hivyo nahitaji mwenye DRAFT ya Katiba anitumie inbox ili niifanyie editing ready for use.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu hivi interpretation ya sheria ya uchaguzi ya mwaka 2010 imefanyika kwa haki ambao mfungua mashitakaCDM kashindwa kesi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Polisi wa upelelezi (CID) kutoka makao makuu ya CID Dar es Salaam walimkamata Mchungaji Christopher Mtikila, jana saa 11 jioni (1700hrs) saa za Afrika Mashariki na kufanya naye mahojiano hadi saa...
0 Reactions
120 Replies
16K Views
MAZOEA YA KUWEPO UMBALI WA MITA 200 AU 300 KUTOKAKITUO CHA KUPIGIA KURA Kumekuwepo na mazoea kwamba, baada ya kupiga kura wafuasiwa vyama hubakia na kukaa kwenye maeneo ya kupigia kuraumbali wa...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Qn. In the doctrine of privity of contract state that only a part to the contract can be sue or sued and can benefit from such contract in the sense that no stranger of such contract can be sue or...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, mim mzee wangu alitukanwa na kudhalilishwa, baada ya hapo akashitakiwa mahakama ya mwanzo lkn akashinda kesi hiyo, cha ajabu mlalamikaji anadai hakuridhishwa na mahakama hivyo kakata Rufaa...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
Jinsi ya kuandaa katiba ya kampuni binafsi . naombeni mnionyeshe mfano .
0 Reactions
0 Replies
916 Views
Ni kitabu kilichojaa maarifa yote yatakayokwezesha kuwa mjasiriamali. Piga 0717039133 ,kwa maelezo zaidi.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom