Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Samahani learned brothers n sisters. Mimi ni layman kwenye mambo ya sheria. Naomba kujua nguvu ya partnership deed kisheria. Na ni sheria ipi ya tanzania inayoitambua. Naomba kiwasilishan
Wakuu mimi ni mmoja wa wakurugenzi wa kampuni fulani. Tuko wakurugenzi kama wanne. Tatizo liko katika uendeshaji wa kampuni yetu ambayo ni Limited. Upeo wetu wetu umetofautiana na mara nyingi huwa...
Naomba sana kwa wale wenye uwezo wa kuzipata na watuwekee humu jamvini sheria za uchaguzi za tume ya taifa ya uchaguzi ili tuzijue na pia tuongeze upeo wa kuzifahamu sheria hizo.
Itatusaidia...
Wadau mimi ni muajiriwa mpya katika halmashauri moja uku manyara... Nilikua natafuta mtu wa kubadilishana nae kazi ya afisa sheria ii kwenye halmashauri yoyote iliopo mwanza, shinyanga, musoma...
habari, nilifanya biashara na mtu simfahamu nilikutana nae kwenye mtandao mmoja wa biashara eletronics, simu aliisifia kua haina shida yeyote ila nilinunua na kusahau kuitest memory card...
Malkia wa pembe za ndovu kusalia korokoroni TZ
Mwanamke mmoja raia wa China aliyekamatwa kwa makosa ya ulanguzi wa pembe za ndovu zenye thamani ya dola milioni mbili u nusu amenyimwa dhamana na...
Tumekuwa na kipindi cha mgawo wa umeme mara kadhaa sasa. Wakati ni kweli kuwa service charge ni fixed, je kisheria ni sahihi kuchangia kitu ambacho huduma zake hazieleweki kwa neno la service charges?
Mm nimesoma paka 4m4 lkn nikapata chet nataka nikasome sheria je ? Kama nikisoma sheria ukitowa kufanya kaz mahakamani na siasa je ? Kaz nyengine ni ipi ambay nitaifany ktokana na courze niliyo...
Naomba kujuzwa tuıtion centres nzuri kwa wanafunzi wa sheria kupitia Open University.Kwa wote under&post graduate degree.Maeneo ya manispaa Kindonı au Posta.Tafadhali msaada.
Jamani naomba mnisaidie kitu,, mm nimemaliza kidato cha nne nikapata na cheti changu nikiwa ktk dini ya kikristo,, kwahiyo hata cheti changu kina jina la kikristo,,, kwa sasa nimesilimu na...
Habari wanaJF.
Naamini humu kuna wataalamu wa sheria. Mimi ni mwajiriwa nina zaidi ya miaka miwili kwenye ajira,sasa hapo nilipo nimekumbwa na matatizo kifamilia, nimeona bora niache kazi...
Habari wanaSheria
Naomba msaada juu ya watoto walionyimwa fursa za kusoma baada ya mzazi mmoja ambaye ni baba kumtelekeza mama na watoto lakini alipopatikana mfadhili wa kuwasaidia hawa watoto...
wana jamii,
kwenye facebook nikakutana na post moja iliyopo posted by reginald mengi (looks like fake account) praising online saccos. below is the link. now, according to our constitution who...
Habari wanajamvi, ni matumaini yangu kwamba nyie ni wazima wa afya. Ninauhitaji wa haraka sana wa mwanasheria kutoka UDSM, kama upo huku jamvini tafadhali ni PM contact zako nitakutafata mara tu...
wadau nahitaji kubadilisha signature yangu. kutokana na kazi ninazofanya kwa sasa napiga signature nying mpaka nachoka, sasa nahitaji kuwa na signature simple tu nyingine.je kuna utaratibu gani...
BVR Zanaswa dar zikiendelea na kazi ya uandikishaji katika kiwanda kimoja huko jijini dar es salaam source; magic fm je hii ni dalili gani?
Source: facebook
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.