Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
wana JF ambao ni wanasheria naomba mnifahamishe jinsi ya kukazia hukumu ya baraza la kata, je tunatumia fomu na. ngapi? naweza kuona mfano wa fomu hii?
naomba wataalamu wa humu ndani juu ya hili
Ni kwamba baba alizaa mtoto wa nje mwanaume,sasa baba analazimisha kumpa shamba bila sie watoto wakubwa kuridhia.
Kisheria likoje!
1. Kuna madai kwamba mara nyingi wapinzani wanapokuwa wanataka kutekeleza haki yao ya kikatiba ya kukusanyika au kuandamana kwa amani huwa wanazuiwa na wakiendelea na kukusanyika au kuandamana...
Friends,
HOD personally hates me and his accusations fall under the category of Minor Offenses which are not included in job termination. To work things around, HR gave me a quarterly review so...
wakuu naombeni msaada wa kisheria namna ya kujibu barua kwa maana sheria zipi nitumie kujibu barua ya kujieleza baada ya kupewa barua kutoka kwa msimamizi wangu wa kituo cha kazi.
AHSANTENI!!!
Mimi dereva niliyehitmu mafunzo ya udereva N.I.T, Mwaka 2013 (Advanced drivers grade 2) na mwaka 2014 (Advanced drivers grade 1).
MASWALI YANGU:
1. Je? ni haki kwa askari wa usalama barabarani...
Nahitaji msaada kutoka kwa advocates nguli haswaa ili nifile up kesi kwa NEC kwani tangu tarehe 25 October nipige kura, kidole changu hakina ari kabisa......yani kucha inaharibika......ule wino...
Nauliza wajuzi wa sheria ili nipate ufafanuzi juu ya kifungu namba 28 kifungu kidogo cha 1 na cha 2 cha sheria ya Ajira na Uhusianao kazini namba 6 ya 2004 kinachozungumzia suala la makato kwenye...
Mkuu HAMY-D, ameweka video ya sakata la kuswekwa ndani kwa Watendaji wa Ardhi wa Kinondoni kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo,Mhe. Paul Makonda. Nimeitazama na kuisikiliza kwa makini sana video...
Kiukweli mimi nimesononeshwa sana na hili
shirika kwanza kabisa nashindwa kuelewa
wanatuchukuliaje sisi watumishi wa chini
kabisa.Kuna kipindi huwa nafikia hatua ya
kuwachukulia kama wezi wa...
Habari hii hapa
NAIROBI, Jan. 31 (Xinhua) -- Kenyan authorities have widen investigations into the 5.44 kg of heroin seized in Nairobi last week and expect to make more arrests soon after...
Mimi nimeteuliwa kuwa Mrithi Mkuu katika Familia yetu, kila ndugu yangu amepewa mali yake kwa mjibu wa wosia wa Marehemu ambao uliandikwa na Maremu baba yetu enzi za uhai wake kupitia kwa Wakili...
Mimi ni Dada wa miaka 32 niliolewa nikiwa na umri wa miaka 19 nimeishi na uyu mwanaume zaidi ya miaka 10 na tumefanikiwa kuwa na watoto watatu.
Tatizo ni siku za karibuni amekua hanijali, hulala...
Wataalam humu JF Kwa kifupi kuna kesi ya ubadhirifu wa fedha za umma inayomhusu mkuu mmoja Idara ya umma ambayo Mimi nilikuwa member wa bodi yake japo sasa sio mjumbe tena, swali langu ni nani...
Nataka kununua gari kwa mtu,ni njia gani nzuri kisheria itakayonisaidia ili hiyo gari niweze kulimiliki.Nimeenda kuliona gari ni zuri,muuzaji kanipa namba ya akaunti nikalipie benki,wasiwasi wangu...
Kwa muda mrefu sasa kumekuwepo na migogoro ya mashamba, viwanja na nyumba hasa maeneo ya mijini. Kwa utafiti wa kawaida utagundua kwa haraka baadhi ya sababu ambazo husababisha hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.