Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Jeshi la Polisi Mkoani hapa limefanikiwa kumkamata mtu mmoja aitwaye Ismail Swalehe Sang?wa (20) ambaye ni mwenyeji wa kijiji cha Sepuka wilayani Ikungi katika Mkoa wa Singida kwa tuhuma za...
Mimi Cjaelewa Kdg. Tunaposema Tutaanzisha Mahakama Kwa Ajili Ya Kuwashughulikia Mafisadi,
>Je, Kwani Sheria Tulizonazo Zilikua Zinaruhusu Ufisadi?
>Alafu Je, Makosa Ya Ufisadi Hayawezi...
Habari!!
Hivi ni kufungu gani cha sheria ambacho kinatumiwa na sumatra kupanga nauli elekezi kwa daladala za dar lkn unashindwa kuwapangia nauli hawa wa mabasi ya #MwendoKasi?
Habari zenu wanasheria, naomba msaada wenu kuna watu na wadai pesa muda mrefu na uvumilivu umenishinda. Nimepewa ahadi za kutosha ambazo hawazitimizi na leo nimeamua kuja kwenye jukwaa lenu kuomba...
Mimi ni mfanyakazi kwenye sekta binafsi. Nimepitia sheria ya ajira na mahusiano kazini sikuweza kuona kifungu kinachoongelea utaratibu wa kuhamishwa kituo cha kazi. Hivo nimekuja kwenye jamvi la...
MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi Mpanda mkoani Katavi imemhukumu Amani Rashid (30), kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada kupatikana na hatia ya kumiliki meno nane ya tembo yenye thamani ya Sh...
Naitwa Nolren J.
Naomba msaada wa kisheria. 2011 nilimaliza kidato cha NNE. Nikipata alama za kufeli mitihani za chini. Ambazo zingenipa fulsa ya kuendelea na masomo kwa namna tofauti. Kwakuwa...
baba na mama walifunga ndoa miaka karibu 40 iliyopita. Miaka 5 baada ya ndoa baba aliondoka kwenda wilaya fulani kutafuta kazi akamuacha mama yetu kijijini. Alifanikiwa kupata ajira ya kudumu...
Ndugu zangu,mimi ni mmoja ya wazawa wa kanda ya Ziwa.Mwaka 2014 mwezi wa tatu nilitoa mahari kwa kulazimishwa kwa binti mmoja hivi aliyepata ujauzito wangu.Nilitoa ng'ombe 15,huyu binti skukaa...
Habari wana JF,
Natumai mpo vizuri wakati huu wa "mapumziko". Nina swali kuhusu sheria za kuendeleza ardhi. Tunafahamu kuwa mara nyingi hati ya umiliki wa ardhi inapotolewa, mmiliki hupewa muda...
Nahitaji msaada wenu wanasheria, ukifunga ndoa kanisani au bomoni ni cheti kipi kinatambulika na serikali katika maswala yote ya kiserikali mfano uhamisho wa mke je, utachopewa kanisani au kile...
Please accept with no obligation, implied or implicit, my best wishes for an environmentally conscious, socially responsible, low stress, non-addictive, gender neutral celebration of the winter...
Hukumu ujenzi wa ghorofa jirani na Ikulu Januari 15
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imesema itatoa...
Wakuu salama ?
Tunahitaji wakili wa kujitegemea alioko MKURANGA au maeneo jirani MAPEMA
Ni kwa ajiri ya kutetea kesi ya madai kuhusu BIMA na waliodhurika na ajali ya...
Salamu wanajamvi!
Kama kuna mtu yeyote ambaye ana softcopy ya kanuni za utumishi wa umma 2003 (Public Service Regulations 2003), tafadhali sana naomba nisaidieni.
Natanguliza shukrani.
Za majukumu wakuu,
Msaada wa taratibu za kisheria,
Wadau poleni na majukumu ya ujenzi wa Taifa na ya kuelimisha umma kwa masuala ya kisheria.
Samahani nawaombeni msaada wa taratibu za sheria za...
Habari zenu Wanasheria... Ninaomba msaada wa kunielewesha kuhusu haki za Mtanzania aliyeukana Uraia wa Tanzania na Kuchukua uraia wa Nchi nyingine lakini bado anataka kuendelea na Maisha yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.